Tanzania to send mission for negotiating USD 77bn/- debt

Tanzania to send mission for negotiating USD 77bn/- debt

hata uki harmonize haiwezi kuika USD 77bl. ila kama ni Tshs, nakubali, na 77bl tshs tungemwomba hata Reginald mengi tu au hata manji angeweza kuwapatia ili tuachane nao.hahaha

jumla ya deni lote la nchi liko around $ 20 billion or thereabouts. hizo $ 77 billion kwa Iran pekee ni upuuzi uliokithiri kiwango!
 
The Guardian limekuwa gazeti la kipumba.vu kama Uhuru? Eti $ 77 billion? Ni hela kubwa mno labda kama ni $ 77 million! Deni la Taifa si tunaambiwa linachungulia USD 40 billion? Sasa hii 77 ya nchi moja tu si ni majanga? Kuna wizi hapo
 
Juzi US wame hoji matumizi mabaya ya madaraka na kuyafungia magazeti wapuuzi humu ndani wakasema Hawayahusu, sasa mbona serikali yenu inarudi kenda kuomba msamaha wakati matumizi ya pesa hiyo hatujui yalikuwaje sisi Watanzania ? Kwa nini kwa hili mnaenda na wakiuliza kuhusu hadi za binadamu mnasema haiwahusu ?

Mkuu kutoa msaada au mkopo hakumaanishi kuingilia sheria za nchi nyingine..
 
Nchi imezoea vya bure. Wanakopa wanatumia wanavyojua wao halafu wanataka huruma wasilipe deni. Ni aibu sana kwenda kulia ufutiwe deni la dola bil 77 wakati juzi tu Ruge kalipwa kiasi kama hicho na yeye kagawia masela wako.

Mkapa alipunguziwa madeni lakini JK kashakopa sasa tudaiwa kuliko hata ilipokuwa enzi za Mkapa.

Tatizo ni nini?Hivi ni laana tunayo sisi Watz au ni nini? Kwa nini tunakopa halafu hatutaki kulipa? Na hizo hela tunafanyia nini? Mbona hakionekani kilichofanyika?
 
Mkuu hiyo data haiko sawa, Ruge kalipwa 75 million USD, usichanganye shilingi na dollar. Hata hilo gazeti limeandika wrong information. Deni jumla la Tz duniani halizidi 40 billion USD. Hiyo 77 billion USD sio data ya kweli.
 
Bro jibu swali . Je tunadaiwa hata kama gazeti limekosea figure ? Tulikopa tukafanyia nini ?
 
Nchi imezoea vya bure. Wanakopa wanatumia wanavyojua wao halafu wanataka huruma wasilipe deni. Ni aibu sana kwenda kulia ufutiwe deni la dola bil 77 wakati juzi tu Ruge kalipwa kiasi kama hicho na yeye kagawia masela wako.

Mkapa alipunguziwa madeni lakini JK kashakopa sasa tudaiwa kuliko hata ilipokuwa enzi za Mkapa.

Tatizo ni nini?Hivi ni laana tunayo sisi Watz au ni nini? Kwa nini tunakopa halafu hatutaki kulipa? Na hizo hela tunafanyia nini? Mbona hakionekani kilichofanyika?

Hela ya mkopo tunanunua v8, tunajenga mahekalu yetu ya kuishi, tunaoa wake 5 watano, shopping zetu tunaenda Dubai kila nyumba ndogo na zamu yake Halafu zilizosalia tunatupia panadol Muhimbili na kulambisha barabara zetu mchuzi wa lami! Need I say more?
 
Bro jibu swali . Je tunadaiwa hata kama gazeti limekosea figure ? Tulikopa tukafanyia nini ?

Kaka tumekopa halaf tumejiibia wenyewe! Hatuna cha kufanya! Viwanda vimekufa, mashamba makubwa yote yamekufa, reli na shirika la ndege afwile! Hata hao wanaotukopesha sijui Kwann hawatuulizi!
Benk hata uwe na assets kiasi gani hawakukopeshi mpk wahakiki uwezo wako wa kuitumia fedha hiyo ifanye kitu tangible na iweze kurudishwa kwa wakati!
 
