Ukisoma biblia utaelewa kwanini ilikua miaka arobaini...umesahau kwamba walikua na kambi nyingi , sikukuu, ibada na mapokeo ya amri kumi na mengi..hiyo kambi wanaweza wakakaa hata miaka 3, walipigana vita wakiwa safarini...na ukumbuke waliizunguka kukwepa kupita ktk nchi za maadui zao na namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.