Naonekana na slugisha discussion kumbe

Naonekana na slugisha discussion kumbe

Its our nature kama vile nyie mnavopenda kujiremba,na ili uweze kujicontrol na hiyo nature ni kua na strong belief kama kua na imani ya dini na hofu kubwa ya dhambi hiyo ndo pekee kinaweza kujicontrol..
Mimi naona hili ndo jibu zuri kuliko yote. Nkajua yote yataendelea hivi hvi lakini... Aya ngoj niendelee kusubiri
 
Kumbe ushamgea... sasa kwanini umbanie tena?? We umeshaona ya kwake ikiwa imesimama??
Hapana sio kugea.. i thot unauliza kama kuonana maumbile. Point ni kwamba the girl ni bikra... Anataka asubiriwe mpka ndoa ndo ulale nae.
 
Pumbafff.... Kwahiyo unataka ale nani dhidi ya mtarajiwa wako,?

Alafu hujajibu' wewe ni bikra?
 
Hapana sio kugea.. i thot unauliza kama kuonana maumbile. Point ni kwamba the girl ni bikra... Anataka asubiriwe mpka ndoa ndo ulale nae.

Navyoijua JF jiandae watu kuja kukushauri PM.
 
Hapana sio kugea.. i thot unauliza kama kuonana maumbile. Point ni kwamba the girl ni bikra... Anataka asubiriwe mpka ndoa ndo ulale nae.

kumbe sio wewe.! Pumbaf shule zafungua lini?
 
KWANINI WANAUME HAMUWEZI KUSUBIRIA NDOA ILI ULALE NA MTU?
ili iweje wakati teyari walishakubambi_ tena huenda mpaka imeota sugu, unless otherwise it's proved that u ar a virgin but that still does not necessarily mean that it's a win-win!
 
Wanaume tunaweza kuvumilia mpaka kufikia ndoa ila hatuwezi kuwa na mahusiano kwa muda mrefu bila kula mzigo.
Msimamo wa mwanamke ndio utakaoleta ndoa kwani sisi kuiendea ndoa huwa tunatanguliza mambo mengi na kusahahu jukumu la ndoa kabsaaa.

Kwa mfano ukiishi kwenye jamii iliyo na dini kwao kitu kuoa si kuwa umejikamilisha kwa maana ya kuwa na kazi nzuri na kuwa vzuri zaidi kiuchumi wao inakuwa pale anapokuwa anauweza wa kumhudumia mke na anapofikiwa na hatua ya kumtamani mwanamke wengi nimewaona wanaoa, (ZNZ case study njoo uone)

Lakini Ukija kwa upande wa watu waliombali na imani zao na kuchukulia kungonoka ni swala la kawaida kwao Kuoa ni kuwa na Nyumba,Gari na kazi nzuri kwanza na wanasahau kabsaa lengo kuu la ndoa kwa mujibu wa maandiko...Case study uliyenaye sasa
 
Ukiona watu wa hivi hawataki kusaula nguo zao basi machine inavuja kishenzi.
 
Mi nakushauri endelea kumnyima wakati mwenzio atakapoenda kutafuta utamu kwingine. Siku akija kukuoa atakuwa kashapata kauzoefu labda na virusi vichache...
 
Kwa mtazamo wangu, kama mwanaume kakusubiria miaka 3.. Huyo anastahili pongezi.. Maana ingekuwa mimi ningesha kuwa nimechepuka si chini ya wadada 5 au zaidi..
Maana kuna muda unafika mwanaume hataki kingine zaid ya sex <talking with experience>
although am still 21 yr s young, but i know how it takes to be a man *a real man*
so be wise, make a right choice.
 
Tusema asha wahi na kukofreshy tuu..


Ukatili huo hauvumiliki. Mimi nikitaka kukuoa kweli lazima kwanza nikuweke ndani ili nikuchunguze vizuri. Sasa huyo mwenzio nani anayempikia
 
From my previous post naonekana kama na-pretend ila its serious.

Mimi sio mwana jamii forum nmejiunga kwasabbu ni moja wapo ya sehemu niliambiwa nitapata majibu.

Tatizo langu ni kwamba na ndicho nilichokuwa nauliza tangu my previous post sema nilianza kwa a story ili tuelewane katika situation kama ile inakuwaje bado wanaume hamuwezi kusubiri?

