Picha hii imenisikitisha sana

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
498
ImageUploadedByJamiiForums1452364243.574499.jpg

Picha ya tai chini akisubiri mtoto akate roho kutokana na njaa nae apate chakula chake uko sudan
 
Hizo picha nyingine ni za kutengenewa ili aonekane best photographer..
 
Nasikia eti huyo mpiga picha alifariki kutokana na presha aliyoipata kwa kuona mateso ya njaa ya watu wa sudan kipindi hicho.

Hapana mkuu,alijiuwa sababu jamii karibu dunia nzima ilimlaumu kwanini hakumsaidia huyo mtoto, ili amuokoe? Hivyo hakuwa na raha tena akaona bora ajimalize tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom