udaan sapno kiKuna series ya kihindi wanaiita sijui ya chakolii. Nilianglia season 1 tu, sikuielewa wala nini wale watu mule wako kama mazuzu watu wa kulia lia tu.
Yani wale wahindi wa kile kijiji wapo kama mazuzu kulia lia tu.udaan sapno ki
Movie za kihindi yaani me sizipendiii, lakini watu wanazipenda
Mkuu una moyo season kabisa umemaliza mm movie yyte ya kihindi siangalii kabisa nina Alergy naoKuna series ya kihindi wanaiita sijui ya chakolii. Nilianglia season 1 tu, sikuielewa wala nini wale watu mule wako kama mazuzu watu wa kulia lia tu.
Nilikuwa najitahidi mkuu labda nitaielewa mana shemeji yako anaipenda sana lakini wapi.Mkuu una moyo season kabisa umemaliza mm movie yyte ya kihindi siangalii kabisa nina Alergy nao
Aisee ni bonge la movie hata mimi naielewa sanaaaaaaaaaaaMkuu hiyo kitu ni hatari sana, me naielewa mpaka kesho yaani
Bonge la stori aiseebajrangi bhaijaan
Ngoja nikaisake kwenye kabati niaangalie sasa hiviAisee ni bonge la movie hata mimi naielewa sanaaaaaaaaaaa