Tabia ya msichana/mwanamke,siku ya kwanza mnakutana kwa maongezi,anafika eneo la tukio,lakini anakuwa busy na kuchati,yaani hata mistari unayomshushia inakatikakatika!badilikeni bhana,tabia hiyo sio,yaani ni kama wale wanaosoma gazeti wakati wa majamboz!