Recent content by Chamaroa

  1. C

    Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  2. C

    Ng'ombe wa Nyama

    Nina mpango wa kuanza kufaulisha Ng'ombe Hadi Kenya, nimepata soko lakini naomba kujua bei ya Ng'ombe mwenye uzani hai wa kill >ya 400 ni shilingi ngapi na ninaweza kuwapata wapi. Nitashukuru wadau
  3. C

    Hili gazeti la Kenya limemdhalilisha Rais Magufuli

    Kenya kuna Uhuru was vyombo vya habari .... Hata Uhuru Kenyatta huchorwa mwambie aje huku Kenya alifungie.... Dikteta ni dikteta ..Kenyatta anaambiwa ni mjinga na dunia bado inazunguka
  4. C

    Vyombo vya Habari vya Kimataifa vyazungumzia Utumbuliwaji wa Nape.

    DAR ES SALAAM Tanzania's information minister was fired on Thursday after he criticised an ally of President John Magufuli who had stormed into a television station accompanied by armed men. The sacking comes amid an uproar over the incident at one of Tanzania's main private broadcasters, seen...
  5. C

    Natafuta mme

    Wengine mnaponda tu huyu dada hamna ushauri wowote... Fikiria una wadogo zako wa kike huenda ndio wanaofuata... Au mtoto wako wa kike .... Kuni juu ya uchaga hucheka iliyo Motoni. Ukweli wa mambo Dada ana nia njema baadhi yetu tunajifanya watakatifu afadhali Huyo mwenye mtoto kuliko mafuska na...
  6. C

    The Nape Question!

    Boss the English used in the phrase is correct perhaps your understanding of English is mediocre.
  7. C

    Kinachofuata: Daudi Albert Bashite lazima ang'oke, muda wa usafi umefika!

    Hili Sakata lingekuwa Kenya mwanaharakati kama Okiya Omtata au Boniface Mwangi au mwananchi yeyote angefungua kesi mahakamani kwa challenge uteuzi huo kwa misingi ya tuhuma hizo... Kwa sababu katiba inaruhusu mwananchi yeyote kufungua kesi dhidi ya afisa wa Umma... Mnachotakiwa kufanya kama...
  8. C

    Nape, Jeshi la polisi na JWTZ mna la kuongea kuhusu tukio la uvamizi Clouds Media Group

    Hili Sakata lingekuwa Kenya mwanaharakati kama Okiya Omtata au Boniface Mwangi au mwananchi yeyote angefungua kesi mahakamani kwa challenge uteuzi huo kwa misingi ya tuhuma hizo... Kwa sababu katiba inaruhusu mwananchi yeyote kufungua kesi dhidi ya afisa wa Umma... Mnachotakiwa kufanya kama...
  9. C

    Elibariki Kingu: Kwa hili la RC wa Dar, naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM

    Hili Sakata lingekuwa Kenya mwanaharakati kama Okiya Omtata au Boniface Mwangi au mwananchi yeyote angefungua kesi mahakamani kwa challenge uteuzi huo kwa misingi ya tuhuma hizo... Kwa sababu katiba inaruhusu mwananchi yeyote kufungua kesi dhidi ya afisa wa Umma... Mnachotakiwa kufanya kama...
  10. C

    Sirro: Marufuku bodaboda baada ya saa 6 usiku

    Uhalifu ni jambo la kupingwa kwa nguvu zote lakini kulemaza ukuaji wa uchumi kwa kisingizio cha usalama ni makosa... Kwa muda mfupi nilioishi Dar es salaam nilishangaa kwamba usafiri wa mabasi ni marufuku usiku yaani baada ya saa nne usiku... Tafakari ungeruhusiwa kuondoka Dar saa kumi jioni...
  11. C

    More pictures of Two Rivers Mall..largest mall in SS Africa outside S.A

    Inamilikiwa na Kampuni ya Centum Group ambayo ni ya Mkenya Chris Kirubi....
  12. C

    Hivi kwanini Arusha tuko kimya mbunge wetu anasoteshwa jela bila sababu yoyote ya msingi?

    That is the difference between Kenyans and Tanzanians..... Serikali imewaweka wananchi hofu na woga usio kuwa na msingi nao bila kuhoji husema naam... Ndiyo.... Abe.. Sawa.... Nilishangaa pale Waziri Mpango alijaribu kuutakasa udikteta kwa madai kwamba nchi nyingine kama vile Malaysia, Singapore...
  13. C

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    It is wrong for a Tanzanian to pay for goods or services in Tanzania in USD. Agile za kibinafsi zinatoza ada kwa dola ila wanawalipa waafrika mshahara kwa Tsh name wazungu wanalipwa dola huu ni ubaguzi wa sarafu na rangi pia....
  14. C

    Looking for woman

    Aisee wewe ni mtoto na unataka mtoto mwingine miaka 18 akuzalie mtoto msaidiane kulia acha upuzi maliza chuo tafuta kazi jenga Nyumba ununue mackochi na baiskeli kama huwezi kununua bajaji uwe na angalau milioni 10 akaunti uanze kufikiria kuhusu kupata mtoto unasumbuliwa na utoto au kweli kama...
Back
Top Bottom