Zanzibar Sio LImbukeni wa Ustahamilivu wa Kidini

Zanzibar Sio LImbukeni wa Ustahamilivu wa Kidini

Status
Not open for further replies.
Sasa hapa stupid ni nani? Behave.

You are Stupid,na hilo sio tusi,hata kama inauma pokea ivo ivo,

And the level of your stupidity naipima hapo unaposhindwa kujua sectarian violence baina ya shia na sunni iraq nani chanzo,nani kaichochea na nani anaishupalia,kama kwa dunia ya sasa hulijui hilo yatosha kabisa kwa mimi kukuita wewe ni Mjinga,

Hakuna asiejua uovu wa utawala wa saddam katika iraq,na misimamo yake,

Lakin alipofika marekan na kigezo cha kuivamia eti kwa kusema ana silaha za maangamiz,na kusema nchi ile ina uhusiano na alqaeda,huku ukweli ukifahamika kuwa walikua wana interest zao zinazofahamika,hadi leo ushahid haupo kuhus uwepo wa silaha hizo,wala uhusiano na alqaeda,

Wao ndio wamepandikiza chuki na mgongano baina ya pande zile mbili then leo ww kimafumbo na mwenzako ya kwamba hayo yanasababishwa na uislam au hisia za iman inaingia akilini?

Kama hujui hilo we ni mjnga kweli,na kama unajua na unaamua kupotosha makusudi basi jipimie mwenyewe na uone unastahili kuwekwa kundi gani...
 
Zanzibar ina vikosi vyake nje ya yale ya Muungano lakini pamoja na hivyo wahalifu hawapatikani? Katika sehemu ndogo ambayo kila mtu anamjua mwenziwe na sehemu ambayo kila mtu mmoja kati ya watatu eti ni askari na anapata mshahara hata kama miaka 10 hajaenda kazini, raha imeizidi Zanzibar

Uzi unasema "Zanzibar SIo LImbukeni wa Ustahamulivu wa KIdini", hizo nyengine ni pumba zako mwenyewe. Kwan huku Tanganyika wamekwamatwa wangapi?? KIla leo ya MUngu basi kuna ujambazi, kuna kila aina ya uhalifu.
Please rudi kwenye mada!!
 
