Recent content by Champion number one

  1. Champion number one

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna mwamba El marabiosh jibia hili kwa uyu kijana..
  2. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Aliepanda kwenye mlingoti wa bendera akamatwa, Mara

    Wakurya bhna...
  3. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

    Kwani kwenye rooter Kuna hizi setting
  4. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

    Nabadilishia sehemu gani
  5. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya internet kwenye rooter za Airtel

    Wakuu kwema, Leo Airtel wamezima mtandaoni wa Internet kwa watu wote wanaotumia rooter zao nauliza mtu ameweka bando unlimited wewe unamzimia bila maelezo yoyote na je Kuna compensation yeyote baada ya kuzima internet Tuanzie wapi kuwashtaki.. Soma pia Airtel 5g: Ni kasi ya mtandao au ni...
  6. Champion number one

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera karibu kwenye Uzi wa kuchelewa mishahara, wengine wote msikate tamaa mda wenu unakuja.
  7. Champion number one

    JamiiForums Tanzania KERO Ameripoti katika Kituo cha Kazi na kuambiwa vitendea kazi ni vichache hivyo hawezi kufanya kazi hapo. Hii ni sawa?

    Nenda Utumishi utapangiwa sehemu nyingine hii lilimkuta jamaa angu
  8. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Nina furaha-ghafla nimehisi kupona

    Na yeye ukifika mpime learn or perish
  9. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Crdb wamekataa kunibadilishia hela chakavu nielekezeni pa kwenda

    Nenda bank yoyote wanapokea
  10. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Ramani nzuri ya nyumba

    Gharama za ujenzi mpk inaisha sh ngapi
  11. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

    Ni kweli kwa sababu ukiwa na flat mguu kupata injury ni simple kwenye vikkwazo na huwezi kutembea mda mrefu mengine nawaachia wataalamu
  12. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Ukiona hujapata mpaka saizi ujue wewe kwisha ongea vizuri na hr wako....
  13. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

    Haya uzi ufungwe tuonane next month.....nmb hoyee
  14. Champion number one

    JamiiForums Tanzania Kwa kipato cha Tsh. 200,000/- kwa mwezi naweza kujenga nyumba?

    Umefikia wapi mpaka Sasa.....
Back
Top Bottom