Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,044
- 5,114
Bange na ulabu aliacha lini huyu dogo
kwani Ndugai kaacha lini?
Bange na ulabu aliacha lini huyu dogo
Mbona wasanii wanakimbia kuimba wanakimbilia nini Bungeni; Hadija Kopa, Sugu, Vicky kamata, Juma Nkangaa, Amina Chifupa ..........endelea
. bora iwe hivyo kuliko kuwa na wezi bungeni,wanaowaza ufisadi tu.
Mbona wasanii wanakimbia kuimba wanakimbilia nini Bungeni; Hadija Kopa, Sugu, Vicky kamata, Juma Nkangaa, Amina Chifupa ..........endelea
Msanii nguli wa kizazi Juma Kasim Kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la Temeke lakini alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kero wakaz wa Temeke. Tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu, lakini mh Sugu amemshaur, kugombea kupitia CHADEMA jambo ambalo bado analifikiria.
ndipo tulipofikia, hatuwezi kuongeza idadi ya mafisadi October 2015.binadamu wengine majanga.
Sugu na Fande Sele!Akagombee ccm huko hatutaki wahuni chadema otherwise ajirekebishe na ajiheshimu ili aheshimike mbele ya jamii uongozi ni kujiheshimu na kuheshiwa.