Kitunda, Msongola na Kivule ni miongoni mwa kata zinazounda wilaya ya Ilala.
Licha ya kuwa kata hizo zipo iliyokuwa manisapaa ya Ilala ambayo imepandishwa hadhi na kuwa halmashauri ya jiji la Dar es salaam bado serikali na mamlaka husika imeaumua kuzitenga kata hizo. Kata hizo hazina barabara...
Habari za asubuhi wana jukwaa. Mimi ni mwanafunzi katika chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania, Mwanza mwaka wa tatu 'BAED' na nimepanga kufanya utafiti (Research) juu ya mtazamo wa walimu juu ya madaraja mapya ya ufaulu yaliyotolewa mwaka jana.
Naombeni msaada kwa yeyote anaejua...
Wakat mwingne CHADEMA ndo chanzo cha wanachama wao kuhama. Ikumbukwe kuwa hao wanachama wanaohama wanahama na wafuasi wengi nyuma yao ambao hawakuwa wanachama ila ni wapga kura wa CHADEMA
Hawezi kujiunga direct ktk level ya degree ila kuna options mbil,
1.Anaweza kuanza na diploma then akaunga degree au
2.Akapga foundation course ambayo huwa inatolewa na chuo husika then anajiunga na degree
Kwa kwel mkuu rushwa ya ngono ni tatizo kubwa katka ajira na vyuo vya elimu ya juu. Knowing the root causes of the problem is the first step in problem solving. Kwa mtazamo wangu kuna sababu kuu 3 za kukithri kwa rushwa ya ngono vyuon nazo ni
1. Wanafunzi wenyewe-kuna baadhi yao mavaz yao na...
Kwa kwel mkuu rushwa ya ngono ni tatizo kubwa katka ajira na vyuo vya elimu ya juu. Knowing the root causes problem is the first step in problem solving. Kwa mtazamo wangu kuna 7bu kuu 3 za kukithri kwa rushwa ya ngono nazo ni
1. Wanafunzi wenyewe-kuna baadhi yao mavaz yao na jins wanavyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.