Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake

Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,157
Si kificho tena, bali ni uhalisia, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimefikia tamati yake kabla hata ya uchaguzi mkuu wa oktoba kufikia.

Ni jambo ambalo wenyewe wanaweza lipinga lakini viashiria vyote vya chama hai havionekani kwa Chadema.

Hakuna uibuzi wa hoja zenye kuleta suluhisho la changamoto tulizonazo kama taifa, bali tunasikia tu mipasho kila kona ya nchi hii toka kwa viongozi wake.

Safu ya juu ya chama imekosa ubunifu na kubaki kulaumu kila mtu mpaka wale wasiohusika.

Si kificho tena bali ni uhalisia, Chadema imeishia njiani, kutokana na ulafi wa madaraka na ubinafsi.

Chadema kinapumulia mwavuli wa UKAWA na hoja ya katiba mpya , bila hiyo hawana la kutuambia watanzania.

Nawaasa ndugu zanguni, kutopoteza muda na hiki chama kimeshajifia, tunawasaidia baadhi ya watu kuingiza siku tu.
 
Sawa tunakubali kimefika tamati yake lakini kwanini mnahangaika nacho kila siku, si mtulie tu oktoba mkashinde kwa kishindo tu.
 
Hiyo ni wishful thinking,I think ulipaswa kuongea kinyume cha uliyoyasema,hiyo ndio hali halisi upende usipende,Samahani naandika kwa mafumbo sijui ile sheria wanaisaini saa ngapi
 
Naam kama kinakufa halafu bado kikaweza kuburuza CCM kiasi kile kwenye uchaguzi wa serikALI ZA mITAA, HAYA HAPO KIKIWA HAI KITAKUAJE? hUO MOTO MTAUWEZA KWELI? bYTHEWAY jINA LAKO TU LINAONGEA YOTE
 
Naam kama kinakufa halafu bado kikaweza kuburuza CCM kiasi kile kwenye uchaguzi wa serikALI ZA mITAA, HAYA HAPO KIKIWA HAI KITAKUAJE? hUO MOTO MTAUWEZA KWELI? bYTHEWAY jINA LAKO TU LINAONGEA YOTE

Kuanzia post ya pili mpaka ya kumi kujumuisha na yako utaona ni kwanini nasema kua Chadema kimekufa, watu wa aina yenu , ndio mnakiua chama, hakuna binadamu timamu anapoteza muda kujiunga na watu wenye tabia za bar au vijiweni kama zenu...
 
Hoja kubwa kwa sasa ni KATIBA MPYA kwani tungelikuwea na katiba nzuri matatizo mengi yangeliepukwa. Kama ilivyokuwa kwa 2010, Dr. wa ekweli keshasema kuwa endapo UKAWA ikifanikiwa kuingia ikulu mchakato unaanza upya possibly kuanzia akina Jaji Warioba walipoishia. Kama hiyo sio hoja basi una lako jambo. Hakuna haja ya kuongea mambo mengiiiiiii mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mengiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kama irani ya magamba ambayo ufisadi ni order ya siku wakati haijaandikwa kwenye irani yao.
Na hapa je...

11156275_973840905981764_8573158544688547270_n.jpg
 
Kuanzia post ya pili mpaka ya kumi kujumuisha na yako utaona ni kwanini nasema kua Chadema kimekufa, watu wa aina yenu , ndio mnakiua chama, hakuna binadamu timamu anapoteza muda kujiunga na watu wenye tabia za bar au vijiweni kama zenu...

kumbe hakijafa bado?
 
Hahahaha!! Kuna kitu nimecheka sana wewe mwenyewe unakijua

Ni jambo la kucheka zaidi pale, mtakapopoteza na viti vya ubunge mnavyofikiria ni vyenu, mambo yanakwenda kuwa magumu sana kwa chadema oktoba na hamta amini kitakachowatokea.
 
Hasira zimawapanda kusikia kibarua kimeota nyasi, just imagine mizinga yote mabavicha mliyokua mnapiga kwa mgongo wa chama ndio imekwisha hivyo, lazima utukane.

stroke;
Ahaaaa strokeeeeee; ahaaaa strokuuuuu
Angalia, stroke itakuua!! We endelea kufanya mchezo wa kijinga na stroke. Nenda hospitali, huoni hata huoni tena? Husikii tena, hujitambui tena? Wale mabwana zako kina lile lililotoroka kule Gombe, kina Kinana, kina Nyape, waliotabiri kifo cha kile chama cha msimu huoni woote wamejificha hata harufu hawana??
strokeeeee, we kweli umefikwa. Nawe hata meno huna unasema ata hii machine imekwisha? UKAWA ni rings mpya hizo, tunapiga kote kote. Angalia mfano huu;
Mtwara tunachakaza, Dodoma/Moro tunachakaza,Manyara, Arusha, Kilimanjaro tunachakaza, Bukoba tumegalagaza, Mwanza katavi na Kigoma tumemaliza, hebu nikumbushe ambapo hatuja chakaza niwatume machine za kazi huko.
Mbeya mpaka RPC kachanganyikiwa kaenda jikoni kwa mkewe kuchukua visu vya kukatia mchicha ati kavionyesha kuwa vya kivita.
stroke, naomba uwe mkweli; kati ya ccm na cdm nnani kachanganyikiwa?? Sema kweli
 
Emma;
Jamaa kanywa Coca tu. Sii ile dawa kwani walimng'ong'a sana Dr. Slaa aliposema atawaruhusu watu wanywe mchana peupe kuliko kujinywea vichochoroni mpaka amezimia.
Loh! Lakini tshirt yake ndo kiboko. Kapewa bure bwanaaa. Labda alikuwa ametokea kwenye mkutano wa Kinana kuangalia fisi. Njii hii ya Tanzanyia! Mbona vituko?
 
Hakuna uibuzi wa hoja zenye kuleta suluhisho la changamoto tulizonazo kama taifa, bali tunasikia tu mipasho kila kona ya nchi hii toka kwa viongozi wake.
Si lazima CHADEMA ndiyo waibue hoja mpya, nchi ina vyama vya upinzani utitiri kwanini CHADEMA tu ndiyo waulizwe kuhusu uibuzi wa hoja?

Safu ya juu ya chama imekosa ubunifu na kubaki kulaumu kila mtu mpaka wale wasiohusika.
Kama nani vile asiyehusika ambaye amelaumiwa?

Si kificho tena bali ni uhalisia, Chadema imeishia njiani, kutokana na ulafi wa madaraka na ubinafsi.
Msingi wa hoja hii ni nini?

Chadema kinapumulia mwavuli wa UKAWA na hoja ya katiba mpya , bila hiyo hawana la kutuambia watanzania.
Sioni hoja ya maana hapa, kuna ushahidi gani kwamba survival ya CHADEMA inategemea UKAWA? Lakini pia ikiwa hivyo kuna ubaya gani kama hayo ni makubaliano ya vyama?

Nawaasa ndugu zanguni, kutopoteza muda na hiki chama kimeshajifia, tunawasaidia baadhi ya watu kuingiza siku tu.
Huna hoja hapa
 
Hasira zimawapanda kusikia kibarua kimeota nyasi, just imagine mizinga yote mabavicha mliyokua mnapiga kwa mgongo wa chama ndio imekwisha hivyo, lazima utukane.
A two-stroke, or two-cycle, engine utakuwa na ubongo unao fanana na hizi engine zinasumbuaga sana!
 
kuanzia muda huu wa saa sita na na dk 18, leo j4 tarehe 28 mwezi wa 5 mwaka 2015 natangaza kukudharau rasmi na moja kwa moja ndugu Stroke hadi pale mungu atakapokutwaa .

Say that to the BIRDS!!
 
Ata mimi nimeliona;
mtu mmoja ; nchi nzima wanamuanda; mpaka leo hawajarudi mjini , kisa zitto
 
hapana mkuu sipotezi muda, nasambaza upendo wangu kwako kukukumbusha kua Chadema kimeshajifia, tafuta kazi nyingine ya kufanya.

Unataka kutushawishi tuhamie Lumumba kwenye buku7 au unataka kutuambia nini?
 
Back
Top Bottom