Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Mke wa mtu mtamu jamani, acheni tu...

Ukitaka kufaidi zaidi oa mjane huyo anakuwa wako wa kila siku...hapo ndo utajua utam unasababishwa na Emergency tu
 
Kwa vile hana gharam lait ungekuwa unahudumia ungekimbia majukum yak
Mbona kuna huyu mke wa mtu tena mume wake ana njululu za kutosha lkn haishi kunipiga mzinga au sijui sababu ni mchaga duuuuu
 
Vitamu vina gharama mkuu..jitahidi sana wajuba wasikutie mikononi!
 
Shetwain anaongezea viungo ndo huo utamu unaongezeka.
Wabobezi wanasema "high risk high return"
 
Mi nazan tumekosa vya kujadili inafikia hatua kufundishana au kutukuza maovu ambayo uwe muislam au mkristo vitabu haviruhusu,kama mke /Mume WA MTU mtam ushawai jihoji kuwa hata Mume/mkeo ni mtam ila tamaa ndo inakutawala?mi nafikir hii jamii forum iwe ya kuelemisha na sio MTU kuleta mada za kukumbatia uovu,tujaribu kuwa na hofu hata chembe kumuogopa Mungu.
 
Hii imakaaje,... Nilishawahi kufanya hii dhambi,.. Nashukuru nimeweza kujinasua kwenye hili tatizo, maana ukishaingia huku, kutoka ni Kazi kweli kweli.... Mke wa mtu anakuwaga mtamu saaana halafu penzi lake ni matata na halichoshi....inasababishwa na nini hii kitu...
Ikimbieni zinaa
 
Aiseeeeee!
 
Shetani anakuwa katikati yenu kuwaraghai ndo maana mnanogewa.,,
 
Back
Top Bottom