(B)YESU KRISTO ALIMTUMA ROHO MTAKATIFU KATIKA SIKU YA PENTEKOSTE. Yoh: 14:26 “.Lakini huyo Msaidizi,huyo Roho Mtakatifu,ambaye Baba atampeleka kwa jina langu,atawafundisha yote,na kuwakumbusha yote niliyowaambia”. Katka Kiyunani anaitwa “Paracletos” yaani msaidizi au mfariji Yoh 15:26 “ Lakini ajapo huyo Msaidizi, nitakayewapelekea kutoka kwa Baba, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia” Yoh 16:7 “Lakini mimi ninawaambia iliyo kweli; yawafaa nyinyi mimi niondoke,kwa maana mimi nisipoondoka huyo Msaidizi hatakuja kwenu; bali mimi nikienda zangu nitampeleka kwenu”. 4) (A) ISSA A.S : JINA LAKE HALINA NGUVU WALA UWEZO WA KUOKOA BALI NI RANGI MBILI Katika Al-Lu’lu’war- Marjani, Juzuu na1, Hadithi na104 uk. 64 “ Hadithi ya Ibn Abbas (r.a) kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema, “Nilimuona Musa (a.s) katika usiku wa Al-Isra, niliopelekwa,naye ni mtu mrefu, mwenye nywele za hudhurungi zimejikunjakunja kama mtu wa Shanua.Na nilimuona Isa (a.s), naye ni mtu wa wastani wa umbo, unaelekea kwenye wekundu na weupe, ana nywele zilizonyooka……” (B) YESU KRISTO: JINA LAKE NI WOKOVU. Mdo 4:9-10,12 “ kama tukiulizwa leo habari ya jambo jema alilofanyiwa yule mtu dhaifu,jinsi alivyoponywa, jueni nyinyi nyote na watu wote wa Israel ya kuwa kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, ambaye nyinyi mlimsulubisha, na Mungu alimfufua katika wafu kwa jina hilo mtu huyu anasimama ali mzima mbele yenu…………………….Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo” Baadhi ya aya ndani ya Qur’an zinaeleza kuwa Isa a.s aliwaponya wenye upofu. Ni akina nani hao tutajiwe angalau mmoja? Yesu alimponya kipofu Batromayo. Aya zingine zinasema Isa a.s alifufua wafu. Ni akina nani hao? Yesu alimfufua Lazaro. Jina tulilopewa ni jina moja tu lenye wokovu la Yesu Kristo. Jina la Isa a.s lisilo na wokovu limehusishwaje na jina la Yesu Kristo wa Nazareth lenye wokovu? Mdo 16:31 “ Wakamwambia , Mwamini Bwana Yesu, nawe utaokoka wewe pamoja na nyumba yako.” 5) (A) ISSA.A.S : YEYE SIYO MWANA WA MUNGU. Qur’ani Suratul Al An-Am,6:101 “Yeye ndiye Mwumba wa mbingu na ardhi. inamkinikanaje awe na mwana, hali hana mke. Naye ndiye aliye umba kila kitu (sio baadhi yake kavizaa). Naye ni mjuzi wa kila kitu”. Qurani Suratul At- Tawba (Kutubu), 9:30 “Na Mayahudi wanasema “Uzeri ni mwana wa Mwenyezi Mungu” na “Wakristo wanasema “Masihi ni Mwana wa Mwenyezi Mungu” Haya ndiyo wasemayo kwa vinywa vyao (pasi na kuyapima). Wanayaiga maneno ya wale waliokufuru kabla yao, Mwenyezi Mungu awaangamize. Wanageuzwa namna gani hawa! Fundisho la Uwana wa Mungu kama Biblia inavyofundisha, halimo katika mafundisho na itikadi ya dini ya Kiislamu kwa hiyo Isa a.s siyo mwana wa Mungu. (B) YESU KRISTO: YEYE NI MWANA WA MUNGU. Luka 1:30-31,35 “Malaika akamwambia usiogope Mariamu,kwa maana umepata neema kwa Mungu.Tazama utachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; na jina lake utamwita Yesu. Malaika akajibu akamwambia,Roho Mtakatifu atakujilia juu yako,na nguvu zake Aliye juu zitakufunika kama kivuli;kwa sababu hiyo hicho kitakachozaliwa kitaitwa kitakatifu Mwana wa Mungu. Hivyo Isa siyo Mwana Mungu lakini Yesu ni mwana wa Mungu. Kwa hivyo Yesu siyo Isa. 6) (A) ISSA A.S: YEYE SIYO MUNGU ALIYEFANYIKA MWILI. Suratul Al- Maidah, (meza), 5:72-73 Bila ya shaka wamekufuru wale waliosema, “ Mwenyezi Mungu ni Masih (issa)bin Maryam”.(Na hali ya kuwa)Masihi alisema “Enyi wana wa Israel! Mwabuduni Mwenyezi Mungu, Mola wenu. Kwani anayemshirikisha Mwenyezi Mungu, hakika Mwenyezi Mungu atamharimishia Pepo, na mahali pake (patakuwa) ni Motoni. Na madhalimu hawatakuwa na wasaidizi (wa kuwasaidia siku ya Kiama) “Kwa hakika wamekufuru wale waliosema mwenyenzi Mungu ni mmoja katika (wale waungu) watatu (yeye ndiye watatu wao ) hali hakuna mungu ila Mwenyezi Mungu mmoja ( tu peke yake) na kama hawataacha hayo wasemayo kwa yakini itawakamata wale wanaoendelea na ukafiri miongoni mwao adhabu iumizayo”. (B)YESU YEYE NI NENO LA MUNGU LILILOFANYIKA MWILI: Yoh 1 : 1,14 “Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu naye Neno alikuwa Mungu……..Naye Neno alifanyika mwili akakaa kwetu…….” 7) (A) ISSA A.S YEYE HAJAWAHI KUSULUBIWA WALA KUUWAWA Qurani Suratul An- Nisaa (Wanawake) 4:157-158 “Na kwa (ajili ya ) kusema kwao sisi tumemuua masihi Isa mwana wa Maryamu, mtume wa Mungu. Hali hawakumuua wala hawakumsulubu bali walibabaishiwa (mtu mwingine wakamdhani nabii Isa.) Na kwa hakika wale waliokhitalifiana katika (hakika)hiyo (ya kumuua nabii Isa) wamo katika shaka nalo (jambo hilo kusema kauwawa]. Wao (kabisa) hawana yakini juu ya (jambo) hili (la kuwa kweli wamemuua nabii isa) isipokuwa wanafuata dhana tu.Na kwa yakini hawakumuua. Bali mwenyenzi Mungu alimnyanyua kwake. Na mwenyenzi Mungu ni mwenye nguvu (na) mwenye hikima. (B)YESU KRISTO: YEYE ALISULUBIWA MSALABANI Yohana 19:18,31,33 “Wakamsulibisha huko,na wengine wawili pamoja,mmoja huku na mmoja huku, na Yesu katikati.Basi Wayahudi, kwa sababu ni Maandalio, miili isikae juu ya misalaba siku ya sabato(maana sabato ile ilikuwa siku kubwa), walimwomba Pilato miguu yao ivunjwe,wakaondolewe. Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa,hawakumvunja miguu”. 8) (A) ISSA A.S HANA HADHI YA KUABUDIWA NA BINADAMU YEYOTE. Qur’an, Suratul Al- Maidah, 5:116 “ Na (kumbukeni) Mwnyezi Mungu atakaposema: “Ewe Isa bin Maryam! Je ,wewe uliwaambia watu: ‘Nifanyeni mimi na mama yangu kuwa waungu badala ya Mwenyezi Mungu’?” Aseme (Nabii Isa): “Wewe umetakasika na kuwa na mshirika, hainijuzii mimi kusema ambayo si haki yangu (kuyasema, kwa kuwa ni ya uongo), kama ningalisema bila shaka ungalijua ; unayajua yaliyomo nafsini mwangu, lakini mimi siyajui yaliyomo nafsini mwako; hakika Wewe ndiye ujuaye mambo ya ghaibu. B) YESU ANASTAHILI KUABUDIWA NA WANADAMU NA MALAIKA Math 2: 2 “yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? kwa maana tuliiona nyota yake mashariki nasi tumekuja kumsujudia.” Yoh 9: 35 “ Yesu akasikia kwamba wamemtoa nje; naye alipomwona alisema, Wewe wamwamini Mwana wa Mungu? Naye akajibu akasema, Ni nani, Bwana, nipate kumwamini? Yesu akamwambia Umemwona, naye anayesema nawe ndiye. Akasema, naamini, Bwana, akamsujudia.” Filipi 2:10-11 “ili kwa Jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba.” Ebr 1:6 “ Hata tena amletapo mzaliwa wa kwanza ulimwenguni, asema, Na wamsujudu Malaika wote wa Mungu. 9) (A) ISA HASTAHILI KUWA MWOMBEZI WA WATU KWA MUNGU Sahih Al-Bukhari, vol.6 ,Hadithi no 3, The Noble Qur’an, English Translation uk. 8 “…….Nenda kwa Musa, mtumishi wa Allah ambaye Allah alizungumza naye uso kwa uso na alimpa Torati. Hivyo watakwenda kwake naye atasema ‘ Mimi sistahili kwa jukumu hilo la uombezi, na atataja mauaji aliyoyafanya kwa mtu ambaye si muuaji, na hivyo atajisikia aibu mbele ya Mola wake, naye atasema nendeni kwa Isa, mtumishi wa Allah, Mjumbe wake neno lake na roho iliyotoka kwake. Isa atasema sistahili mimi kubeba jukumu la uombezi…….” B) YESU ANASTAHILI KUWA MWOMBEZI WA WANADAMU KWA MUNGU

WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)
 
B) YESU ANASTAHILI KUWA MWOMBEZI WA WANADAMU KWA MUNGU 1 Tim 2:5 “ Kwa sababu Mungu ni mmoja, na mpatanishi kati ya Mungu na wanadamu ni mmoja, Mwanadamu Kristo Yesu;” Ebr 7:24-25 “ bali yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.Naye, kwa sababu hii , aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu Hai siku zote ili awaombee. 10) (a) ISA NI NABII MWINGINE TU ASIYE TOFAUTI NA WENGINE Qur’an Suratul Baqarah, (ng’ombe) 2:136 “ “Semeni nyinyi (Waislamu waambiwe Mayahudi na Manasara; waambieni): “Tumemwamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyoteremshiwa, na yale yaliyoteremshwa kwa Ibrahimu na Ismail na Is-haqa na Yaaqubu na kizazi (chake Yaaqubu); na waliyopewa Musa na Isa na pia yale waliyopewa Manabii (wengine) kutoka kwa Mola wao; hatutofautishi baina ya yoyote katika hao. (Wote tunawaamini); na sisi tumenyenyekea Kwake.” b) YESU YEYE YU JUU KULIKO VITU VYOTE Efeso 1:20-23 “ aliotenda katika Kristo alipomfufua katika wafu, akamweka mkono wake wa kuume katika ulimwengu wa roho; juu sana kuliko ufalme wote, na malaika, na nguvu, na usultani, na kila jina litajwalo, wala si ulimwenguni humu tu, bali katika ule ujao pia; akavitia vitu vyote chini ya miguu yake akamweka awe kichwa juu ya vitu vyote kwa ajili ya Kanisa; ambalo ndilo mwili wake, ukamilifu wake anayekamilika kwa vyote katika vyote.” 11) (a) ISA ATAKAPORUDI, ATAOA NA KUZAA WATOTO Mishkat Al- Masabih, vol 2 uk.1159, Sahih Muslim, vol. 1 uk 92 “ Isa atakaporudi ataishi miaka arobaini (40), muda ambao atakuwa ameoa na kuzaa watoto, na atafanya ibada ya hija.” b) YESU ATAKAPORUDI ATAKUJA KULINYAKUA KANISA, YAANI BIBI ARUSI Efeso 5:25-26, 32-33 “ Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda Kanisa, Uf 19:7 “ Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana Kondoo imekuja na mkewe amejiweka tayari.akajitoa kwa ajili yake, ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno;…..Siri hiyo ni kubwa ila mimi nanena habari ya Kristo na Kanisa. Lakini kila mtu ampende mke wake kama nafsi yake mwenyewe; wala mke asikose kumstahi mmewe.” 12)(a) ISA ATAKUFA BAADA YA KUISHI MIAKA AROBAINI (40) Mishkat Al- Masabih, vol 2 uk. 1159,Sunan Abu Dawud, Hadithi 4310, Sahih Muslim, vol.1, uk.92 , “Isa atakaporudi ataondosha dini zote zisiwepo isipokuwa Uislamu. Atamharibu Masih Dajjal, na ataishi duniani miaka arobaini (40) na kisha atakufa. Na baada ya kufa atazikwa pembeni mwa kaburi la Muhammad.” B) YESU BAADA YA KUFUFUKA YU HAI SIKU ZOTE HAFI TENA Rum 6:9 “ tukijua ya kuwa Kristo akiisha kufufuka katika wafu hafi tena, wala mauti haimtawali tena.” Ebr 7:24-25 “ bali yeye, kwa kuwa akaa milele, anao ukuhani wake usioondoka.Naye, kwa sababu hii , aweza kuwaokoa kabisa wao wamjiao Mungu kwa yeye; maana yu Hai siku zote ili awaombee.” Uf 1:17-18 “ Nami nilipomwona nalianguka miguuni pake kama mtu aliyekufa. Akaweka mkono wake wa kuume juu yangu, akisema, Usiogope, mimi ni wa kwanza na wa mwisho, aliye hai; nami nalikuwa nimekufa, na tazama , ni hai hata milele na milele nami ninazo funguo za mauti na za kuzimu.” 13)(a) ISA ALIPOZALIWA SAUTI YA FARAJA ILITOKA CHINI YA ARDHI Qur’an Suratul Maryam,19:23-24 “ Kisha uchungu ukampeleka katika shina la mtende, (akawa anazaa na huku) anasema: “ Laiti ningekufa kabla ya haya, na ningekuwa niliyesahaulika kabisa.” Mara ikamfikia sauti kutoka chini yake (inamwambia): usihuzunike. Hakika Mola wako amejaalia (ameweka) kijito cha maji chini yako;” Mafundisho ya Kiislamu yanaeleza kuwa huko chini ya ardhi kuna mnyama. Na huyo mnyama anazijua aya za Qur’an. Qur’an katika Suratul Al-Naml, 27:82 “Na kauli (ya kuja kiyama) itakapowathibitikia Tutawatolea mnyama katika ardhi atakayewasemeza kwa sababu watu walikuwa hawaziyakinishi Aya Zetu” b) ALIPOZALIWA YESU SAUTI ZA MALAIKA ZILITOKA JUU Luka 2:13-16 “ Mara walikuwapo pamoja na huyo malaika, wingi wa jeshi la mbinguni, wakimsifu Mungu na kusema, Atukuzwe Mungu juu mbinguni na duniani iwe amani kwa watu aliowaridhia. Ikawa malaika hao walipoondoka kwenda zao mbinguni, wale wachungaji waliambiana, Haya na twendeni mpaka Bethlehemu, tukalione hilo lililofanyika alilotujulisha Bwana. Wakaenda kwa haraka wakamkuta Mariamu na Yusufu, na yule mtoto mchanga amelala horini” (14)(a) ISA HANA UFAHAMU WA MAMBO MBALIMBALI katika Al-Lu’lu’ war- Marjan,kitabu cha 3 Hadithi na 1528 uk.883 “Hadithi ya Abu Huraira (r.a) kutoka kwa Mtume (s.a.w) amesema “Issa Ibn Mariam (a,s) alimwona mtu anaiba akamuuliza umeiba? akasema hapana ,Naapa kwa Allah ambaye hakuna mola isipokuwa yeye .Issa (a.s) akasema nimemuamini Allah na limeniongopea jicho langu”. b) YESU ANAYAJUA YOTE Yohana 1:47-48 “ Basi Yesu akamwona Nathanael anakuja kwake, akanena habari zake “Tazama Mwizraeli kweli kweli hamna hila ndani yake. Nathaeli akamwambia umepataje kunitambua? Yesu akajibu akamwambia, Kabla Filipo hajakuita ulipokuwapo chini ya mtini nilikuona” Yoh 2:24-25 “ Lakini Yesu hakujiaminisha kwao; kwa kuwa yeye aliwajua wote; na kwa sababu hakuwa na haja ya mtu kushuhudia habari za mwanadamu; kwa maana yeye mwenyewe aliyajua yaliyomo ndani ya mwanadamu” 15) (a) ISA A.S MAMA YAKE ALIKUTWA PEMBEZONI MWA MSIKITI ALIPOLETEWA HABARI ZA KUZALIWA KWAKE. Qur’an Suratul Maryam,19:16-17 “ Na mtaje Mariamu kitabuni humu. Alipojitenga na jamaa zake, (akenda) mahali upande wa mashariki (wa msikiti) na akaweka pazia kujikinga nao. Tukampelekea muhuisha Sharia Yetu (Jibrili)- akajimithilisha kwake (kwa sura ya) binadamu aliye kamili b) YESU KRISTO, MAMA YAKE ALIKUTWA NYUMBANI KWAO NAZARETI Luka 1:26-28 “Mwezi wa sita malaika Gabriel alitumwa na Mungu kwenda mpaka mji wa Galilaya, jina lake Nazareti. Kwa mwana mwali Bikira aliyekuwa ameposwa na mtu jina lake Yusufu wa mbari ya Daudi. Na jina lake Bikira huyo ni Mariamu. Akaingia nyumbani kwake akasema, salamu uliyepewa neema Bwana yu pamoja nawe.” 16)(a) MIMBA YA ISA ILIKUWA NI YA SIKU MOJA Qur’an Suratul Maryam,19:21-22 “ (Malaika) akasema: “ Nikama hivyo (unavyosema; lakini) Mola wako amesema ‘Haya ni sahali Kwangu, na ili Tumfanye muujiza kwa wanaasamu na rehema itokayo Kwetu (ndiyo Tumefanya hivi);’ Na hili ni jambo lililokwisha kuhukumiwa.” Basi akachukua mimba yake, na akaondoka nayo mpaka mahali pa mbali” b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA.

WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)
 
Ni kwa misingi kama hii Tanganyika itachelewa kweli kuendelea ukiwa na rasilimali watu ya style yako, labda nikukumbushe uzi unasema "Zanzibar Sio LImbukeni wa Ustahamilivu wa KIdini", nashangaa kweli umetuletea PUMBA teleeee, hali i nayotufanya tuamini wewe ni akina 'Vihio' na 'Vimulugo'.
Please rudi kwenye mada!!!
 
b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA. Luka 2:6-7 “ ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni” NB: Mwezi wa sita uliotajwa katika Luka 1:26 ni mwezi wenye kuelezea umri wa mimba ya Yohana ndani ya tumbo la Elizabethi. Luka 1: 36 “ Tena tazama jamaa yako Elizabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa” NB: Hori iliyotajwa hapa,ina maana ya chombo cha kulishia wanyama kinachokuwa ndani ya zizi. Kwa Kiyunani (Kigiriki) ambayo ndiyo lugha iliyotumika kuandikia Agano Jipya ,chombo hicho kinaitwa “Fatne” kwa Kiingereza kinaitwa “a manger” 17)ISA (A.S) ATAKAPORUDI ATAKUJA KUVUNJA MISALABA NA KUUA NGURUWE Mkweli Mwaminifu, Juzuu 3-4, uk.20, Hadithi na. 753 “ Haisimami saa ya (kiyama) mpaka akuteremkieni nabii Isa (a.s) mwana wa Maryamu atahukumu (kwa sheria ya Kiislamu) (na) muadilifu, basi atavunja misalaba (ya Wakristo Makanisani) na ataua nguruwe, na ataondosha fedheha au (aibu), na mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali (ataikataa) mtu (kwa kuogopa kiyama)” .Soma pia katika Sahihi Bukhar, vol. 3, Hadithi na 425,. Al-Lu’lu’war-Marjan, juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur’an uk.757 b)YESU KRISTO ATAKAPORUDI ATAWATUMA MALAIKA ZAKE KUWAKUSANYA WATAKATIFU Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi, naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.” ONYO LA YESU KRISTO WA NAZARETH Math 24:24 “ kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini hata walio wateule.” (Angalia pia Marko 13:22) Yoh 8:24 “ Kwa hiyo naliwambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye mtakufa katika dhambi zenu.”
WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)
 
