Recent content by chakufia nini

  1. chakufia nini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naonekana na slugisha discussion kumbe

    Usipokubali kuliwa kidogo huli....
  2. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Picha zinatisha:Jamaa Wajilipua Baada Ya Uovu Wao Kubainika

    Majamaa yako peponi yanatafuna vitusu 70 vipya kabisa
  3. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi hatuna TIN numbers?

    Wazo zuri sana mkuu.naamini kwa staili hii ile mishahara yetu hewa itatoweka
  4. chakufia nini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kuoa dada na mdogo wake anayemfuata?

    Mshikaji uroho wako mbaya dah!!!
  5. chakufia nini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemuomba aje tuishi, tufunge ndoa hataki

    Misingi ya ndoa ni mapenzi kati ya watu wawili na siyo huo uroho ulionao
  6. chakufia nini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu anawafundisha watoto dini yake kwa siri, kinyume na amri yangu

    Hizo dani zenyewe ni zipi?
  7. chakufia nini

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakwe wanataka kumpa jina la ukoo wao mtoto wangu mtarajiwa badala ya kutumia jina langu!

    Kwani ukoo wa mkeo ndo unapenda zinaa?ka vipi mumuite jina la ukoo "zinaa" mfano: chakufianini zinaaa etc etc
  8. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Hata maiti zinataka kuzikwa mjini

    Raha kaburini mkuu???
  9. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Hata maiti zinataka kuzikwa mjini

    Ukisha lala unakuwaje tena mjini mkuu?
  10. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Hata maiti zinataka kuzikwa mjini

    Leo baada ya kutoka church nikaamua kupita kwa wadogo zangu wawili kuwasalimia na kuwatakia amani ya bwana. Katika kupiga piga stori tukafikia kuulizana hivi maziko yetu yatakiwa wapi tukifa leo? Wadogo zangu hawa wakadai ikitokea wamefariki basi niwazike hapa hapa mjini na nisije thubutu...
  11. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Me mutuz bro can't you reserve some respect for you bro?
  12. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Mkuu samahani,hivi umekuja mjini lini au unaandika ukiwa kwenu huko mchambawima?
  13. chakufia nini

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliopanda ndege, hivi kuna raha sana kiasi cha kumfanya mtu kupenda safari?

    tangu nimeanza kutumia usafiri huu sijawahi sikia diplomatic class na sijawahi jua kama ipo.naomba nifahamishwe hii mkuu
Back
Top Bottom