That is subjective.Madaktari wamegoma for a 'cause". Je unawaunga mkono? Toa maoni yako tafadhali
naunga mkono tena wakaze buti
Kama hii ipo subjective anzisha poll yako!!
That is subjective.
Ungeuliza , Je unaunga mkono mgonjwa kukosa huduma kwa vile madaktari wako kwenye mgomo?
Na utapata jibu tofauti kabisa.
Madaktari wamegoma for a 'cause". Je unawaunga mkono? Toa maoni yako tafadhali