Recent content by chakachuaz

  1. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Serikal yaongeza mishahara ghafla?

    jaman mwenye habar kamili anijuze,ni kwel serikal imeongeza mishahara ya watumishi ghafla?
  2. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania TSD na maswaibu yake

    MASWAHIBU KATIKA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU (TSD) Idara mojawapo inayokumbana na maswahibu mazito kutokana na hali hiyo ni idara ya utumishi wa walimu ambayo inazo ofisi hadi ngazi ya wilaya. Idara hii hasa Ofisi za TSD (W) na TSD (M) zinaongoza kwa uduni, yaani ni Ofisi ambazo hazina mwonekano...
  3. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

    Hamna kitu kama hicho kamwe walimu hawawezi kugoma ushirikiano wao ni sifuri...hizo ni kelele za mbu tuuuu
  4. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Waliotumwa kumuua Dr. Ulimboka wapata PIGO Afrika Kusini

    mh..kaz kwel kwel
  5. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    oooooh shit! 3.5M? na wanaopokea laki tatu watafanyaje kama hao wanaopokea laki tisa wanagoma? acha uvivu wa kufikiri.!!!!!!!!!!!!!!!!
  6. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    hivi weweee kila kada ikisema inagoma jee nchi hii itaenda? wacha mawazo finyu...!!!!!!! zipo njia za kutatua migoggoro na sio mgomo...!!!!!
  7. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Opinio Poll: Je, unaunga mkono mgomo wa madaktari?

    siwezi kuunga mkono...kwani nchi hii sio madaktari pekeee!!!!!!!!!!
  8. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Wafanyakazi kugoma nchi nzima kama kodi isipopunguzwa na mshahara kuongezwa

    Kama watumishi wa kada nyingine mishahara yao hata haifiki nusu ya nadaktari afu madaktari wenyewe wapo kwenye mgomo kwa nini watumishi wa kada nyingine tusiungane na sisi tudai haki yetu...au ndo kusema kuwa tukeridhika na hii hali?
  9. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

    Kama katekwa na amebahatika kupona hajafa!!!!!!!! basi hakuna haja ya kuunda chombo cha uchunguzi kwani huyo aliyekuwa amemuita anamkumbuka ni kumtaja tu na akamatwe naye atataja wenzake na waliomtuma.
  10. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Wafanyakazi kugoma nchi nzima kama kodi isipopunguzwa na mshahara kuongezwa

    Tucta ni mbayuwayu...hawana msimamo,tunataka action sio kupiga kelele kama debe tupu
  11. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania TSD kufutwa na majukumu yake kukabidhiwa kwa wakurugenzi

    kUNA UVUMI KUWA IDARA YA UTUMISHI WA WALIMU INAFUTWA NA MAJUKU YAKE KUABIDHIWA KWA WAKURUGENZI JAMAN WADAU MWENYE TAARIFA KAMILI ATUJUZE
  12. chakachuaz

    JamiiForums Tanzania Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    TSD,TSD,TSD,TSD.......TSD NI Idara ya Utumishi wa walimu ya Ofis ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma kwa mamlaka iliyopewa na kifungu 6(4) cha sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya 2002 ni mamlaka ya ajira kwa walimu wote walio katika utumishi wa Umma.KWANZA NIULIZE SWALI KWA MH.Rais hivi ni kweli...
Back
Top Bottom