NullPointer
JF-Expert Member
- Feb 7, 2011
- 3,461
- 2,273
Lectures nzuri sana kutoka katika vyuo mbalimbali duniani hua zipo online, as Tanzania siku hizi inazidi kudevelop katika swala la Internet, nadhani ni muda mzuri kutumia nafasi hii katika elimu pia. Vyuo vikubwa duniani kama MIT, Harvard, Stanford, SNU etc vina kitu kinaitwa Open Course Ware, ambapo lecture zao zote hua zinarekodiwa kwenye video, na handouts zote walizopewa pamoja na mitihani hupostiwa online kumpa nafasi mtu yeyote yule duniani kuweza kuzitazama bure. Unafanyaje?
Ni rahisi, Unafungua website, then unachagua course unayoitaka, mfano ninasoma Computer Science, sijui programming kabisa, then naweza kufungua course ya Introduction to Computer Science Harvard, au ninasoma Uchumi, niko mwaka wa kwanza, naweza fungua Introduction to Economics say MIT mfano, na nikafuatilia course waliyofundishwa semester nzima, video na handouts zote na mitihani yote waliyofanya. Swala ni kuongeza knowledge na si tu kuconcentrate na kila tulichonacho. Websites ni kama zifuatazo:
http://www.coursera.org
http://www.edx.org
MIT OpenCourseWare | Free Online Course Materials
Muda wako kwenye internet usiwe kwa ajili ya kuchat tu, fungua soma, usisomee mitihani tu, soma kupata knowledge, fun then hata mitihani itafaulika tu.
Nlisahau niongeze source nyingine,
kwa wale wanaotumia iOS, yani iPhone au iPads au iPod pia wanaweza kudownload software inaitwa "iTunes U" wakaenda kwenye catalog then unaandika course unayoitaka zitakuja nyingi utachagua mwenyewe..
Wale wanaotumia computer kupata hii ya iTunes U, cha kufanya ni download itunes kwenye computer, then ukiifungua, nenda itunes store, kwenye search pale badala ya kuandika application, we andika course unayotafuta, mfano "Chemical Engineering"
Nadhani ntakua nimeeleweka, tupia mention na comment ka utakua umeshindwa kufuatilia vizuri