Recent content by Chajuu

  1. C

    Kikwete: Mafuriko ya Lowassa/UKAWA ni moto wa mabua!

    Hivi JK anaudharau moto wa mabua kuwa haunguzi nyumba au? Aangalie sana kwa ni hakuna sababu ya kuingia gharama ya mafuta au gesi kuchoma banda la mabua!
  2. C

    Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Mkuu waweza kulipia kwa tigopesa kwenye cm yako kwa namba *150*63# kisha fuata maelekezo. Hakikisha unakuwa na namba ya smrt card yako karibu maana utaulizwa kuingiza. Star Times nilitarajia mtakuwa mkitujibu shida zetu kwa wakati ljn naona mko kimya sana sijui huu uzi mliuweka wa nn kama...
  3. C

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Please add me too! My contact is 0715085307. Be blessed!
  4. C

    DC wa Kinondoni(Makonda) yupo anamsimanga Lowassa

    Yaelekea DC anajua kuwa kuna watu ambao wameandikishwa wasio watanzania. Kama ni watz kwanini visitumike kama vitambulisho halali? Ukizingatia kuwa RITA haijaweza kutoa vitambulisho vya uraia kwa kiasi kikubwa kama ilivyo kwa vitambulisho vya kupigia kura.
  5. C

    Naomba wafanyakazi wapewa TIN(Taxpayer IdentificationNumber) namba

    Ni vyema ukaomba kuelimiashwa umuhimu wa kuwa na TIN
  6. C

    Naomba kujua haki ya raia kuhusu hili

    Mh. Rrondo kwani wana JF hawawezi kutoa ushauri wa kisheria kupitia jukwaahili? Mimi sioni sababu ya kumshauri mleta mada ahamie jukwaa la wanasheria. Acha wanasheria watupe ushauri kuhusiana na thread hii.
  7. C

    Naomba wafanyakazi wapewa TIN(Taxpayer IdentificationNumber) namba

    Ni kweli kabisa ndugu yangu. Unakuta mfanyabiashara ndogondogo anayelipa kodi mara moja kwa mwaka na pengine asilipe anatambuliwa na TRA kama mlipa kodi lakini mfanyakazi ambaye kodi yake inakatwa kila mwezi hata kabla mfanyakazi huyo hajapokea mshahara wake hatambuliki. Viongozi wa vyama vya...
  8. C

    Mwanamke ukiolewa na watu hawa ujue umekula hasara sana

    Mh. Money Stunna utafiti wako kama haukuegemea upande mmoja tueleze na wanawake wanaotafuta wachumba wajihadhari na wanaume gani?
  9. C

    Rais Kikwete atoka nje katika kikao cha kumpitisha Ridhiwani

    Ningekuwa mimi ndio mwenyekiti ningeamuru jina la mwanangu litolewe kwenye orodha ya wagombea kisha niendeshe kikao ili kurudisha imani kwa wanachama wetu kuwa chama chetu si cha kurithishana.
  10. C

    Lecture za bure, kwa wanavyuo wote

    Asante kwa ushauri mzuri tena wa kimaendeleo. Tuache porojo za siasa na michezo kwenye mitandao tuongeze elimu!
  11. C

    TAHADHARI: Hali ya bahari imechafuka.

    Asante kwa habari nzuri na ya kuelimisha jamii.Tuige mfano huu sio kushabikia umbea tu.
  12. C

    Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Kifo cha Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika kusini Nelson Mandela. Hii ndiyo habari iliyopewa umuhimu mkubwa zaidi kwa mwaka huu2013
  13. C

    Mzee Farijala wa CCM Amshambulia Dkt. Charles Kitima

    Hayo ni mawazo yake na wala si ya ccm. Utakuwa mwendawazimu kama utashindwa kuitambua kazi iliyofanywa na Dr. Kitima! Ni fadhila zipi anzozitarajia kutoka kwake?
  14. C

    Watawanya mabaki ya miili Ilala

    Jamani njaa hizi zitatuua ubinadamu umetoweka kabisa. Serikali hebu ingilieni kati jambo hili linatuchafua!
  15. C

    Mh. Capt. Alalamika bungeni kuwa wananchi wake ni duni kimaisha.

    Jamani mwacheni Capt. atumie haki yake ya kuwasilisha matatizo ya wapiga kura wake!!!!
Back
Top Bottom