The Nape Question!

The Nape Question!

Raisi wa nchi ndiyo Mkuu wa Serikali na kauli ya Raisi ni kauli ya Serikali na haijalishi kama ni sawa au siyo sawa, ila wewe kama muajiriwa wa Serikali unapaswa kutii kauli ya Raisi, haimaanishi kwamba haupaswi kupinga lkn unapaswa kupinga ukiwa nje na siyo ndani, ndiyo Dunia inavyokwenda, hivyo tamko la Raisi lilipaswa kumaliza kila kitu kuhusu hii ishu kuhusiana na Nape, na kama angeona siyo haki na alistahili kusema basi alipaswa ajiuzulu, hii ndiyo kawaida na ni Dunia nzima!
That's correct!!

Tatizo tamko limekuja baada ya action. Kama Nape angeyafanya haya baada ya tamko sidhani kama mpaka sasa angekuwa ni Waziri. Ndiyo maana nimesema Rais kwa vile alikuwa na mtazamo tofauti basi angemzuia Nape asiende Clouds!!!
 
Hakuna upuuzi wa lugha kama huwo we kama unajua kizungu andiki uzi wako kizungu kama hujui utachekwa na nanani? kwani lugha hiyo ina husiana na mzazi wako yupi? Zaidi utumwa wa kuendelza tamaduni zisizo kuwa na kichwa wala miguu kwetu.

Sawa, nimekupata nitalifanyia kazi!
 
Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?

Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?

Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Bashite alienda kufanya nini office za watu saa sita za usiku na askari wenye silaha za kivita? Tuanzie hapo kwanza.
 
Nape piga kazi baba ikiwezekana kaondoe kauli ya kufungia bunge live kwamba ulikosea hutuba ...nawaza tu kwa saut
 
Mkuu kuandika hivi kuhusu NAPE unakosea sana huyu ni mtu muhimu sana ndani ya chama.......Hapa la kumlaumu NAPE au MWIGULU juu ya MAKONDA ni wao kushindwa kuona MAKONDA ana kosea na kuamua kumwita pembeni kama MDOGO WAO na kukaa nae chini na kumpa USHAURI kwa yale wanayoona anakosea na si wao especially NAPE kuja adharani na kumkosoa MAKONDA as if si VIONGOZI toka CHAMA kimoja...hapa ndipo NAPE ANAPOKOSEA......
Makonda bado si mjuzi kisiasa UKIMLINGANISHA na level alizofikia NAPE AU MWIGULU......
Unahakika hayo hayakufanywa?
 
That's correct!!

Tatizo tamko limekuja baada ya action. Kama Nape angeyafanya haya baada ya tamko sidhani kama mpaka sasa angekuwa ni Waziri. Ndiyo maana nimesema Rais kwa vile alikuwa na mtazamo tofauti basi angemzuia Nape asiende Clouds!!!

Lakini bado anahangaika nalo mara sijui kuunda Tume, mara sijui kukutana Wana habari, ili nini wakati Mkuu wa nchi ameshasema alivyosema? Kama Mkuu wa nchi ameshasema alivyosema yeye alipaswa ajitue mzigo na kufunga hii Mada kama Waziri muhusika ambaye ni sehemu ya Serikali ambayo Mkuu wake ni Raisi wa nchi, kwa maana tayari alishafanya kazi yake na hakuna ambaye angemlaumu kwa lolote lkn kama anaona kwamba hiyo haitoshi na kwamba bado ana cha kusema basi ajiuzulu abakie Mbunge na hapo anaweza kupinga atakavyo hata kupiga kura ya kutokuwa na Imani na Raisi kama akina Zito, Bashe &Co. lkn siyo kufanya haya huku akiwa bado ni Mwajiriwa wa Serikali hapo ndipo ninaposhindwa kuelewa motive yake ni ipi?
 
Bashite alienda kufanya nini office za watu saa sita za usiku na askari wenye silaha za kivita? Tuanzie hapo kwanza.

Sijui
na siyo kazi yangu, na wala sijali!
 
The Nape Question?????
Kingereza cha wapi hiki??

Si uandike kiswahili tu kwani ungepungukiwa nini?

Uvccm kumbe kuna akina bashite wengi namna hiyo!
Boss the English used in the phrase is correct perhaps your understanding of English is mediocre.
 
Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?

Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?

Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?

Nape bado ni kinda katika kufahamu namna serikali inavyofanya kazi.

Nape aliaminiwa sana mpaka kuingizwa kwenye baraza la mawaziri la serikali ya awamu ya tano.

Lakini kuna mambo ambayo amekosea na ambayo ni lazima jifunze asije kurudia haya makosa:

1. Kuitisha haraka mkutano na wandishi wa habari na kutoa tamko alotoa kuhusu Makonda.

2. Kutoa tamko la kuunda tume hata kabla hajaitisha maelezo ya pande zote mbili.

Na hii si mara ya kwanza kwa Nape kufanya hivyo kwani tuliona alivyokuja na kauli baada ya orodha ya kwanza ya wanaojishughulisha na biashara ya madawa ilipotangazwa na Makonda.

Hivyo Nape anapaswa kujifunza utaratibu na protokali za kufanya linapotokea jambo kama hili ili asionekane kama anavyoonekana sasa kwamba hana uzoefu yaani "he lacks experience".

Lakini si ajabu, kwani binadamu tunajifunza kutokana na makosa.

Hali ni hivyohivyo kwa Makonda kwani naye amekosea kwenda pale studio bila taarifa na akiwa na askari wenye silaha za moto.

Isipokuwa kusema kwamba amevamia pale kituoni ni uzushi kwani ameingia pale kama watu wengine ambao wangeweza kuingia "main entrance".

Pia, akataka kuingia studio yenyewe na akafunguliwa mlango na akaingia jambo ambalo linapaswa kuulizwa yule security guard kwamba kwanini hakutaka kuwa shujaa kumzuia makonda asiingie ndani ya Studio?

CCTV hainyeshi "any struggle" kwa Makonda kuingia mahali pale kiasi cha kusema amevamia.

Nape na Makonda "have responsibility to face the consequences of their actions."

Ila kwa sasa ni muhimu kujifunza kutokana na makosa walotenda na kusonga mbele kulitumikia taifa.

Ila mkuu, naweza kuona wapi unaelekea na suali lako, isipokuwa Nape hiyo wizara inamfaa na ni bora aendelee hapohapo kwani amesomea fani inayoshabihiana na wizara aliyopo.
 
Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?

Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?

Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
wampe kuongoza msondo music band. hii ni institution kwa umri inamzidi. wengi tunaipenda msondo music band.
 
Kwangu mimi Nape Nnauye ni kama Zito Kabwe wote ni career Politicians, hakuna kingine wanajua isipokuwa Siasa, na ni Siasa za Majungu, Fitina na Mipasho, wanaishi hivyo, sasa sijui watu kama hawa unafanya nao nini?

Unajua mtu mwenye profession yake utasema umrudishe labda Chuoni akafundishe, au umkabidhi Chuo Kikuu aendeshe, lkn sasa Nape Nnauye unafanya naye nini?

Kwa maana kiumri kwa kiasi fulani bado ni mdogo, na kuacha kupiga Gitaa sijui ana ujuzi gani mwingine nje ya Siasa, na hiyo ndiyo kwangu The Nape question, what to do with him?
Wewe ni MNAFIKI NA PENGINE PUNGUANI. UNajua huko kwenye chama kuna watu wa ajabu sana mpaka unashangaa kama wanaweza hata kuendesha familia zao.
 
Mkuu kuandika hivi kuhusu NAPE unakosea sana huyu ni mtu muhimu sana ndani ya chama.......Hapa la kumlaumu NAPE au MWIGULU juu ya MAKONDA ni wao kushindwa kuona MAKONDA ana kosea na kuamua kumwita pembeni kama MDOGO WAO na kukaa nae chini na kumpa USHAURI kwa yale wanayoona anakosea na si wao especially NAPE kuja adharani na kumkosoa MAKONDA as if si VIONGOZI toka CHAMA kimoja...hapa ndipo NAPE ANAPOKOSEA......
Makonda bado si mjuzi kisiasa UKIMLINGANISHA na level alizofikia NAPE AU MWIGULU......
Acha Nnauye afanye kazi yake serikali yetu sio ya majaribio.
 
Wewe ni MNAFIKI NA PENGINE PUNGUANI. UNajua huko kwenye chama kuna watu wa ajabu sana mpaka unashangaa kama wanaweza hata kuendesha familia zao.

Mimi siko kwenye Chama chochote kile, hivyo hawawezi kunishangaa kwani hawanijui!
 
Kwa hiyo Nape anapingana na Raisi wa nchi ambaye ndiye Mkuu wa Serikali na muajiri wake?
Mm, ww na Nape , sote tuna wajibu wa kuheshimu saaana Rais wetu.

Ila tutambue Rais pia ni binadamu kama mm na ww!! Tena anaweza kuwa mkosefu kuliko hata Mpagani (mtu asiekuwa na dini).

Rais gani asiye elekezwa? Rais gani asiye shauriwa? Rais gani asiyekubali kusahihishwa?
Rais gani unakuwa ndumilakuwili? Nadhani ndilo lengo la kuwa na Mawaziri kama wataalum au wasaidizi wake sehemu husika. Siyo kila kitu yy utadhani Mchwa!!!

Tuya ache hayo. Lengo ni ushauri.
Heshimu kila mtu kwa nafasi yake, awe mdogo au mkubwa.

Siasa zipo ila kuna maisha baada ya siasa. Mungu ni mkubwa kuliko ww!! Mungu ni mkubwa kuliko Cheo. Ni Mkubwa kuliko Mali.
 
Hivi tz ya viwanda inakuja kwa kupenda kuangalia shilawadu?mwenye kujua tz wapi inaelekea atuambie
 
Ndiyo, hasa linapokuja watu ambao mnafanya kazi kwa muajiri mmoja, kulikuwa na namna nyingi kwa maoni yangu ya kulishughulikia hili sasa picha iliyopo kwangu ni kwamba Nape anapingana na Serikali ambayo ndiyo imemuajiri kwa maana kauli ya Raisi ni kauli ya Serikali, ...
 
Back
Top Bottom