vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Habari wakuu,
Mi mgeni humu naomba nizungumze kitu.....
First naomba niweke wazi kuwa huyu jamaa hajawahi kunichekesha hata siku moja. Nilitabasamu kiduuuuuchu ile clip ya remy ongala aliyoikata na kujiweka kashika kisu. Pale kidogo nilitabasam kwa mbaaaaali. Lakini ukweli ni kuwa I dont find this guy funny at all.....
WHY IS HE THE BEST COMEDIAN
Nimempa cheo hiki coz kwa sasa hakuna page katika insta ambayo kwenye comments watu wanacheka sana kama page yake. Humo utaona hadi watu wanalalamika kuumizwa mbavu (Mi huwa nashangaa sana) . . . So kutokana na hili, sina budi isipokuwa kukiri kuwa Idris Sultan is currently the best comedian in instagram.....