Wadada tuambieni list ya wanaume mliovunja nao amri ya 6!

Maki J

Senior Member
Mar 22, 2017
154
250
Kuna jamaa katoka kutoa uzi juu ya list ya wanawake aliotembea nao,ana 28 ametembea na wadada wasiopungua 14 sasa wanaume wenzie wanamshangaa eti list ni ndogo wakati mm nashangaa mbona wengi.....haya wadada zamu yenu kufunguka list zenu..

Mm tangu nimezaliwa nime date na wanaume wa 3,wa kwanza nikiwa secondary tena alikuwa kaka wa rafiki yangu bt hatukuwahi kufanya chochote hata ku kiss zaidi ya kunikiss shavuni tena Mara 1 coz tulikuwa tuanakutana kwao naenda kwa lengo la kuzuga kumsalimia rafiki yangu so Mara zote kwao kunakuwa na watu wengi and pia alikuwa anasoma pwani mm Arusha so distance ikachangia kushidwa kuvunja amri ya 6( japo pia nilikuwa muoga snaa nicjeshtukiwa home) tuliachana kwa ajili ya distance,

Wa pili nilikutana nae nilivyokuwa chuo japo tulikuwa tunasoma vyuo tofaut sema mkoa mmoja wa Dar yy ndo alikuwa wa kwanza kuni kiss yni ndo Mara ya kwanza kufanya romance aiseee was good Sanaa.....cku sex nae kwani kuna habari mbaya nilikuwa nazipata juu ya ukoo wao na ndugu yake mmoja yani kaka yake inasemakana alikuwa analiwa TG sasa hiyo ikanipa ukakasi Sanaa wa kumpa mbunye(cku nyingine nitawapat story flani ivi japo fupi) hy nae tuliachana japo kwao waote walikuwa wananijua kama mkwe wao.

Wa 3 ndo alifanikiwa kuonja ndo hy niliye toa uzi flani ivi kuwa cku enjoy coz hata ckuwa naelewa nafanya nn yy nilimwamin coz alikuwa mwaminifu afu ni mtu wa church Ile mbaya nadhani alipaswa kuwa Baba mchungaji yh ttz lake hakuwa romantic yani hajui kukaa na mwanamke(nadhani ndo maana tulisex once then tukaachana coz I never enjoy or get hurt kwa kifup nilimwona selfish)

so baada ya hy list nimemua kukaa single kwanza nione upepo unavumaje.
Haya wadada zamu yenu
 
JipuKubwa

JF-Expert Member
Jun 1, 2013
2,229
2,000
Kuna jamaa katoka kutoa uzi juu ya list ya wanawake aliotembea nao,ana 28 ametembea na wadada wasiopungua 14 sasa wanaume wenzie wanamshangaa eti list ni ndogo wakati mm nashangaa mbona wengi.....haya wadada zamu yenu kufunguka list zenu..

Mm tangu nimezaliwa nime date na wanaume wa 3,wa kwanza nikiwa secondary tena alikuwa kaka wa rafiki yangu bt hatukuwahi kufanya chochote hata ku kiss zaidi ya kunikiss shavuni tena Mara 1 coz tulikuwa tuanakutana kwao naenda kwa lengo la kuzuga kumsalimia rafiki yangu so Mara zote kwao kunakuwa na watu wengi and pia alikuwa anasoma pwani mm Arusha so distance ikachangia kushidwa kuvunja amri ya 6( japo pia nilikuwa muoga snaa nicjeshtukiwa home) tuliachana kwa ajili ya distance,
Wa pili nilikutana nae nilivyokuwa chuo japo tulikuwa tunasoma vyuo tofaut sema mkoa mmoja wa Dar yy ndo alikuwa wa kwanza kuni kiss yni ndo Mara ya kwanza kufanya romance aiseee was good Sanaa.....cku sex nae kwani kuna habari mbaya nilikuwa nazipata juu ya ukoo wao na ndugu yake mmoja yani kaka yake inasemakana alikuwa analiwa TG sasa hiyo ikanipa ukakasi Sanaa wa kumpa mbunye(cku nyingine nitawapat story flani ivi japo fupi) hy nae tuliachana japo kwao waote walikuwa wananijua kama mkwe wao.
Wa 3 ndo alifanikiwa kuonja ndo hy niliye toa uzi flani ivi kuwa cku enjoy coz hata ckuwa naelewa nafanya nn yy nilimwamin coz alikuwa mwaminifu afu ni mtu wa church Ile mbaya nadhani alipaswa kuwa Baba mchungaji yh ttz lake hakuwa romantic yani hajui kukaa na mwanamke(nadhani ndo maana tulisex once then tukaachana coz I never enjoy or get hurt kwa kifup nilimwona selfish) so baada ya hy list nimemua kukaa single kwanza nione upepo unavumaje.
Haya wadada zamu yenu
Unagundu
 
bwii

JF-Expert Member
May 24, 2014
1,212
2,000
Haaa miaka mi4 iliyopiya nilihakikisha navunja amri ya sita na wanawake waaiopungua wawili kwa muda wa miaka mitatu
 
Mark Msue

JF-Expert Member
Apr 2, 2017
2,298
2,000
Usitarajie majibu ya wadada hapa...that is a very personal thing to say but kwa wewe kama ni ukweli umesema hongera zako.
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,468
2,000
Sijajua kwanini wanawake linapokuja suala la mahusiano hawapendi kabisa lumbesa au mlolongo wa wanaume, wanatamani waseme hawajawahi kabisa.

Hata hivyo sio jambo la kujivunia kwamba unaweza kuunga mabehewa matatu au kujaza meli ya Titanic, kwa faida gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom