Kuandika majina au matusi katika vyoo hasa ukutani

Kuandika majina au matusi katika vyoo hasa ukutani

Tabia hizo zipo mpaka vyuoni nakumbuka mambo mengi ya uchafu wakati nipo chuoni, huwezi kuamini watu hawa wakionekana nje ya matendo Yao! Wanaonekana wasomi na watanashati ila tabia zao ni absolutely despicable kwa kweli! Unabaki unajiuliza watu hawa walikosa nn utotoni?
 
Ukienda vyoo vya semina rooms za chuo kikuu cha Dar(UDSM) utakavyo vikuta utashangaa!!"!!

Inashangaza sana mkuu,kuna mshikaji nilimkuta anakojoa kwenye sinki la kunawia! Alikuwa anasoma civil engineering na alikuwa anakimbiza kwenye department Yao ni mtu wa swala 5, akadai hataki mikojo imrukie mwilini itamtia najisi na swala yake. Nikamuambia kwann usikojoe porini akanijibu shit nilimtandika mpaka akaenda kunishtaki kwa dean.
 
,.. Hasa Mlimani Udsm, Vyoo Vya Semina Rooms.. Mi Hadi Nacheka Sana
 
Inashangaza sana mkuu,kuna mshikaji nilimkuta anakojoa kwenye sinki la kunawia! Alikuwa anasoma civil engineering na alikuwa anakimbiza kwenye department Yao ni mtu wa swala 5, akadai hataki mikojo imrukie mwilini itamtia najisi na swala yake. Nikamuambia kwann usikojoe porini akanijibu shit nilimtandika mpaka akaenda kunishtaki kwa dean.

Mwamedi kawaharibu sana, yeye alikuwa anakojolea vibakuli
 
sijui kwanini tena wengine wanachora kwa kutumia kinyesi chao wenyewe....ptuuuuu... tembelea pia vyoo vingi vya shule za msingi hapa dar utayaona madudu hayo...
 
Ivi watu wa race nyingine wanafanya huo uchafu?
 
hili katika PSYCHOLOGY tunaita FIXATION yaani kurudia hatua aliyoiruka wakati mtoto kwenye makuzi yake.

Hivyo kuruka ANAL STAGE wakati wa utoto huleta matatizo kama hilo au kukojoa kitandani

Mtoto akiruka oral stage unaona ukubwani anapenda kunyonya vidole na wakina dada kupata zaidi orgasm through BLOWJOBING

Pia mfano mwingine ni akina mama watu wazima kucheza michezo ya kitoto na watoto huku akifunua mavazi yake hasa sketi

ukisoma vitabu vya Sigmund Freud, Erik Erikson vimeelezea vyema

kahtaan

mkuu mmmh! Mbona fixation ni kitu tofauti na hii? Kwangu mimi hii ni disorganized disiorder ambayo huwafanya juviniles or adolesents kufanya lolote wanalofikiria ili kupata pleasure ambayo haidumu kwani hufanya na tendo lingine tofauti hadi alale. Na hii ni kwasababu wanakosa miongozo na unasihi kuhusu kile wanachokitaka kwa maisha yao ya baadaye. Pia kuwaacha idol muda mrefu hutumbukia hapa.
 
Last edited by a moderator:

Mnasihi, umechanganya madesa ingawa ID inaonesha you are a professional counsellor
 
Last edited by a moderator:
Ukienda vyoo vya semina rooms za chuo kikuu cha Dar(UDSM) utakavyo vikuta utashangaa!!"!!

Wanaosoma Education ndio wapiga chata za kijinga udsm..tatizo wanachukuliwa wenye ufaulu wa chini na akili zao ni chini
 
haswaa sokwe hata masokwe pia

akina Sigmud Freud, Maslow, Erik Erikson walitafiti kwao uzunguni

You're too low...you can't provoke me! Please do try somethin different.
 
Last edited by a moderator:
kuna mahali nilikuta wameandika ''kunya kistimu'' ha ha ha
 
Back
Top Bottom