HALI YA STAND KUU YA MABASI YA MIKOANI, WILAYANI MA MAENEO MENGINE YA MKOA WA KAGERA

ichumu lya

JF-Expert Member
Aug 11, 2016
2,605
2,729
Bukoba ni mji mkongwe apa nchini umekuwa na kufikia hadhi ya Munispal lakini pamoja na kuwa Munispal bado hakuna Stand inayoendana na Miji inayoendelea. Ni mji wenye soko kuu bovu kuliko masoko yote ya nchi hii kiukweli mji unapoteza sifa ya Nshomile miaka kadhaa imepita baraza la madiwa chini ya Mstahki Meya wa Bukoba Nd.Chief Karumuna alitaka kutuondokea kadhia hii na kuanzisha ujenzi wa stand kuu ya mabasi Kyakairabwa kama inayoonekana kwenye picha lakini muda ulipoisha tukaingia kwenye uchaguzi kilichofanyika mnakijua kwahiyo madiwani wote hawakurudi wakaingia Ccm ambao sass ni mwaka wa tatu mtawalia hawataki kumalizia stand kisa sifa zitaenda kwa Chama cha Chadema.

Nitoe Rai kwa Serkali hii ya CCM huo mradi umejengwa kwa fedha za walipa kodi tena kwa kutenga kiasi kidogokidogo kutoka kwenye vyanzo vya ndani ya mji wa Bukoba ninyi mmeutelekeza.
Je mnataka tugome kulipa kodi mfunge biashara zote?
Chondechonde tengeni fedha mmalizie mradi huu tuondokane na matope yaliyopo stand hii ya miaka 1947 imepitwa na muda.
IMG_6795.jpg
IMG_20220512_130643_221.jpg
 
Bukoba ni mji mkongwe apa nchini umekuwa na kufikia hadhi ya Munispal lakini pamoja na kuwa Munispal bado hakuna Stand inayoendana na Miji inayoendelea. Ni mji wenye soko kuu bovu kuliko masoko yote ya nchi hii kiukweli mji unapoteza sifa ya Nshomile miaka kadhaa imepita baraza la madiwa chini ya Mstahki Meya wa Bukoba Nd.Chief Karumuna alitaka kutuondokea kadhia hii na kuanzisha ujenzi wa stand kuu ya mabasi Kyakairabwa kama inayoonekana kwenye picha lakini muda ulipoisha tukaingia kwenye uchaguzi kilichofanyika mnakijua kwahiyo madiwani wote hawakurudi wakaingia Ccm ambao sass ni mwaka wa tatu mtawalia hawataki kumalizia stand kisa sifa zitaenda kwa Chama cha Chadema.

Nitoe Rai kwa Serkali hii ya CCM huo mradi umejengwa kwa fedha za walipa kodi tena kwa kutenga kiasi kidogokidogo kutoka kwenye vyanzo vya ndani ya mji wa Bukoba ninyi mmeutelekeza.
Je mnataka tugome kulipa kodi mfunge biashara zote?
Chondechonde tengeni fedha mmalizie mradi huu tuondokane na matope yaliyopo stand hii ya miaka 1947 imepitwa na muda.View attachment 2221642View attachment 2221643
Wilaya zote za mkoa wa kagere ikiwemo za bukoba mjini ziko hoi, infact bukoba aina maendeleo yoyote ya maana sio stendi tu mambo mengi yako hovyo sana.
 
Hakuna bepari mmoja akajenga standi mkaacha kutusumbua na vijisenti vyenu vya mawazo
Tangia ulanguzi/Uhujumu wahaya walikataa tamaa kuwekeza nyumbani wanaletwa kwenye majeneza wasione aibu ya mji wetu.
 
Hili Suala ni dogo sana kwa Wenyeji na Wazawa wa Mkoa wa Kagera na Wilaya zake zote.

Kwa jinsi mlivyo na SIFA semeni hamjaamua tu kwa maana nnavyowajua mkiamua mnaweza tena pakubwa sana. Hata kuishinda Mikoa na Miji Mikubwa kama Kilimanjaro, Arusha & Mwanza.

Naomba hili suala lifanyiwe Mkazo hasa huko kwenye Magroup ya WhatsApp ya akina Nshomile.

Tag wahusika: Mimi naanza na
Liberata Mulamula.

Wakora Waitu!🤝🏽🙏🏽
 
Wakora Waitu!
Nakutumia namba mkuu niunge kwenye ayo magroup tuone namna ya kuondokana na kadhia hii.
 
Sidhani kama soko la Ndugai dodoma limejengwa na wagogo au la magomeni kwamba limejengwa na wazaramo. CCM kwa nini mnapiga hela ya kahawa kupitia vyama vya ushirika huku wakulima wakiachwa maskini na kuwazuia wasiuze Uganda?
 