b) MIMBA YA YESU SIKU ZILITIMIA. Luka 2:6-7 “ ikawa, katika kukaa huko, siku zake za kuzaa zikatimia, akamzaa mwanawe, kifungua mimba, akamvika nguo za kitoto, akamlaza katika hori ya kulia ng’ombe kwa sababu hawakupata nafasi katika nyumba ya wageni” NB: Mwezi wa sita uliotajwa katika Luka 1:26 ni mwezi wenye kuelezea umri wa mimba ya Yohana ndani ya tumbo la Elizabethi. Luka 1: 36 “ Tena tazama jamaa yako Elizabeti naye amechukua mimba ya mtoto mwanamume katika uzee wake; na mwezi huu ni wa sita kwake yeye aliyeitwa tasa” NB: Hori iliyotajwa hapa,ina maana ya chombo cha kulishia wanyama kinachokuwa ndani ya zizi. Kwa Kiyunani (Kigiriki) ambayo ndiyo lugha iliyotumika kuandikia Agano Jipya ,chombo hicho kinaitwa “Fatne” kwa Kiingereza kinaitwa “a manger” 17)ISA (A.S) ATAKAPORUDI ATAKUJA KUVUNJA MISALABA NA KUUA NGURUWE Mkweli Mwaminifu, Juzuu 3-4, uk.20, Hadithi na. 753 “ Haisimami saa ya (kiyama) mpaka akuteremkieni nabii Isa (a.s) mwana wa Maryamu atahukumu (kwa sheria ya Kiislamu) (na) muadilifu, basi atavunja misalaba (ya Wakristo Makanisani) na ataua nguruwe, na ataondosha fedheha au (aibu), na mali itazidi kuwa nyingi sana mpaka hataikubali (ataikataa) mtu (kwa kuogopa kiyama)” .Soma pia katika Sahihi Bukhar, vol. 3, Hadithi na 425,. Al-Lu’lu’war-Marjan, juzuu ya 1,Hadithi na 95 uk.51. The Noble Qur’an uk.757 b)YESU KRISTO ATAKAPORUDI ATAWATUMA MALAIKA ZAKE KUWAKUSANYA WATAKATIFU Luka 24:30-31 “ ndipo itakapoonekana ishara ya mwana wa Adamu mbinguni; ndipo mataifa yote ya ulimwengu watakapoomboleza, nao watamwona mwana wa Adamu akija juu ya mawingu ya mbinguni pamoja na nguvu na utukufu mwingi, naye atawatuma malaika zake pamoja na sauti kuu ya parapanda, nao watawakusanya wateule wake toka pepo nne toka mwisho huu wa mbingu mpaka mwisho huu.” ONYO LA YESU KRISTO WA NAZARETH Math 24:24 “ kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini hata walio wateule.” (Angalia pia Marko 13:22) Yoh 8:24 “ Kwa hiyo naliwambieni ya kwamba mtakufa katika dhambi zenu; kwa sababu msiposadiki ya kuwa mimi ndiye mtakufa katika dhambi zenu.” WEWE MTEULE JE UTADANGANYWA NA KUDANGANYIKA KUWA KWELI ISA A.S NDIYE YESU KRISTO? UKIAMINI HIVYO UTAKUWA UMEDANGANYIKA NA UTAKOSA WOKOVU WA MWENYEZI MUNGU!!!!!!!!!! YESU KRISTO, YEYE NI IMMANUEL, MSHAURI WA AJABU, MUNGU MWENYE NGUVU, BABA WA MILELE, MFALME WA AMANI!!!! (ISAYA 9:6, MATH 1:23)

Jamii Forum ni sehemu ya hekima kwa kila mmoja wetu humu ndan,
Lipo jukwaa la dini,limewekwa mah'susi kabisa kwa kujadili mambo kama hayo,we nenda kule utawapata wa kujadiliana nao,

Pia we usijali sana,we vaa tuh msalaba shingoni nenda kanisani kamtukuze mola wako,ni haki yako,na upo huru kufuata kile kinachokupa peace of mind,

