Recent content by Cephas Saphiel

  1. Cephas Saphiel

    Mizimu na madhababu za Ukoo inatesa Maisha yangu

    Waafrika tumekuwa watumwa si wa matendo tu ila wakifikra. Wazungu wametupumbaza sana kutufanya tudharau vya kwetu. Tumia akili yako angalia nyenzo na madhumuni waliyotumia kutuletea dini zao. Angalia utendaji wa kazi wa dini zao ulinganishe na majibu ya matambiko yaliyokuwa yanatoka kwa mizimu...
  2. Cephas Saphiel

    Ninasafari ya Thailand. Napokea order za mzigo wowote kutoka huko

    Sembe or dona? Au kama vipi nikuunganishe kwa makonda akufanyie mishe,,,,
  3. Cephas Saphiel

    Ninasafari ya Thailand. Napokea order za mzigo wowote kutoka huko

    Hii ni mara ya kwanza mkuu. Ila tayari ninaconection na mwenyeji tiyari yupo kule,,,
  4. Cephas Saphiel

    Ninasafari ya Thailand. Napokea order za mzigo wowote kutoka huko

    Habari wana jamvi? Ninasafari ya kwenda Thailand hivi karibuni. Ninaomba order ya mzigo wowote unaohitaji kutoka kule hasa nguo. Nitakuja na mzigo na kukuuzia kwa bei poa ya jumla. Order plz!
  5. Cephas Saphiel

    Ndege mpya yafanyiwa majaribio. Yaenda Kigoma bila abiria na kugeuza bila abiria

    Nashindwa kuelewa. Hayo majaribio ni ya nini? Kama ndege imetoka Canada mpaka hapa salama salmin, hyo route ya masaa mawili ni ya kujaribu nin? Au imetengenezewa Ujiji?
  6. Cephas Saphiel

    Ogopeni kusoma kombi dhaifu

    Ili tu mjue upeo wa huyu jamaa, hebu atuambie maana ya hilo jina lake.
  7. Cephas Saphiel

    Idris Sultan: Best comedian kwa sasa

    Disengage mkuu,,,,,
  8. Cephas Saphiel

    Picha hii imenisikitisha sana

    Ila jaman panapokucha na kuchwa piga goti mwombe Mungu na umshukuru sana
  9. Cephas Saphiel

    Picha hii imenisikitisha sana

    Hii hapa
  10. Cephas Saphiel

    Picha hii imenisikitisha sana

    Asee hii picha unaweza lia ukiiangalia
  11. Cephas Saphiel

    Msaada wa kuset 3/4g katika sony xperia z4

    Unatumia line gani? Coz proxy zinapishana japo unaweza kuziacha blank na ikawa fresh tu. ni mtandao gani unatumia?
Back
Top Bottom