Recent content by Chafu 3

  1. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani unaipenda sana lakini watu hawaipendi?

    Love dont cost a thing na let it shine hua sizichok hiz
  2. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Anguko la Diamond ni sawa na "Mr nice"

    Hakuna cheny mwanzo kikakosa mwsho,lazma ifike muda uwape kijit wenzio nao waendeshe hayo magari
  3. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania wakazi wacha maneno bado ni underground, zilla ni bro wako kwa game

    Wakazi underground? umeonyesha uchanga wako kimuziki
  4. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Diamond platnumz anaikumbuka hii

    Kwan diamond ni mchezaj wa tim gan hapa tanzania
  5. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Diamond hafikii mziki huu.kiki tu inampaisha na jina

    Diamond ndo anachezea tim gan kwan.....
  6. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Napata Wasiwasi Sana Na Uelekeo Wa "DiamondPlatnumz"

    Kajitahid ila uwezo umepungua na wakat anaurelease huo wimbo xxl clouds fm alisema baada ya wik 3 anatoa ngoma nyingine nadhan ndo itakua na young killa
  7. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Kimenuka mnyama adai alipwe milion ishirin kwa wiz wa nyimbo yake

    Mnyama anadai anachostahil quick alipaswa amuombe,mbna diamond na belle9 waliomba ruhusa kwa bi saida kabla ya kukopy salome,tatzo tz tunaish kwa mazoeza
  8. Chafu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

    Mke wa mtu ni mtam lakin akikukamata mumewe ww ndo unakua mtam zaid kwake
  9. Chafu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume nawapa siri kuhusu usafi wa mwili wa mwanamke wako!

    Wengne tulinyonya mara ya mwsho kwa mama
  10. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

    Jaza ujazwe
  11. Chafu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada tuambieni list ya wanaume mliovunja nao amri ya 6!

    Ngoja waje,Kuna watu wakiorodhesha idadi utafikir walikua wanahesabu sensa,wamesepa na kijiji
  12. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ali Kiba hataki bifu lake na Diamond liishe?

    Ujue kuna vitu watu hamjui kila anachopost kiba mnamhusianisha na nasib ila ukwel ni kwamba hayo maneno yko kweny wimbo wake mpya,new song alert hyo Kebe kebe,all the way
  13. Chafu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shemeji yangu Hana chupi

    Haha kwamba hana kufuli
  14. Chafu 3

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania To Paprika, I love you so much listen to me Dear..!!

    Let luv lead
  15. Chafu 3

    JamiiForums Tanzania Ombi rasmi kwa CCM: Maandamano ya nchi nzima ya kumuunga mkono Rais wetu yaandaliwe

    Kwa hyo mkiandamana ndo inakua nn,kwamba mchanga ndo unarud? Wastage of tym n energy
Back
Top Bottom