Recent content by cenzo

  1. cenzo

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa waliowahi kujenga

    Namimi nipo kwenye step kama yako ulipofikia na nimepata fundi wa gypsum kwa bei nusu ya aliechukua kwako kama vp nicheki tusaidiane
  2. cenzo

    JamiiForums Tanzania Daku: Kupiga ngoma usiku kunasababisha usumbufu kwa watu

    Unatoa amri kama nani? Kwani dini yako Ina dhehebu moja tu??? Wacha uchonganishi kama wewe ni aswali sunna wa kanzu fupi fata yako acha ya sunni yaendelee
  3. cenzo

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete aenda Uswisi

    Kwa kweli mheshimiwa anaboa sana na safari zake za nje yani miaka 10 ya uongozi wake kakaa nchini kwa % 35 tu na % 65 ni nje yani sijui kwanini hakupendi bongo eti Kaenda kikazi kazi gani bana ushamaliza muda
  4. cenzo

    JamiiForums Tanzania Pombe inawaangamiza vijana

    Pombe gani aneangamiza vijana??? Pombe huyu huyu tunaemjuwa kachaguliwa juzi mbona mnamsingizia
  5. cenzo

    JamiiForums Tanzania 'El Chapo' aonekana akijivinjari na mtoto wake baada ya kutoroka Gerezani

    Wewe mleta huu uzi mbona sikuelewi umeleta huu uzi kwa kuvutiwa na hilo jina la EL Chapo au??? Naona na mwenyewe unajiita El nino au nyie ni ndugu wa mama tofauti na mwenzenu mwengine EL wamemkata kule domadoma😅
  6. cenzo

    JamiiForums Tanzania 'El Chapo' aonekana akijivinjari na mtoto wake baada ya kutoroka Gerezani

    Utaniuwa kwa kucheka
  7. cenzo

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Hebu acheni fujo....hao kina dada wa vimini ndio rahisi kuwapata kwenda kuwakamua papuchi sasa tena nini??? Heeee
  8. cenzo

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Hata kama hairuhusu itaweza kuingilia uhuru wa wengine??? Mimi binafsi sipendezewi na ningeomba suala hili likemewe na serikali yetu ya magufuli tena waanzie huko maofisini huwa wanatuumiza sana Mpaka wanatufanya tunasahau shida zinazotupeleka humo ofisini Mwe!!! Vinakuaga vitamu vimini vyao...
  9. cenzo

    JamiiForums Tanzania Hivi mtu aliyefanikiwa kimaisha ni lazima awe na vifuatavyo?

    Ukiwa na jembe tu wewe ni tajiri au umesahau mbiu ya KILIMO KWANZA
  10. cenzo

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Ni kweli ila kabla hujaleta huu uzi ungefikiria haya yafuatayo 1 nchi haina dini 2 wanachi wake wapo huru 4 Kuna uhuru wa kuabudu 5 uhuru wa kuvaa 6 uhuru wa kula Sasa sijui kama Kuna atakaeweza kuingilia uhuru wa mwenzie maana hata wao wakisema wanachukizwa Na walevi hatuwezi kukemea vilevi...
  11. cenzo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mzee Malecela alijulikana ghafla kama “Jumanne”?

    Ni kweli malecela muda mrefu alibadili dini that is power of Islam......
  12. cenzo

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Ukonga Stakishari chavamiwa na Majambazi

    Mbona afande kavaa buti la timberland???
  13. cenzo

    JamiiForums Tanzania Sina maana mbaya

    Sina maana mbaya kwa kuweka hii picha ya mtoto wa mkulima ila huwa napendaga sana mapozi yake au swaga zake yeye na wasila
  14. cenzo

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Nimependa jina lake ni lepesi kulitaja ukisema pombe inatosha au viroba
  15. cenzo

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Asante sana mheshimiwa kikwete kwa kuendelea kutuongoza kwani bado tunakuhitajia sana aiseee honest myonge mnyongeni kikwete yupo Imara makini sana na anakwenda na sistem ya kisasa kama Obama kwanza akiongea anatulia maneno yake mazuri hodari wa kuongea na mengi mazuri aliyotufanyia japo hakuna...
Back
Top Bottom