Kada wa CCM Arusha atangaza kumvaa Lema

Kada wa CCM Arusha atangaza kumvaa Lema

Haaa haaa duh MUSSA ALLAN huyu Fute sidhani kama CCM ni wajinga kiasi hicho jamaa ni mjanja mjanja wa mjini kwanza aliingia katika tasnia ya filamu akashindwa kufurukuta kutokana ubishororo sasa yupo kwenye utalii na kikampuni cha kisanii saniii hana lolote bora ungeniambia Mollel wa Monaban anaweza kusumbua kutokana na ukwasi alionao lakini akiingiza ukabila kitamtokea kama kilichomtokea Ole Saibul.

Halafu jana nilikuwa kwa Kiwory natangaza nia ya kugombea ubunge kupitia ACT Wazalendo nadhani nitaleta ushindani wa ukweli.

Mkuu samahani Act ndio nini?
 
Last edited by a moderator:
Haaa haaa duh MUSSA ALLAN huyu Fute sidhani kama CCM ni wajinga kiasi hicho jamaa ni mjanja mjanja wa mjini kwanza aliingia katika tasnia ya filamu akashindwa kufurukuta kutokana ubishororo sasa yupo kwenye utalii na kikampuni cha kisanii saniii hana lolote bora ungeniambia Mollel wa Monaban anaweza kusumbua kutokana na ukwasi alionao lakini akiingiza ukabila kitamtokea kama kilichomtokea Ole Saibul.

Halafu jana nilikuwa kwa Kiwory natangaza nia ya kugombea ubunge kupitia ACT Wazalendo nadhani nitaleta ushindani wa ukweli.


Hata huyo Monaban ni kwamba anaubip umaskini. Tutazipiga hela zake lakini hatutampigia kura.

Tatizo letu Arusha ni Ccm, Hakuna atakayekuja kwa jina Hilo akatoboa!!
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua Lema hapigwi, ni kujiuliza mbona waliotangaza nia wengi ni wa CCM? Hapo ccm mnapigana wenyewe kwa kuwa kila kabila hapo linataka mgomea wake ndio apitishwe na chama, hakika watakaotoswa WATAMPIGA MWENZAO aliepitishwa na chama tatizo lenu walafi wa madaraka mnapigana wenyewe kwa wenyewe na jimbo haliwezi rudi ccm tangu mfumo wa vyama vyingi uingie nchini ccm haijawahi shinda Arusha, na haitashinda tena.

Ubarikiwe mkuu
 
Tumwombe Lema asigombee asimamishe jiwe na hao mafisadi, wapambane nalo, litawapiga chini vibaya sana!!!!!!!

Teeeeh teeeeh teeeeh teeeeh teeeeh mama wee mbavu zangu,we jamaa ni mkali
 
Kuna majimbo mangapi yanayoitwa Arusha mjini?
 
Huyu alipata kuigiza kaole miaka ile..

Alipata kuwa mpambe wa LEMA mwaka 2005 TLP akagombea udiwani KALOLENI akaangushwa.

Ameolewa na yule dada wa mmiliki wa VIOLA CAR HIRE.

NAOMBA KUSAHIHISHWA
 
attachment.php


Heee heeee mke anakimbilia ACT Wazalendo Mume anataka kutokea CCM mwaka huu tutakoma.
 
Mwaka wa matangazo yenye nia ya 'kuwatumikia' 'kushawishiwa' 'kuitwa' nk na 'wazee' au 'wananchi'.
 
Tatzo kubwa la Arusha ni barabara mbovu na mpangilio duni wa makazi.
 
Wewe kim haki ya mungu hunijui pesa yangu ulionirusha kwa daytrip ya ngorongoro utailipa jukwaani.

Laki na ishirini uliobaki nayo itakutoa jasho sana. Tunahitaji mtu makini kama KAMANDA LEMA yeye ni rais wa Arusha.

Usidanganye watu kuwa unahitaji utulivu na amani, tambua hakuna Amani bila Haki, mmepora haki za wanainchi leo mnatamka amani???

Mmesha tukira vya kutosha, kimbia kabisa upotelee mbali.

Watalii hawapo kwa sababu mbalimbali.
1-financial chrisiss ya dunia nzima
2-kupungua kwa ajira ktk nchi zilizoendelea
3- serikali ya ccm kutotangaza vivutio vya watalii ipasavyo.
4- ugonjwa wa ebola kwa kusemekana ni africa nzima.
5- usalama general wa bara la africa

Lema ni zaidi ya mbunge Ar mjini
 
LEMA anapingwa kila kona!

Hivi ebu nikuulize swali: kati ya Batrida Burian na huyo mtangaza nia kwa sasa ni nani mwenye nguvu au aliyekuwa na nguvu? maana kama Batrida Burian alishindwa na hadi kutoa machozi hadharani itakuwa huyo wa sasa? Lema ni mashine kubwa ambayo ndani ya CCM hakuna wa kupimana nayo ubavu.
 
Back
Top Bottom