Hawa Waandishi wa Habari wanapoitwa kwenye Matukio, kwanini wanadai malipo?

chikutentema

JF-Expert Member
Dec 10, 2012
7,695
4,947
Hawa watu siwaelewi! Wengine wanatoka vituo vikubwa tu sintovitaja, wakiitwa kunye tukio iwe halmashauri au vinginevyo wanadai malipo.
Wadau wa sekta hii tujuzeni ajira au taaluma hii ikoje katika utendaji na ujira wake....
Mwenye shughuli ndiye analipa?
 
Back
Top Bottom