Recent content by Centrepoint

  1. Centrepoint

    Tanzania to send mission for negotiating USD 77bn/- debt

    1.Lilikopwa lini 2.Ulikuwa ni mkopo kwa ajili ya nini 3.Kwa nini halikuwahi kilipwa au kwa nini halijalipwa? 4.Lilianza kuwa deni lini??? *Kuna usanii unaendelea hapa, bila mchanganuo wa hili deni itasumbua vichwa vya wananchi wengi!
  2. Centrepoint

    Kwa wale wanaotaka kupungua

    Mmmmmmmmmhhhhhh
  3. Centrepoint

    Hatari: Mke amfumania mumewe akilawitiwa!

    Nijuavyo mimi: Nguvu inayosababisha tamaa ya ngono kwa mwanaume ni sawa sawa na nguvu inayosababisha tamaa ya ngono kwa mwanamke. Nguvu hii haijalishi umeoa au umeolewa, muwako wa tamaa hauangalii hilo. So always if you are maried or have a relationship with someone, nguvu hii lazima unapigana...
  4. Centrepoint

    Unene Unene Unene

    Madawa mengi y kupunguza unene yamekuwa yanabahatisha sana wengine wanakwambia yanafanya kazi na wengine hayafanyi kazi. Ningekushauri hivi: 1. Kuacha kula mchana inasababisha mara nyingi kuuchanganya mwili, hivyo unaupa mwili meseji tofauti na wakati mwingine mwili unashtuka sana. Na unapokuja...
  5. Centrepoint

    UPDATE: CHADEMA yanasa wasaliti... Shibuda adaiwa kuwafadhili baadhi, akalia kuti kavu!

    Hawa kina Shibuda bei yao ni rahisi sana. Wajua strength ya Shibuda ni kukosa aibu. Hana soni hata chembe. kama maiti!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
  6. Centrepoint

    Lowassa ataka mfumo wa elimu ufumuliwe

    Lowassa atasema jambo lolote analofikiri kichwani kwake kuwa litamsafisha, litamfanya akubalike katika mioyo ya wahanga wake. Lowassa we are all your victims. We surely deserve some respect - kuwa haya mawazo ni mazuri. Lakini sio mawazo yako!!!!!! Huyajui, huyaamini, unajisemea tuuu! Tunataka...
  7. Centrepoint

    On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

    Hapa suala ni kuwa kuna upofu wa hekima unaoendelea kutoka katika kambi ya CCM. Ukiangalia sana unaweza kukuta hata pesa huwa wanapeana kusaidiana kwenye chaguzi. Ni upofu huu anaozaa ujeuri wa kutoa majibu rahisi katika mambo ambayo yanahusu mustakabali wa kitaifa. Hili suala linaingilia sana...
  8. Centrepoint

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    M4C na MASHUSHUSHU ngoma droo!
  9. Centrepoint

    Fiery Zanzibaris call Mzee Mwanakijiji ‘mwendawazimu chakari'!

    Nadhani hawa wazanzibari ni kelele nyingi wakati vitendo sifuri. Wenye pesa zanzibar ni waarabu wachache sana. walio wengi wamegubikwa na utaabani wa umaskini uliolithiri. Tatizo wanakuwa na kisingizio kuwa kiini cha umaskini wao ni muungano. Well, wanaaminishwa pia kuwa wakitoka kwenye muungano...
  10. Centrepoint

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Lukosi, kama ulifukuzwa usalama wa taifa kwa tatizo la kimaadili, nadhani unapaswa sasa utafute solution. Una shida ya pupa, hasira, you are full of confusion. Uenyekiti wa chama kama cha chadema ulikuwa mkubwa sana ukilinganisha na kichwa chako. Wewe ulianza Uenyekiti kwa makeke, kelele nyingi...
  11. Centrepoint

    Mwenyekiti wa CHADEMA - London aenguliwa wadhifa

    Tatizo la watanzania walio wengi wanaingia kila mahali kutaka kujaza matumbo yao. Huyu jamaa ni akili ndogo sana. he is seriously emotional guy and usually thinks with his emotions. CHADEMA waliingiwa na shetani gani kumpa uenyekiti sijui, lakini ilikua ni suala la muda tu kujua huyu jamaa ni...
Back
Top Bottom