kivyako
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 14,342
- 12,065
Movie inaelekea mwisho.....
Sterling anaanza safari ya kurudi kwa mama watoto...
Movie inaelekea mwisho.....
wewe ni poyoyo hujui kitu masikini weee, yaani hujui kitu kabisa. mbona wewe hujawahi kucomment chochote na unadandia tu hoja. unajua chochote walau? utaleta facts zipi wakati wewe hata hiyo pf3 haujaiona wala DNA report haujaiona? au wewe umeiona?
na kama tukisema tuongee facts, wewe na uanasheria wako wote unaamini report ya expert (doctor) ni conclusive evidence iliyobeba hiyo kesi yote. umesomea sheria wapi wewe poyoyo? if you think the evidence of that doctor/expert kwenye pf3 umebeba ushahidi wote, what about evidence of a government chemisty, what about eye witnesses na circumstantial evidence nyingine? au wewe huwa unaenda mahakamani unategemea ushahidi wa pf3 tu?hahaha, mwalimu aliyekufundisha wewe ataumia sana kusikia hilo.
na kama pengine haujaelewa, try to talk about statutory rape kwa huyo binti ambeye imethibitika kuwa ni under age, na DNA report ikaja, ikaunganishwa na ile audio, plus meseji kibao za kuomba msamaha zitakazoletwa na printout ya watu wa mtandao wa simu.....
siwezi ongea sana napoteza muda in short wewe ni matako hufai hata kujadili hoja.
ndugu yangu, nilishawahi kudeal na hivi vitu sana, hao polisi achana nao kabisa. hata madoctor. its very easy to temper with pf3 kwasababu ni form tu ambayo unaweza kuipata polisi any time, ukaongea na mwendesha mashitaka na polisi, ukampa doctor pesa akajaza upya, mambo yameisha. ndivyo wanavyofanya.
sasa kama kweli doctor alisema hivyo, namwendesha mashitaka alimuandaa doctor kabla ya kuingia, akapeleka ushahidi kama huo ili ukaunge mkono kesi yake, unafikiri hapo mwendesha mashitaka hana mkono?hahaha, lazima jamaa ameonwa au ameamriwa amsaidie jamaa. na alipoleta huo ushahidi hostile kwa kesi ya prosecution, prosecutor hakumdeclare hostile.
jaribu kufikiri, kama prosecutor alijua hilo kabla ya kuingia, kwanini hakuachana na huyo doctor, akaingia moja kwa moja mahakamani na kuondoa kesi? lakini alijua anachoenda kuongea lakini ili kurahisira upande wa pili akamwacha doctor akaharibu mambo kule ndani. kwisha habari yake, na mbasha atatoka.
prosecutor ndiye mwenye mamlaka ya shahidi yupi aje na nani asije na wakati gani afunge kesi upande wa republic au la, hivyo hata government chemisty anaweza asiletwe jamaa akafunga kesi na rulling ya whether kuna kesi ya kujibu au la inaletwa, na kama ushahidi ni hafifu, kesi itakuwa acquittal palepale, ndicho kilicholengwa na huyo prosecutor. ni kitu cha kweli kwamba doctor kama amesema hivyo, ni madhara makubwa sana upane wa prosecution na republic wanatakiwa kuleta ushahidi mwingine mzito sana. unfortunately, kama prosecutor aliruhusu shahidi wa aina hii kuingia mahakamani, hawezi kuleta ushahidi mwingine bora kuliko wa huyo doctor, na ninafikiri ni muafaka tusema 'MBASHA HAKUBAKA' kabisa kwasababu prosecution hawana ushahidi mzuri. kwisha habari yake.
kama prosecutor angekuwa mzuri, au angekuwa analeta mashahidi na mashahidi wanaounga mkono kesi, mbasha angepotelea jela. lakini hata hivyo, unajua 30 years si mchezo, nisingependa mwanadamu yeyote aende jela miaka hiyo kwa kesi kama ya mbasha. so its ok for me kama akiachiwa. ila kama tukiongelea uwezo na nia ya mwendesha mashitaka ktk hili kama kweli alimruhusu shahidi wa namna hiyo kuingia mahakamani, basi jamaa lazima amekula mpunga wa kueleweka, au amepewa amri afanye hivyo kutoka juu. (mbasha ana network, na ndiyo network hiyo alikuwa anaitumia kutafuta matamasha ya flora, hadi huko ssm mbasha anajulikana.
wewe ni poyoyo hujui kitu masikini weee, yaani hujui kitu kabisa. mbona wewe hujawahi kucomment chochote na unadandia tu hoja. unajua chochote walau? utaleta facts zipi wakati wewe hata hiyo pf3 haujaiona wala DNA report haujaiona? au wewe umeiona?
na kama tukisema tuongee facts, wewe na uanasheria wako wote unaamini report ya expert (doctor) ni conclusive evidence iliyobeba hiyo kesi yote. umesomea sheria wapi wewe poyoyo? if you think the evidence of that doctor/expert kwenye pf3 umebeba ushahidi wote, what about evidence of a government chemisty, what about eye witnesses na circumstantial evidence nyingine? au wewe huwa unaenda mahakamani unategemea ushahidi wa pf3 tu?hahaha, mwalimu aliyekufundisha wewe ataumia sana kusikia hilo.
na kama pengine haujaelewa, try to talk about statutory rape kwa huyo binti ambeye imethibitika kuwa ni under age, na DNA report ikaja, ikaunganishwa na ile audio, plus meseji kibao za kuomba msamaha zitakazoletwa na printout ya watu wa mtandao wa simu.....
siwezi ongea sana napoteza muda in short wewe ni matako hufai hata kujadili hoja.
