Masaki
Sijui kosa lake nini muulizaji, mmemshambulia sana bila kujua anahitaji kitu gani, haya mleta uzi funguka sasa unamtaka Zitto kwa lipi?
acha umbea...unajua lengo la alieuliza?? unafikiri ni wewe peke yako unajua anapokaa??
sasa wewe ndo umeharibu bora ungepiga kimya maana ishajulikana anapokaa!
acha umbea...unajua lengo la alieuliza?? unafikiri ni wewe peke yako unajua anapokaa??
Ndugu kwa yoyote anayepafahamu anapoishi Zitto Kabwe kwa hapa Dar es salaam.?
Kwani kuna tatizo gani kujua anapoishi Zitto Kabwe? Anaishi Masaki na mm najua hivyo, Rais Kikwete anaishi Magogoni, Gharib Bilal anaishi Oystebay, Pinda nae anaishi Oystebay, hapo kuna tatizo gani mkuu!
Anaishi karibu na bandari huoni anajua sana mafuta yamepanda au yameshuka..meli ya mafuta ikifika tu yeye hukimbia kuuliza mmenunua bei gani
unajua lengo la anaeuliza?? Zitto ana ulinzi kama Rais Kikwete au PM Pinda just in case kama anaeuliza hana nia nzuri?? mkuu najua MH mmoja anavyopata tabu na watu kujua anapoishi,watu wanatoka kijijini kuja kulia matatizo mlangoni kwake na sio ndugu zake hao,kwahio sio vizuri kuanika address za hao watu....kama mtu anamuhusu atajua tu anapokaa.
Ndugu kwa yoyote anayepafahamu anapoishi Zitto Kabwe kwa hapa Dar es salaam.?