Recent content by chameli

  1. chameli

    JamiiForums Tanzania Nauza Kompyuta Desktop

    Komputa inauzwa iko Arusha bei ni shilingi 300,000/- specification zake window xp professional Intel (R) Pentium (R) Dual CPU E2140@1.60 GHz 448 of RAM.
  2. chameli

    JamiiForums Tanzania Nauza Hp Printer 2050 all-in-one J510 series

    mwisho 100,000
  3. chameli

    JamiiForums Tanzania Nauza Hp Printer 2050 all-in-one J510 series

    Nauza Hp Deskejet Printer All - in - One J5100 Series ina scanner. Ni mpya kabisa sijaitumia bei 120,000.Ipo Arusha
  4. chameli

    JamiiForums Tanzania Kuandika majina au matusi katika vyoo hasa ukutani

    kuna mahali nilikuta wameandika ''kunya kistimu'' ha ha ha
  5. chameli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wote bongo mna simu mbovu??

    Halafu tukitafuta wenye nazo mnaanza zogo,sasa haya mambo ni yakuja kusema huku?Ningecoment na simu gani kama nisingenunuliwa ya hela ndefu tena bila kuomba.Ubahili wa mtu ndio unasababisha mpigwe mizinga kuna wengine hatuwezi kuomba.
  6. chameli

    JamiiForums Tanzania Nini kili inspire Uwe na Jina hilo humu JF?

    chameli maana yake ni Jasmine
  7. chameli

    JamiiForums Tanzania Kuchagua mwenza: Pale mwanamke anapojikuta anaangukia kulamba GARASA…!

    mola nijaalie nilambe dume.
  8. chameli

    JamiiForums Tanzania Picha:Hapa ndipo watakapofikia waovu(shimo la jehanam)

    mola atuepushe moto wa jehanam amin
  9. chameli

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi

    Eti siwezi kumsaliti mke wangu, we mdanganye huyo hausigeli.
  10. chameli

    JamiiForums Tanzania Tunisian Girls Are Coming Home Pregnant After Performing 'Sexual Jihad' In Syria

    Naona uislam unawanyima watu usingizi humu mtachimbachimba hata vitu havina maana kwani nani hapendi hayo mambo haya ajitokeza.Acheni dini za watu tafuteni mada zingine hivi ni kutafuta chuki tu.
  11. chameli

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Sio LImbukeni wa Ustahamilivu wa Kidini

    Atakimbia vipi wakati wahusika wanakuwa kwenye vespa?
  12. chameli

    JamiiForums Tanzania Swali: hivi ni kwa nini wanawake wengi kwenye ndoa wanaamini wao ndiyo wa mwisho kufa

    Hili la kukaa kimya ni mbaya sana halafu ni wanaume wengi wanatabia hiyo.Halafu kuna wanaume wengine wanakuwa wapole wanaacha wake zao wanawapelekesha mpaka wengine wanaingilia kwenye kazi ya mume kama wamejiajiri na kuanza kupanga kazi na kufuatilia pesa ngapi zimeingia.Unakuta mume anapanga...
  13. chameli

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Hii ndio inaleta ugumu hata kwa wanawake kuolewa na wanaume wenye watoto tayari utajitahidi uwalee vizuri lakini utapata mitihani kwa ndugu wa mume au watu wanaokuzunguka hali inayopelekea kuwa na chuki na kuanza kulipiza kisasi ni ngumu pia kwa mama wa kambo.
  14. chameli

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mvivu kupindukia!

    Mimi nimeshangaa kuna watu wana bahati halafu wanaichezea.Eeh mungu nijaalie nipate mume kama huyu 'Amin'
  15. chameli

    JamiiForums Tanzania Padre amwagiwa Tindikali huko Zanzibar

    Sijajua unakataa nini hapo? Nakwambia yaliyonikuta hayo uliyoandika nayajua yote.
Back
Top Bottom