Kupima macho na kubakwa kunahusiana vipi?au picha ya mbakaji hubaki machoni kwa mbakwaji,naomba ufafanuzi hapa!

Huyo Daktari(Expert) ni Fake na hajui kabisa kazi yake.
Hakupaswa hata kuitwa mahakamani kutoa ushahidi kwa kuwa ushahidi wake ni Invalid na Unprofessional. Anapaswa hata kusimamishwa kazi, kuitwa kwenye baraza la madaktari na hata kushtakiwa kwa torture ya mgonjwa.
Kwanini?
Kipimo cha maabara cha kutaka kuthibitisha kama mwanamke amebakwa au la (Vaginal Swab Analysis) kinapaswa kufanyika hasa ndani ya masaa 24 toka tukio la ubakaji kuripotiwa na kabla ya mhusika haja-disturb mazingira ya ukeni(kama kuoga au kufuta au kusafisha au kupaka uke wake) Kwani baada ya hapo kamwe hauwezi kuona kitu kama kulikuwa na ubakaji.
Sasa huyo Daktari kuamua kumpima huyo binti siku ya nane alikuwa anataka kuona nini tena?
Alichokifanya huyo Daktari is Unprofessional and Unethical.
alikua wap kivip c kazin kwake kila cku? ameongea leo kwan ndio sehem muafaka alipotakiwa aongee ulitaka aende kweny magazeti na media kutoa taarifa za kitabibu? udaktari ni taaluma inayofuata miiko sio kutoa taarifa za wagonjwa wako ovyo ni kinyume cha sheria! sasa shetan ana uhusinao gan apa? yeye ametoa taarifa za kitaalam
toka mwanzo nilipata wasiwasi na issue ya uyu dada kubakwa, wewe utabakwa vp mara mbili eti ya tatu ndio unasema kwa nn hakusema the first time?
Huyo Daktari(Expert) ni Fake na hajui kabisa kazi yake.
Hakupaswa hata kuitwa mahakamani kutoa ushahidi kwa kuwa ushahidi wake ni Invalid na Unprofessional. Anapaswa hata kusimamishwa kazi, kuitwa kwenye baraza la madaktari na hata kushtakiwa kwa torture ya mgonjwa.
Kwanini?
Kipimo cha maabara cha kutaka kuthibitisha kama mwanamke amebakwa au la (Vaginal Swab Analysis) kinapaswa kufanyika hasa ndani ya masaa 24 toka tukio la ubakaji kuripotiwa na kabla ya mhusika haja-disturb mazingira ya ukeni(kama kuoga au kufuta au kusafisha au kupaka uke wake) Kwani baada ya hapo kamwe hauwezi kuona kitu kama kulikuwa na ubakaji.
Sasa huyo Daktari kuamua kumpima huyo binti siku ya nane alikuwa anataka kuona nini tena?
Alichokifanya huyo Daktari is Unprofessional and Unethical.
Wadau mkisoma vyema yaliyoandikwa gazetini mtaoni jinsi huyo binti alivyojiharibia mwenyewe alipoambiwa aende maabara kupimwa akasepa akarudi baada ya zaidi ya wiki je hapo ni kosa la daktari au huyo victim? Source mwananchi la ijumaa uk wa 6.
Huyo Daktari(Expert) ni Fake na hajui kabisa kazi yake.
Hakupaswa hata kuitwa mahakamani kutoa ushahidi kwa kuwa ushahidi wake ni Invalid na Unprofessional. Anapaswa hata kusimamishwa kazi, kuitwa kwenye baraza la madaktari na hata kushtakiwa kwa torture ya mgonjwa.
Kwanini?
Kipimo cha maabara cha kutaka kuthibitisha kama mwanamke amebakwa au la (Vaginal Swab Analysis) kinapaswa kufanyika hasa ndani ya masaa 24 toka tukio la ubakaji kuripotiwa na kabla ya mhusika haja-disturb mazingira ya ukeni(kama kuoga au kufuta au kusafisha au kupaka uke wake) Kwani baada ya hapo kamwe hauwezi kuona kitu kama kulikuwa na ubakaji.
Sasa huyo Daktari kuamua kumpima huyo binti siku ya nane alikuwa anataka kuona nini tena?
Alichokifanya huyo Daktari is Unprofessional and Unethical.
Mbona Monica Lewinsky alifanyiwa baada ya miaka 5 na ukweli ukabainika?? Wee vipi.Huyo Daktari(Expert) ni Fake na hajui kabisa kazi yake.
Hakupaswa hata kuitwa mahakamani kutoa ushahidi kwa kuwa ushahidi wake ni Invalid na Unprofessional. Anapaswa hata kusimamishwa kazi, kuitwa kwenye baraza la madaktari na hata kushtakiwa kwa torture ya mgonjwa.
Kwanini?
Kipimo cha maabara cha kutaka kuthibitisha kama mwanamke amebakwa au la (Vaginal Swab Analysis) kinapaswa kufanyika hasa ndani ya masaa 24 toka tukio la ubakaji kuripotiwa na kabla ya mhusika haja-disturb mazingira ya ukeni(kama kuoga au kufuta au kusafisha au kupaka uke wake) Kwani baada ya hapo kamwe hauwezi kuona kitu kama kulikuwa na ubakaji.
Sasa huyo Daktari kuamua kumpima huyo binti siku ya nane alikuwa anataka kuona nini tena?
Alichokifanya huyo Daktari is Unprofessional and Unethical.
WE UNAISHI DUNIA gani,,,karibia magazeti yote yameandika hii habari