Mimi nikikata zangu suruali yangu nikafuga zangu ndevu nikaenda zangu msikitini niache tuh nifanye hivyo,kila mmoja afuate kile kinachompa peace of mind,
Niache tuh niende zangu na hivi vipedo vyangu,
Maisha ni haya haya,we live once then we are gone,sion haja ya kutafutana tafutana,uwe na amani tuh.
 
mkuu tusifiche uchafu chini ya carpet, hakuna aliyekutusi kuhusu tamaduni za dini yako! Point hapa ni kwamba, waislam muache kejeli kwa wakristo hasa kwa kufundisha propaganda (vyuo maalum vya kukosoa Biblia) ili kuua ukristo! YESU na Issa ni tofauti. Waislam mbaki na Isa kwani hata Koran ya Kiswahili haitumii jina la YESU! Mkisema Isa si Mungu, hakuna atakayelaumu. Wakristo, Wamormon na Wayahudi hatuna tension kama hizi, ingawa tunatofautiana. Its just a matter of respect. Tutoe propaganda kwenye vichwa vyetu
 
Uzi unasema "Zanzibar SIo LImbukeni wa Ustahamulivu wa KIdini", hizo nyengine ni pumba zako mwenyewe. Kwan huku Tanganyika wamekwamatwa wangapi?? KIla leo ya MUngu basi kuna ujambazi, kuna kila aina ya uhalifu.
Please rudi kwenye mada!!
Mauwaji kama haya Yangetokea Zanzibar,anji wowote wa Waislam,ungeona uzi ungevamiwa na watowa povu,wasio na akili za kufikiri.Wakati yametokea maeneo ya wakristo,lakini hakuna muislamu anayeshutumu,kama wakristo ndio wamefanya
Mauaji ya Kinyama Mwanza
Usiku wa kuamkia leo jijini Mwanza ,kata ya Buhongwa kumetokea mauaji ya kinyama.Mauaji hayo yamefanywa leo saa kumi ya usiku.Watu watatu wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi saba (7) waliuwawa kikatili,kwa kunyongwa ,ndani ya nyumba yao na watu wasiojulikana.Kwa habari za awali ...
Uzi huu umo humu jf,katika habari na hoja mchanganyiko,lakini mpaka sasa haujapata wachangiaji wa kutosha,
 
Jamii Forum ni sehemu ya hekima kwa kila mmoja wetu humu ndan,
Lipo jukwaa la dini,limewekwa mah'susi kabisa kwa kujadili mambo kama hayo,we nenda kule utawapata wa kujadiliana nao,

Pia we usijali sana,we vaa tuh msalaba shingoni nenda kanisani kamtukuze mola wako,ni haki yako,na upo huru kufuata kile kinachokupa peace of mind,

Mimi nikikata zangu suruali yangu nikafuga zangu ndevu nikaenda zangu msikitini niache tuh nifanye hivyo,kila mmoja afuate kile kinachompa peace of mind,
Niache tuh niende zangu na hivi vipedo vyangu,
Maisha ni haya haya,we live once then we are gone,sion haja ya kutafutana tafutana,uwe na amani tuh.
Ukija uzi unahusiana uislamu,utashangaa hawa watu,hata kama sio habari inayohusu dini,bora iwe mtu kapigwa na iwe ni maeneo ya waislamu,wataleta maneno ya kuhusu uislamu,Mimi nina waswasi hawa si wa Tanzania,wanaoleta maneno ya Ajabu ajabu.
 
mkuu tusifiche uchafu chini ya carpet, hakuna aliyekutusi kuhusu tamaduni za dini yako! Point hapa ni kwamba, waislam muache kejeli kwa wakristo hasa kwa kufundisha propaganda (vyuo maalum vya kukosoa Biblia) ili kuua ukristo! YESU na Issa ni tofauti. Waislam mbaki na Isa kwani hata Koran ya Kiswahili haitumii jina la YESU! Mkisema Isa si Mungu, hakuna atakayelaumu. Wakristo, Wamormon na Wayahudi hatuna tension kama hizi, ingawa tunatofautiana. Its just a matter of respect. Tutoe propaganda kwenye vichwa vyetu
Acheni ujinga,akiwa Yesu ni Isa,au ni Jesus au ni nani,Mwache mwenywe Yesu aje ajitetee,sio wewe,we huna Hati miliki ya Ya hilo jina,wala unayetajwa sio wewe,waumia nini?Mwache mwenye kuitwa jina hilo aje ajitetee,
 
