Ukiachilia mbali uwezo name we led I was kitaalumu kwan Nature hajui kama Temeke Maji ni shida,kiwango kikubwa cha umaskini na maambukizi ya VVU kwa wana Temeke,ujinga na miundombinu mibovu.
Hat hayo atashindwa kuyatungua sentensi kweli, tumpe moyo kijana name fukara mwenzetu nae abadili familia...
We should focus on constructive ideals/topics,kw mfano Uzi ungekuwa "Ni Mbunge gani unadhani ameweza kutimiza wajibu wake kwa Wananchi kwa kuisimamia vyema Serikali kwa kipindi cha 2010-15,kwa lipi?
Mmh,naona wachangiaji wengi mnaongozwa na 'Ashki Manjunun' kwa kuangalia matendo/mane no ya Wabunge wachangiapo kuliko kuufahamu ukweli wa Elimu zao,nadthani wengi hatuwafahamu,tutafute,however Wasomi wakubwa ndiyo wametuibia hivi karibuni.
I wish kungekuwa na jukwaa kwa watu wenye macho matatu ambao huwaza kwa niaba ya Taifa kama ilivyokuwa kwenye hii thread JF lingekuwa jamvi la kujenga mno sio matusi,leo siyaoni eti.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.