Mimi nina nini jamani, hakuna hata mdada alienijibu PM!!

Ukiona hivyo bado hujawa maarufu maana wasichana/wanawake wa Jf ni sheedaa,,,,

Watu hawaangaliii master's
 
Hahaha!pole sana,tafuta mfupa wa bundi mzee ,usage mpaka upatikane unga,halafu chukua mafuta ya mgando kisha changanya.Jipake mchanganyiko huo kila saa sita na robo usiku kwa siku 2,mademu wataanza kumiminika kama viwavi.
Imethibishwa na Mshana Jr kweli hii..??
 
Wandugu Habari
Jaman mim ni kijana mtanashati na msomi wa masters. Nilishawishika kujiunga jf na kufurahia maisha ya humu kweli ni Mazur na matam sana. Lakin wandugu mim Nina kasoro gan mbona wadada wa humu awataki kujibu text zangu mf miss natafuta nimetumia zaidi ya 20 naomben ushaur wenu, nimestuk usingzin lkn ili jambo limeniuma sana
Pole sana jitie moyo vuta subira dunia siyo kama unavyoidhania, shukuru hata kwa kutokuja nani ajuaye nini kingekupata!!Jifunze kushukuru kwa kila jambo
 
Back
Top Bottom