My question na point ya mimi kuja huku ni...... "KWANINI WANAUME HAMUWEZI KUSUBIRIA NDOA ILI ULALE NA MTU? KWANINI HAMUWEZI KUKAA MUDA MREFU BILA KUFANYA ILE KITU? KUNA NINI HASWA KINACHOWAFANYA MSHINDWE KUVUMILIA?"

That is all i need from yu jf'ers . Despite from my story nataka kujua kwanini bwana wangu hawezi kunisubiri.. nyie ni wanaume kama yeye kwahiyo naombeni ur point of views kama males

Usipokubali kuliwa kidogo huli....
 
Niliamini vitu kama hivi vilisha karne 20. Jamani tupo karne 21 yenye ushindani mkubwa sana... Watu wa karne hii hawataki usumbufu hata kdgo ukizingua tu anatafuta mbadala haraka sana hautamini
 
Kuna sababu nyingi za kutotaka kusubiri;

1) Kama mwanaume anaijua radha ya papuchi inanogaje kusubiri ni ngumu. Matamanio ya kuduu yanakuwa makubwa na huwezi kumzuia. Akikukubalia kusubiri jua anapiga wengine ili kupunguza joto la mihemuko na utaendelea kujidanganya kuwa mmekubaliana kusubiri wakati kiuhalisia unasubiri peke yako. Mwanaume anayeweza kusubiri ni yule ambaye hajawahi onja papuchi katika maisha yake tangu azaliwe, hilo ujue.

2) Tatizo jingine kwako ni kwamba tayari ulishamuonjesha hivyo kwa sasa kumuambia asubiri ni ngumu ni kutomtendea haki. Vinginevyo harakisheni ndoa ili asiendelee kujipooza kwa wengine.

3) Test before use theory. Kizazi cha sasa kinaitumia sana hii kanuni kujua mwanamke ananogaje, between legs pameumbwaje? Lakini wengine wameenda mbali zaidi kwa kutaka kujua kama mimba inaweza tengenezwa? Maana hili ni janga la dunia.

4) Lakini pia, vp ikitokea mtu kakuonjesha na ukavutiwa naye, si ndio unaweza kuniacha Mimi, provided hujui hata radha yangu? Hakuna kitu ambacho wanaume hatupendi kama kuwa dumped for another man tukiwa hatujawahi onja, hiyo ni mwiko na aibu.

Keep in mind this, " Mwanaume rijali hawezi kuvumilia kusubiri hata week". Labda kama yuko porini anafanya Kazi ya kupasua mbao, kuchimba na kupasua Mawe, kuchimba mitaro au Kazi yoyote inayomfanya kichwa kisitulie nk. Kinyume na hapo mnatafuta maradhi yasiyotibika. Cha msingi kama mko kwenye nafasi ya kufunga ndoa fanyeni hivyo haraka ili mufurahie nyuchi zenu kwa pamoja bila masharti mgumu.
 
Wewe bwana usituletee uboya wako hapa ... Udogo wako wa akili wa kutambua mtu sahihi kwa maisha yako usisababishe mwanaume wako mateso ..

Kama humuamini achana nae .. Kama una muamini mpe .. Wanaume wapo wa aina tofauti asee sio wote wanafanana..

Mimi hapa binafsi nipo very loyal kwa mpenzi wangu kwakua ananipa kila ninapo hitaji tuna aminiana na kuheshimiana ..

Angekua hanipi mambo wala nisinge msaliti ila ningemtosa ningekua na anaye nipa ...

Tatizo lenu mnaingia tu kwenye uhusiano pasipo kuelewa watu mnao date nao ... Mnakalilishwa tu ..

Watu wengi wanapenda sex hiyo ni nature yetu asee ila sio wote ni malaya na kupenda sex sio umalaya ..

Utumie akili .. Mahusiano ni jambo la watu wazima lazima ujue jinsi ya kudeal na huyo alienae kama una akili za kitoto uhusiano utakushinda ..

Uhusiano hua haukaliliwi tuseme kwamba wanaume wote sawa au wanawake wote sawa ..sio ivyo kila mtu ana utofauti wake na unapaswa kujua kabisa ulie nae ana nia gani na unaweza kujua kama ukiwa na utimamu wa akili ila kama unapenda fairly tale tu kama mapenzi ya tamthilia utapotea binti ..

Umeamua kujihusisha kwa mambo ya watu wazima basi uwe mtu mzima kwanza wewe mwenyewe
 
Back
Top Bottom