Eliphaz the Temanite
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 3,018
- 1,154
Nimepata shida sana kujiuliza bila majibu kwa nini Dr. H. Mwakyembe kaondolea wizara ya uchukuzi, baada ya utafiti niliofanya nimegundua sababu kubwa ni tatu:
1. Adhma yake ya kufufua reli ili kuachana usafirishaji wa mizigo mizito kwa malori inayopelekea baabara zetu kuharibika vibaya.
2. Kudhibiti ufisadi na wizi bandarini
3. Udhibiti dhidi ya usafirishaji wa madawa ya kulevya kwenye viwanja vyetu vya ndege.
Swali ni je yanafanyika yote haya kwa maslahi ya nani? JE TUTAFIKA KWA STAILI HII? NINI NAFASI YA MWANCHI WA KAWAIDA KTK MAMBO KAMA HAYA?
Alifanya nini katika hayo zaidi ya porojo na kutafuta attention kwenye vyombo vya habari.. Mzee wa kukurupuka mayowe mengi vitendo 0. Inauma saaana nchi kutokuwa na national carrier et ndege moja tena iko hoi bin taaaban??? Tuna viwanja vingap domestic? Je hilo sio soko tosha kuanzia na kisha kwenda kimataifa....