Kama utaajiriwa fuata maelekezo ya kazi. Pia jisomee mwenyewe vile ambavyo utahisi unavihitaji katika kazi yako. Tafuta maandiko ambayo ni maalum kwa profeasionals, watu ambao wako kazini, maandiko ambayo yako simple.
Yaani ukiwa kazini usisome tu andiko eti kwa sababu ni la field yako maana...
Natafuta Balckberry Classic mpya, mwenye nayo au anayejua ninakoweza kuipata anijuze.
Natumia Nokia tochi kwa sasa baada ya Samsung yangu kufa, najua nitakosa apps kadhaa (ikiwemo whatsapp mwezi Juni) ila naona hasara pesa yangu kununua simu ya android tena.
Nikihitaji Whatsapp nitanunua simu...
Suala ni kwamba, mwanzilishi/mmiliki wa Facebook, Mark Zukerberg, kuwa tajiri zaidi ya mmiliki/mwanzilishi wa Toyota haina maana kwamba Facebook ina thamani kubwa (au inaingiza pesa nyingi) zaidi ya Toyota.
Fikiria hii: Mwanzilishi na rais wa kampuni ya Huawei Technologies Co., Ltd., Ren...
Unajua sana mkuu.
Wamenunua (millions of) user base , ndio maana sasa wanataka ku-share contacts (za wale watakaokubali) na fb, kuna kitu watafanya ambacho kitawaingizia billions.
Katika pitapita zangu huko mitandaoni inasemekana hizi ni hatua za mwanzo za Samsung kwani ina mpango wa kuachana na Android siku za baadaye.
Pia kuna mtu mwingine akaja na hoja kama hiyo akisema hata Nokia wanarudi wakiwa na android halafu baadae wataiacha taratibu kwa kuwa watakuwa...
Faida ya Halotel ni kupatikana maeneo mengi kwa spidi ya kawaida.
Kwa mfano ukiwa unatoka Moro kuja Dar, hata ukiwa porini kama mtandao wa halotel upo basi ni 3G, wakati hawa wengine 3G unaiacha Moro mjini.
Pia mitandao mingine inachagua sana maeneo, yaani katika mji mdogo tu, ukiwa mtaa huu 2G...
Kwenye store ya Tizen ya apps kuna apps zinazohitajika na wengi kama Whatsapp? Maana kwa hapa Tz (nadhani na nchi nyingi za sub-sahara) kuna watu wengi ambao wao hitaji lao kwenye smartphone ni Whatsapp tu, yaani hawajui kuhusu android, iOS wala Windows mobile. Simu ikiwa na Whatsapp au anaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.