Vyama (CDM, CUF etc) vinaweza vikazipa ideologies zao majina mbali mbali lakini kwa concept ya kisiasa ya left na right wings ambayo origin yake ni ufaransa kwa maoni yangu haiko applicable kwa nchi kama yetu kwa sababu hatuna misingi RASIMI ya kitaifa ambayo ni common na inakubalika kwa wote kama misingi ya awali ya taifa letu !. Nadhani tukubaliane kutokukubaliana kwa hili !
Kwa issue ya demodrasia, wanaopinga au wanaoharibu ni CCM peke yao (niseme baadhi yao, especially walioko madarakani). Sioni watu wengine wa aina hiyo katika nchi hii.... CDM, CUF na wapinzani wengine ninaowajua mimi, ukishinda kwa uhalali hawana matatizo kabisa !. Na ndio maana sehemu zenye matatizo kuhusiana na uchaguzi ni zile wapinzani wanaposhinda kwani CCM huwa hawataki kukubali matakwa ya wananchi - refer, Ubungo, Kawe, Mbeya Mjini, Arusha mjini nk. Tumeshuhudia uminyaji huu wa demokrasia wa hali ya juu ukifanywa na hawa hawa CCM juzi tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa....
Kwa hiyo mkiwa wengi, wala usiwe na wasiwasi, kwa watu kama sisi, tuta-flow naturally na bila kinyongo chochote na tena tutawapa na pongezi za dhati kabisa. Lakini sasa hivi tukiona mnachokifanya kinawa-mislead wananchi tutapaza sauti zetu kuwaonya wananchi kwamba mnaingizwa chaka msiwafuate hawa......Lakini pamoja na kupaza sauti zetu, ikiwa at the end of the day wananchi kwa ujumla wao wakiona nyie ndio mnafaa.....sisi ni nani hata tupinge kile watanzania kwa ujumla wao wanachokitaka ?! Tutawapongeza !.

Kwa hiyo msingi wetu ni nini? unapokataa kitu inabidi utoe na suluhisho....CDM msingi wake nini? CUF ni maliberali....ACT wao wanasema ni Wademokrasia wajamaaa....kumbuka chama bila msingi (ideology) ni sawa na taasisi inayofanya kazi za miradi ya maendeleo tu....Nashukuru kwa kujadiliana na wewe bila jazba wala matusi...nakushauri uendelee kuamini unachoamini na mimi ntaendelea kuamini ninachoamini...mkiwa wengi mtashinda na tutafuata..nasi tukiwa wengi im expectin people of ur calibre to do exactly the same (Democracy).