Nimekuwa nikihangaika kupakuwa movies alafu sifikii tamati bundle kuisha naomba kueleweshwa
Kama unaweza shauri hapa tushirikishane kujua ni bundle za mtandao gani zinaweza kuwa bei lahisi ili kuweza kupakuwa movies kutoka kwenye mtandao wa intaneti!?
This is just a wish... and it is not this soon to bcome true.
We have a lot of complex issues that hits our regional unity. Lebels, dictatorship, human rights issues in most cases the laws of war has been deeply violeted. We realy have a big differences to encounter.
The stage that your saying...
tatizo lipo kwa hawa wa chini na pia inawezekaana sio tatizo ambalo wanajitungia tuu ila pia inawezekana hawa watu walipewa meno ya kung'ata so na wao wanaamua kuuma uma kila sekta wakizani huo ndio utaratibu wa muheshiwa ni wao pia.
wacha nikwambie hawa viongozi wa chini wataendelea kuhaibika...
NATAFUTA CHUMBA SELF CONTAINED NA SEBURE, LUKU YA KUJITEGEMEA NA MAJI YAWEPO 24/7.
ENEO - KIGAMBONI.
CALL:- 0653242627
BEI: 150,000 - 180,000/= KWA MWEZI.
Kama mtu una akili vizuri ukisikiliza maelezo ya watu wawili hao utajua wapi pako sawa.
Mondi anajua ila maelezo yake yamejaa kejeli na kupayuka sana.
Ivi umeona lile swali ommy alivyo ulizwa kuhusu kupuliwa alivyo jibu... jamaa kama vile alisomea diplomasia...
Nilimsikiliza pia... nikajua kuwa dimond aliongea kwa jaziba alipanic na alikuwa anaongea kuonyesha anajua zaidi.
Ommy ameongelea zaidi kuharibika kwa mahusiano na kiasi gani inamuuma.
Kwa upande mwingine anaongea logic... yaani kama ni hasabu kafanya na kaonyesha njia na jibu kapatia...
Haibu ya ndugu ako akitetea interest za nchi nyingine wakati nyie rushwa inawamaliza. Njoo umchukuee awasaidiee tuna kina bashe wengi wengine wapo mansese.
Psychology yako ipo vs magufuri mpaka hauwezi ona chochote anachofanya.
Mabadiliko unayoyaongelea ni yapi sasa wakati wewe mwenyewe hujui hata kama mtaani kwetu kuna maji kila nyumba. Umeme umepungua costs, wafanyakazi hewa wanasepeshwa. Nahisi wewe ni pamoja na wale wafanyakazi hewa.
IMEONA TANGAZO KWENYE GROUP LA WHATSAPP JUU YA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KILIMO
MAHALI/;- chuo kikuu dar es salaam mkabala na UDASA Club.
SIKU:- JUMAMOSI,DESEMBA 10,2016.
Ila nimeshindwa kujua jinsi ya kushiriki mimi kama mjasiliamali na nimekosa kupata anwani zao ili kuweza kuwasiliana nao na...
NIMEONA TANGAZO KWENYE GROUP LA WHATSAPP JUU YA UZINDUZI WA BIDHAA ZA KILIMO
MAHALI/;- chuo kikuu dar es salaam mkabala na UDASA Club.
SIKU:- JUMAMOSI,DESEMBA 10,2016.
Ila nimeshindwa kujua jinsi ya kushiriki mimi kama mjasiliamali na nimekosa kupata anwani zao ili kuweza kuwasiliana nao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.