Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,277
- 8,850
Jamaa hawa 3 walivaa nguo za jeshi la iraqi kisha kupanga jinsi ya kwenda kujilipua wote kwa pamoja ndani ya kambi ya jeshi huko fallujah.
Kumbe katika kundi hilo la wapanga mipango kulikua na mpelelezi mmoja aliyepewa kazi ya kuwasafirisha mpaka eneo la tukio . Huyu mpelelezi akafanikiwa kuwaelekeza watu hawa sehemu tofauti ili wakakutane na wanajeshi ili kudhibitiwa.
Hata hivyo wakaamua kujilipua wenyewe kabla ya kukamatwa na haya ndio mabaki.

Attachments
Last edited by a moderator: