Madalali hawajui kabisa biashara ya Nyumba.
Eti laki 3. * 12 = 3,600,000/-
Hiyo 3.6 unapata kiwanja chanika na kuanza kujenga.
Hela za dili asaivi hamna.
Tena vijana na watu wazima nyumba self container 2 bedrooms zipo Kimara,Gari mwendokasi,maji yapo ,achana na Sinza ,hiyo ilikuwa zamani wakati wa madili ya bandarini!
Dalali ndo maana tunasema mlipe kodi,mfanye kazi,na nyie madalali ndo mnashinda vijiweni siku nzima mnajua nani anakaa wapi na anafanya kazi wapi,yupo safari na anatudi lini,Siku Zote wizi ukitokea pahala first suspect huwa nawaambia Polisi ni madalali wa eneo husika.
Mfanye kazi zama za Yakhe zishapita!