Chakula kipi uliwahi kutana nacho ugenini ukajutia ugeni wako?

bila shaka ukiwa unasoma advance
Hapana
Nilikuwa ndio nimemaliza primary nikaenda kumtembelea ndugu ndiyo nikakuta ni moja ya kitafunwa pendwa.
Nilipotoka tumezoea mkate,maandazi au chapati.
Huko ugenini vitafunwa vya asili kama mihogo,viazi,ndizi,au hayo mashelisheli.
Siku nyingine kunapikwa wali au tambi mnanywea chai.
Hii ilikuwa ngeni kwangu ila nilikuwa napenda vikichemshwa viazi vitamu au ndizi.
 
Sitasahau siku nilipopikiwa ugal wa dona wenye harufu ya limao a (mwenyeji alichemsha maji akaweka majani ya limao na tangawizi kwa mbali) kisha ikichemka akayatoa akapika hakika ugali ule ulinukia limao tupu daaah tena alitumia yale maindi ya njano ko ugali ulikuwa wa njano tupu hakika ulipendeza sana😜😛😛
 
Nikienda kwa mtu huwa napenda kwenda nikiwa nimeshiba kabisa kuondoa adha.Nilishawahi kula ugali na maziwa mtindi nikiwa nasoma,hiyo ilikuwa ni baada ya kumtembelea ndugu baada ya kutoka shule,nilikuwa na ubao balaa ila nilishhiba baada ya tonge tatu.Mtindi ulikuwa mchungu alafu jikoni walikuwa wanakaanga samaki.
 
S/L hapa mbwa pia. Mama ntilie anapogeuza geuza nyama kwenye sufuria, mara unaona kanyagio lambwa!
Nilishaalikwa na watu wa Sierra Leone msosi, Ile nakoroga naibua nyama mkono wa nyani, sijui ngedere, sikuchukua mchuzi hata wa kuku, hata samaki niliogopa waweza kulishwa nyoka, nikala mlenda walipika na ugali wao mchungu!

Aisee nikaapa sili nyama nyumbani Kwa wasio watz!
 
Una kaushamba fulani. Unakula nyama, samaki, kuku...tu. Mlo kamili lazima uwe na mbogamboga, matunda, maharage kidogo... Wewe wa nyama tu, umekuwa simba? Utakuwa na kitambi.
Dagaa mwanza mixe mchicha,kwa anko,

Yaani nilikuwa nakula ugali nawaza kumeza,chakula kinajaa mdomoni,aisee halafu mchicha silagi

Chakula kilinishinda,nusunusu nitapikie kwenye sahani ya chakula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikienda kwa mtu huwa napenda kwenda nikiwa nimeshiba kabisa kuondoa adha.Nilishawahi kula ugali na maziwa mtindi nikiwa nasoma,hiyo ilikuwa ni baada ya kumtembelea ndugu baada ya kutoka shule,nilikuwa na ubao balaa ila nilishhiba baada ya tonge tatu.Mtindi ulikuwa mchungu alafu jikoni walikuwa wanakaanga samaki.
Umenikumbusha nilishawahi kukaribishwa chakula af ikawa ugali na mtindi af mi mtindi sijawahi kuuelewa hata robo, aloooo nilipata wakati mgumu balaa
Wakawa wananiuliza mbona hauli😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom