Ni kweli. Kama ambavyo unawaambia watu ukimaliza sekondari kuna option mbili tu, kwenda Chuo kikuu au kwenda diploma ya ualimu. Hahahahah! Ni utaratibu tu, hata mtoto anapoanza shule huanza kujifunza nyimbo kwanza, halafu kuandika chini kwa kidole au kijitinchi hii kuna option mbili. Aidha uwe chadema au ccm. ndo maana raisi wako. magu. anachekelea mpaka jino LA mwisho kupokea madiwani kutoka chadema. siyo act
Hizi fikra za kudhani chama cha siasa ni mtu mmoja ni tatizo. Sijui kwa nini tunakuwa na fikra duni kiasi hicho?[emoji45] sasa kama chama robotatu ipo ccm unategemea nini
Najuz tu leporofesa kitila kasema magu 2020 anapita bila kampeni unategemea ana time na chama chake
Japo sidhan kama hata hua wanavikao kweli
Hizi fikra za kudhani chama cha siasa ni mtu mmoja ni tatizo. Sijui kwa nini tunakuwa na fikra duni kiasi hicho?
Hivyo ambavyo havijapotea vinafanya nini? basi si lazima wachukue mawazo haya ACT, Tuwashauri hao ambao hawashirikiani na serikali wayachukue na wayafanye kazi ili wafanikiwe.Zitto mwenyewe hatabiriki akipewa wizara anakaa sasa wat u think
Mrema yupo wapi na nccr mageuzi yake
Yaan chama cha upinzani kikianza kufanya kazi na serikali lazma kipotee
Angalia vijana wa Nasa kenya utajua wat i mean
[emoji45]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]Walk up tena mkuu?? Au ulimaanisha wake up?