Juma Nature kumng'oa Mtemvu Temeke

Juma Nature kumng'oa Mtemvu Temeke

Mmh bang feg mchanganyie kuber kisha mmix mix kwa maneno ya kihun" ataongea nni huyu nature bungen" au siku hizi na bungen kuna show za bongo fleva hukoo" bungen jaman kugum sana tena sana huy nature na afande sele waendelee tu na mibang yao

Kuna ugumu gani kwani kucheza kiduku kama alivyocheza yule mbunge wa C.C.M wakati wa kupitisha ile katiba yao,nani atashindwa?
 
Kufaa kwenye mziki sio kuweza kila kitu,ingawa sasa ukiwa maarufu tu ni kick ya kugombea nafasi hizo siamini kila msanii anaweza kuwa mbunge shilole igunga,baby madaha( ),juma nature tmk mweee samahani lakini
 
Nature kupitia ukawa cuf kwa temeke lazima ashinde!
 
msanii nguli wa kizazi juma kasim kiloboto, atangaza rasmi nia ya kugombea ubunge jimbo la temeke.lakn alishindwa kuweka bayana ni chama gan atatumia kutimiza lengo hilo, la kuwaondolea kelo wakaz wa temeke.lakn tetesi zinanyetisha kuwa awali ilikuwa atangaze nia kupitia chama cha kafu,lakn mh,sugu amemshaur, kugombea kupitia cdm jambo ambalo bado analifikiria.
Ccm watampitisha diamond platnumz
 
Mbona wasanii wanakimbia kuimba wanakimbilia nini Bungeni; Hadija Kopa, Sugu, Vicky kamata, Juma Nkangaa, Amina Chifupa ..........endelea
-John Komba
- Lusinde
- Asumpta Mshama
- Lukuvi.
 
Mbona wasanii wanakimbia kuimba wanakimbilia nini Bungeni; Hadija Kopa, Sugu, Vicky kamata, Juma Nkangaa, Amina Chifupa ..........endelea

Unataka Bunge lijae wanasheria tuuuu? Wasanii pia waongezeke, lakini pia madaktari-tiba, wahandisi na wanasayansi wengine watakaochangia hoja za maendeleo chanya na sio ubingwa wa kuupepeta tuuuu!
 
Du only chadema tu! Haya 20% nae anataka kugombea jimbo la mkulanga kupitia chadema, pia msimsahau afande sele pale moro, nadhani ukikutana hapo ufipa ni kugongeana bhange tu,
 
Mmh bang feg mchanganyie kuber kisha mmix mix kwa maneno ya kihun" ataongea nni huyu nature bungen" au siku hizi na bungen kuna show za bongo fleva hukoo" bungen jaman kugum sana tena sana huy nature na afande sele waendelee tu na mibang yao

Bungeni kuna ugumu gani ? ataongea matatizo ya wananchi. Nature akisimama temeke atapita bila kupingwa.
 
Kuna ugumu gani kwani kucheza kiduku kama alivyocheza yule mbunge wa C.C.M wakati wa kupitisha ile katiba yao,nani atashindwa?

Si ndio hapo, awa wabunge wanaowaona smart wamefanya nini cha maana huko bungeni km c kutafuna posho tuu na kusema ndioooo. Wacha na masela wakapige pesa kikubwa si kuwasemea wananchi kero zao!
 
Ukisema pamba tunamkumbuka mwanetu wa pangani saleh pamba nae ni wale wale tu

Saleh Pamba Mbunge wa 'wawekezaji' na miradi isipokuwa na tija kwa Jimbo. Bwana Pamba ni Lundenga wa Pangani isipokuwa fani yake yeye uzuri wa fedha. Alianza kwa kuwadhulumu wananchi kijiji kizima Mivumoni kwa mwekezaji wa kihindi na yote haya kwa pick-up nyekundu na sasa anahitimisha kwa kuuza Bandari Shekhe. Mivumoni Chadema wamechukua na Jimbo CUF wanavutia pumzi. Yaleyale, chembilecho.
 
Tunachotaka ni wabunge wengi wa upinzani bungeni, it doesnt matter anatoka chama gani, so kama juma alikusudia tangu mwanzoni kugombea kupitia cuf, go ahead juma dont change ur mind brother
 
Mmh bang feg mchanganyie kuber kisha mmix mix kwa maneno ya kihun" ataongea nni huyu nature bungen" au siku hizi na bungen kuna show za bongo fleva hukoo" bungen jaman kugum sana tena sana huy nature na afande sele waendelee tu na mibang yao
. bora iwe hivyo kuliko kuwa na wezi bungeni,wanaowaza ufisadi tu.
 
Ukiachilia mbali uwezo name we led I was kitaalumu kwan Nature hajui kama Temeke Maji ni shida,kiwango kikubwa cha umaskini na maambukizi ya VVU kwa wana Temeke,ujinga na miundombinu mibovu.
Hat hayo atashindwa kuyatungua sentensi kweli, tumpe moyo kijana name fukara mwenzetu nae abadili familia yake
 
Back
Top Bottom