Recent content by Chadema Ukawa

  1. C

    CHADEMA yashindwa katika Kesi ya kupinga matokeo Mbeya vijijini

    Kuna watu humu wanaongea pumba tu. Chadema ni tishio ktk siasa
  2. C

    Hongereni Ilikiurei na Namayana kwa kuwapata Wenyeviti makini na wachapa kazi

    Nawapongeza sana Onesphory Chami mwkt wa Kitongoji cha Ilikiuerei na Elias Naigisa wa kitongoji cha Namayana. Mmefanya kazi kubwa ambayo inatakiwa iungwe mkono na kila mpenda maendeleo. 1_Shule ya msingi Ilikiurei mmewezesha watoto wale kupata maji ambayo tangu uhuru hawakuwahi kuyapata...
  3. C

    Uchambuzi Wa Habari: Tunafanyaje na Naibu Spika Tulia Ackson?

    Nawaunga mkono UKAWA kutoka. Tunahitaji demokrasia kwanza. Maendeleo baadaye
  4. C

    Mkutano wa hadhara Chadema kata ya Themi

    Arusha na chadema ni mdomo na mate, haiwezekani yeyote duniani hapa wa kutenganisha Chadema na Ars. Chadema ni mpango mzima nchi nzima. Ukawa kama Kawa
  5. C

    Alichojitabiria Zitto kimemtokea haraka

    zzk utameza mwenyewe
  6. C

    Zitto ndio mbunge/mwanachama pekee wa CHADEMA ambaye hajawahi kutana na shuruba za Kipolisi

    Nyinyi msiojua Mwkt- mtei Ktb-makani Mwkt- makani Ktb-kabourou Mwkt-mbowe Makamu- safari Makamu-hamad Ktb mkuu- slaa N/katb- mnyika N/ktb-s. mwalim Ukabila uko wapi hapo??? Au mama na babako ni kabila moja ukafikiri na CHADEMA ni hivyo?? Zzk alikuwa msaliti kwa kuzaliwa, uchaguzi wa arumeru...
  7. C

    Mtoto alawitiwa ndani ya ofisi za CCM

    Mapopobawa hayo, mmegombana na madaktari,waalimu, madreva, maaskofu, wanainchi.mmeua uchumi wa taifa hili. Mmekataliwa na wahisani sababu ya kulinda wezi wa escrow. Sasa mmehamia dhambi isiyokubalika ya kulawiti watoto wadogo. Na bado kuna watu humu nao ni wehu au majuha mnatetea upuuzi huo...
  8. C

    Hongera Wah Madiwani wa Arusha

    Hongera madiwani wa CHADEMA. Endeleeni kutenda haki, maccm yanaendeleza dhuluma na uzushi, Mji umeongeza mapato ya ndani ni mipango yenu hiyo, big up sana. Ikiwezekana sasa kama hati ya ununuzi ina utata warudishe kiwanja hicho soon. Pia ni vema wanainchi waambiwe kinachoendelea. Ars tupo...
  9. C

    CHADEMA DAR: Mkutano wa hadhara na Mh. Freeman Mbowe 01/05/2015

    Watu wengine vichwa ndimu sana, chadema ni mpango mzima, Chadema mfano Ar mjini wana mitaa 74 na sisiem 78. Lakini mitaa 5 ccm walipita bila kupingwa hivyo kwenye sanduku la kura CHADEMA 74 na ccm 73. Lakini ukiwa nao utaona wanajitekenya na kujichekesha wenyewe. Kuna wakati wa kuweka...
  10. C

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake

    Tamati imefikia ccm mpaka leo hamjampata mgombea, mmekuwa vichaa wote
  11. C

    Kada wa CCM Arusha atangaza kumvaa Lema

    Wewe kim haki ya mungu hunijui pesa yangu ulionirusha kwa daytrip ya ngorongoro utailipa jukwaani. Laki na ishirini uliobaki nayo itakutoa jasho sana. Tunahitaji mtu makini kama KAMANDA LEMA yeye ni rais wa Arusha. Usidanganye watu kuwa unahitaji utulivu na amani, tambua hakuna Amani bila...
  12. C

    Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Simiyu

    Zzk ni msaliti mbwa anayetaka watz waendelee kunyanyasika. Uwiiiiiiiiiiii apite hivi
  13. C

    Freeman Mbowe atetemesha Itilima-Simiyu

    Mungu yehova kama ulivyowavusha wana wa israel bahari ya utawavusha ukawa twakuo mba ameen
  14. C

    Joseph Mbilinyi: Kikwete studio ulioitangazia dunia kuwapa wasanii iko wapi? Umemkabidhi nani?

    Sugu twende zetu tukanunue TOT tuwaburuze october. Walikuwa wanamfuata kikwete hapo nyuma leo uwape studio?? Nyie wasanii wa ccm pitenj hapa.
  15. C

    Dr. Slaa: Hakuna Uoga Wowote Juu ya Lowassa

    Dr Slaa ni mashine hiyo,hakuna wa kumbabaisha Tz hii. Lowasa ulitoa wapi pesa za kuhonga?? Utazirudishaje??? Unalilia urais ili ufanyeje??wewe hufai hata kidogo
Back
Top Bottom