KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,758
- 39,493
Ili kupata jawabu la swali lako unatakiwa ujiulize kwanini....unalazimika kununua kifurushi cha intaneti ili wewe uweze kuperuzi kwenye hiyo mitandao.....??!!!
Ukishajua sababu ya wewe kulipia hiyo huduma ya mtandao ndio....alafu ujiulize ni watu wangapii wanafungua hyo mitandao kwa siku moja na kwa pesa.....
Hapo ndipo utakapopata kujua kuwa hao jamaa wanapataje utajiri kwa wewe kuchungulia kwenye mitandao yao.....!!!??