Wala usijisumbue kunijia PM. Mimi sio 'Wa Kunyumba' ila najua na naamini inawezekana kufanyika Mabadiliko ya kweli na kiuzalendo wa nyumbani hata kwa kushirikiana na Serikali.
 
Sidhani kama soko la Ndugai dodoma limejengwa na wagogo au la magomeni kwamba limejengwa na wazaramo. CCM kwa nini mnapiga hela ya kahawa kupitia vyama vya ushirika huku wakulima wakiachwa maskini na kuwazuia wasiuze Uganda?
Sawa kama serkali imegoma kutimiza wajibu wake nini kifanyike?
 
Kwanza hata uwanja wa ndege omukajunguti waliacha wakajenga chato ambako hadi sasa hauna kazi ule uwanja
 
Bukoba ni mji mkongwe apa nchini umekuwa na kufikia hadhi ya Munispal lakini pamoja na kuwa Munispal bado hakuna Stand inayoendana na Miji inayoendelea. Ni mji wenye soko kuu bovu kuliko masoko yote ya nchi hii kiukweli mji unapoteza sifa ya Nshomile miaka kadhaa imepita baraza la madiwa chini ya Mstahki Meya wa Bukoba Nd.Chief Karumuna alitaka kutuondokea kadhia hii na kuanzisha ujenzi wa stand kuu ya mabasi Kyakairabwa kama inayoonekana kwenye picha lakini muda ulipoisha tukaingia kwenye uchaguzi kilichofanyika mnakijua kwahiyo madiwani wote hawakurudi wakaingia Ccm ambao sass ni mwaka wa tatu mtawalia hawataki kumalizia stand kisa sifa zitaenda kwa Chama cha Chadema.

Nitoe Rai kwa Serkali hii ya CCM huo mradi umejengwa kwa fedha za walipa kodi tena kwa kutenga kiasi kidogokidogo kutoka kwenye vyanzo vya ndani ya mji wa Bukoba ninyi mmeutelekeza.
Je mnataka tugome kulipa kodi mfunge biashara zote?
Chondechonde tengeni fedha mmalizie mradi huu tuondokane na matope yaliyopo stand hii ya miaka 1947 imepitwa na muda.View attachment 2221642View attachment 2221643
Iwe bojooooo
 
Sawa kama serkali imegoma kutimiza wajibu wake nini kifanyike?
Serikali ina uzembe wake lakini kabla ya serikali , viongozi wengi wanaochaguliwa kagera ni wachumia tumbo hayupo hata mmoja anayeiwaza bukoba mpya na yenye maendeleo kwa kizazi cha badae cha wahaya , mfano khamisi kagasheki (mbunge na waziri wa maliasili mstaafu) , nikumbushe ni kipi amefanya bukoba?

Winifred lwakatale(mbunge mstaafu) alifanya nini?
Amani ( akiwa meya) ni lipi amefanya zaidi ya kujilimbikizia mali ? Na kuwatia aibu wahaya kwa kufisiliwa hivi karibuni kwa madeni yasiyolipika.

Chief kalumuna( meya mstaafu) alijitaidi ila akaishia njiani ila angeweza kumaliza shida ni ipi?

Suluhisho ni wahaya kujitafakari kwa watu wanaopewa dhamana kuongoza, maana hata kama ni wa vyama vya upinzani ila kiongozi bora, kazi yake itaonekana tu .

TEKERI.

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Bukoba ni mji mkongwe apa nchini umekuwa na kufikia hadhi ya Munispal lakini pamoja na kuwa Munispal bado hakuna Stand inayoendana na Miji inayoendelea. Ni mji wenye soko kuu bovu kuliko masoko yote ya nchi hii kiukweli mji unapoteza sifa ya Nshomile miaka kadhaa imepita baraza la madiwa chini ya Mstahki Meya wa Bukoba Nd.Chief Karumuna alitaka kutuondokea kadhia hii na kuanzisha ujenzi wa stand kuu ya mabasi Kyakairabwa kama inayoonekana kwenye picha lakini muda ulipoisha tukaingia kwenye uchaguzi kilichofanyika mnakijua kwahiyo madiwani wote hawakurudi wakaingia Ccm ambao sass ni mwaka wa tatu mtawalia hawataki kumalizia stand kisa sifa zitaenda kwa Chama cha Chadema.

Nitoe Rai kwa Serkali hii ya CCM huo mradi umejengwa kwa fedha za walipa kodi tena kwa kutenga kiasi kidogokidogo kutoka kwenye vyanzo vya ndani ya mji wa Bukoba ninyi mmeutelekeza.
Je mnataka tugome kulipa kodi mfunge biashara zote?
Chondechonde tengeni fedha mmalizie mradi huu tuondokane na matope yaliyopo stand hii ya miaka 1947 imepitwa na muda.View attachment 2221642View attachment 2221643
Mtag Nchemba
 
Back
Top Bottom