Mkuu acha kupotosha watu, kwanza ukristo wala uislam sio dini za kwanza. Watz tusahau kuwa kana wayaudi( 98% of israel) wanadini yao ya kiyaudi na hawamini katika yesu wala mtume na wao ndiyo wenye vitabu vya mwanzo. Unasemaje kuhusu hawa, na wanadai mtu kama yesu hajawai kutokea israel. Dini zipo tu nyingi ni swala la kuamini kwako, unauakika gani kama yanasemwa kwenye vitabu ulivyo nakili ni ukweli. Dini ni swala la kuamini na hauwezi kutoa uthibitisho wake. Yesu au Issa ni swala tu la kuamini tu hakuna anayejua kwa uhakika
 
You are Stupid,na hilo sio tusi,hata kama inauma pokea ivo ivo,

And the level of your stupidity naipima hapo unaposhindwa kujua sectarian violence baina ya shia na sunni iraq nani chanzo,nani kaichochea na nani anaishupalia,kama kwa dunia ya sasa hulijui hilo yatosha kabisa kwa mimi kukuita wewe ni Mjinga,

Hakuna asiejua uovu wa utawala wa saddam katika iraq,na misimamo yake,

Lakin alipofika marekan na kigezo cha kuivamia eti kwa kusema ana silaha za maangamiz,na kusema nchi ile ina uhusiano na alqaeda,huku ukweli ukifahamika kuwa walikua wana interest zao zinazofahamika,hadi leo ushahid haupo kuhus uwepo wa silaha hizo,wala uhusiano na alqaeda,

Wao ndio wamepandikiza chuki na mgongano baina ya pande zile mbili then leo ww kimafumbo na mwenzako ya kwamba hayo yanasababishwa na uislam au hisia za iman inaingia akilini?

Kama hujui hilo we ni mjnga kweli,na kama unajua na unaamua kupotosha makusudi basi jipimie mwenyewe na uone unastahili kuwekwa kundi gani...

Asante Great thinker. Good boy.
 
Jamii Forum ni sehemu ya hekima kwa kila mmoja wetu humu ndan,
Lipo jukwaa la dini,limewekwa mah'susi kabisa kwa kujadili mambo kama hayo,we nenda kule utawapata wa kujadiliana nao,

Pia we usijali sana,we vaa tuh msalaba shingoni nenda kanisani kamtukuze mola wako,ni haki yako,na upo huru kufuata kile kinachokupa peace of mind,

Mimi nikikata zangu suruali yangu nikafuga zangu ndevu nikaenda zangu msikitini niache tuh nifanye hivyo,kila mmoja afuate kile kinachompa peace of mind,
Niache tuh niende zangu na hivi vipedo vyangu,
Maisha ni haya haya,we live once then we are gone,sion haja ya kutafutana tafutana,uwe na amani tuh.
Sawa kabisa mkuu kunawatu ukifuga ndevu zako inawaumaaa na ni imani ya watu kalasinga akivaa kilemba chake hawamuoni muislamu ukikata suruali alqaida huyo tabu tupu chuki zimejaa mioyoni mwao tuacheni tupumue jamani
na dini yetu na nyinyi bakini na dini yenu hamuna hati miliki na Yesu kila dini inahaki nae kaaeni kimya tuacheni!
 
Ukija uzi unahusiana uislamu,utashangaa hawa watu,hata kama sio habari inayohusu dini,bora iwe mtu kapigwa na iwe ni maeneo ya waislamu,wataleta maneno ya kuhusu uislamu,Mimi nina waswasi hawa si wa Tanzania,wanaoleta maneno ya Ajabu ajabu.

Nimekusoma,
Needless to say.mimi sion tija ya malumbano wanayoanzisha,kila mtu angeamua kufanya yake tungekuwa tunafanya jambo la msingi sana
 
Asante Great thinker. Good boy.

WE nakujua Matola,

Una ***** ***** sana,lakini haisaidii kitu,badala ya kujenga inabomoa,

Haina tija tuh,haya ni maisha tuh,sion chuki zako dhidi ya uislam na waislam zina msingi gan hasa.

Ila haina shida,sisi tutaenda motoni na wewe utaenda peponi,ufurahi wewe basi.
 
Hujagusia kuchomwa kwa makanisa hapo Zanzbar ambapo sasa yanakaribia 50. Nini hiki? Nani wanahusika? Mbona hajakamatwa hata mmoja? Je, yawezekana wanaochoma makanisa wakawa wale wanaomwagia wenzao tindikali au kuwawinda viongozi wa Wakristo?

vile vile ukweli kuwa waislamu wanaomwagiwa tindikali ni wale walio kinyume na uamsho mfano watu wa bakwata.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom