Recent content by Chalz03

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ni basi gani uliwahi panda ukajuta na ukasema hutokaa ulipande tena?

    Umepandia kahama? Wapiga debe sio watu😂😂😂
  2. C

    JamiiForums Tanzania Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

    Umenikumbusha nilishawahi kukaribishwa chakula af ikawa ugali na mtindi af mi mtindi sijawahi kuuelewa hata robo, aloooo nilipata wakati mgumu balaa Wakawa wananiuliza mbona hauli😅
  3. C

    JamiiForums Tanzania HALI YA STAND KUU YA MABASI YA MIKOANI, WILAYANI MA MAENEO MENGINE YA MKOA WA KAGERA

    Kahama? Na ukilinganisha na uzito wa hiyo manispaa ulivyo kwa upande wa usafirishaji
  4. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Toa mwongozo wewe mkuu
  5. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, unaikumbuka show mbovu kabisa iliyowahi kukutokea?

    Huu uzi😂😂🙌 Nina kisa kimoja cha ajabu sana, sema wacha ipite😂
  6. C

    JamiiForums Tanzania Tuzungumzie fursa zilipo maeneo yetu, mikoani na wilayani ulipo

    Yet umeshindwa kuzitaja hapa
  7. C

    JamiiForums Tanzania Serikali haikagui vyakula, kipi kinawazuia wenye migahawa kupika mizoga, mchele wa plastiki, viungo expired, mafuta ya transfoma / nguruwe, n.k

    Hapa bila uzalendo tutakula madudu sana, umesahau na hamira kwenye wali
  8. C

    JamiiForums Tanzania Mikoa gani mizuti kuishi ukiwa umeajiriwa?

    Mbeya, tukuyu Kila mtu si anakubaliana na mimi, eti wadau
  9. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Na mimi nasubiri majibu hapa
  10. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    😂😂😂 Kwamba open wanasomea whatsapp
  11. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Nini kinafanya shule isiwepo
  12. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Sababu ya kusoma 7 years ni sababu ya chuo au nini
  13. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Kwamba cheti tu lakini kichwani unaweza kutoka mweupe
  14. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Duh! Umeniacha mkuu
  15. C

    JamiiForums Tanzania Experience kwa waliosoma Open university degree ya kwanza

    Kama mada inavyojieleza hapo wakuu, naomba kufahamu uzoefu walopata wale waliopitia mfumo huo wa elimu kupata shahada zenu. Hiyo ikihusisha namna ya kusoma ugumu na wepesi na pia baada ya kumaliza kusoma.
Back
Top Bottom