Haya ndo magazeti ya kutafungia. Utaandikaje upuuzi kama huo na ukaruhusiwa kuuza gazeti mitaani?? Hawana wahariri wa kupitia habari kama hizi?? $77billion ni karibu ya nusu ya GDP ya Irani yenyewe kwanin waandike vitu kama hivi?? Hata hawakushtuka habari kupotoshwa hivi??
 
Kukopa Iran sio tatizo as long as wanaela ya kutukopesha....Iran sio taifa la kiarabu ila ni jamuhuri ya kiislam ya Iran hawa watu ktk ukanda wao ndowanaongoza kwa kuchapisha matoleo ya sayansi mengi pia ina technolojia kubwa zaidi ata ya nchi nyingi za ulaya....tokea mwaka 1979 ipo chini ya vikwazo vya kimataifa lakin ndo kwanza imepiga maendeleo makubwa hadi ina export mameli makubwa Germany nk.....leo waziri wao wa mambo ya nje kamwambia Kerry kua sanction zenu zimefeli km mlituwekea vikwazo tukiwa nq centrifuges 20000 na leo zipo zaid ya 200000 basi ondoeni santion km mlivyofanya Quba mkuweza kubadilisha chochote.
 
Deni la Tz ni approximately usd 13 billion. Ukisoma magazeti ya Tz you have to be very careful when it comes to numbers. Kuna tatizo sana
 
Hii ni aibu kama tunadaiwa kila koda ya dunia. miaka mi3 iliyopita Brazil walitusamehe deni lililokopwa mwaka 1977. leo hii iran inatudai mabilioni ya hela. japo ninawasiwasi kama figure hizo ni kweli au ni typing error. maana dolari bil 77 sio mchezo.

membe-feb6-2015.jpg

The government plans to send a team from the Treasury to Iran for negotiations on repayment of USD 77bn/- that Tanzania owes that country.

The minister of Foreign Affairs and International Co-operation, Bernard Membe, said this yesterday when he addressed journalists in Dar es Salaam.

In the presence of the Iranian Foreign Affairs minister, Mohammad Javad Zarif, Membe said the aim of sending the team was to chart the way forward regarding the debt.

The Iranian minister is in Tanzania with a group of investors to scout for investment opportunities.

“We will soon send the team to find out how Iran can reduce or write off the said debt,” he said, noting that it has been increasing as a result of accumulating interests.

However, Membe did not mention the reason for the country to borrow the money and when it did so.

On relationships between the two countries, the two ministers signed a Memorandum of Understanding (MoU) on Reciprocal Promotion and Protection of Investment.

Membe said Tanzania has for a long time enjoyed the bilateral relationships it had with Iran, noting:

“The main aim is to cement relationships between our two countries and increase investment opportunities.”

According to Membe, they held discussions on how each country can promote business and investment opportunities.

For his part, the Iranian Foreign Affairs minister, Mohammad Javad Zarif, said his country has for a long time been a true friend of Tanzania and Africa as a whole.

He said Iran would still remain by the side of Africa through developing it in various spheres.

“We decided to come to Tanzania with a group of investors to look for available investment opportunities in various sectors. We also want to see how we can partner with local investors,” he noted.

Zarif said Iran appreciates Tanzania’s continuous support in various aspects.

He mentioned some as trying to convince the world that his country’s uranium was only meant for power production and not atomic production.

He pledged that Iran will continue to be very active in supporting Tanzania’s health and education sectors.

Source: The Guardian
 
Bro jibu swali . Je tunadaiwa hata kama gazeti limekosea figure ? Tulikopa tukafanyia nini ?
Ahaa! Ok nilitaka kuweka sawa kumbukumbu, lakini hakuna justification yoyote ya Tanzania kukopa kwasababu pesa nyingi inapotea kwa kupitia rushwa. Kwa hiyo kabla hatujakopa tulitakiwa kwanza kuimarisha makusanyo na kudhibiti rushwa.
 
1.Lilikopwa lini
2.Ulikuwa ni mkopo kwa ajili ya nini
3.Kwa nini halikuwahi kilipwa au kwa nini halijalipwa?
4.Lilianza kuwa deni lini???

*Kuna usanii unaendelea hapa, bila mchanganuo wa hili deni itasumbua vichwa vya wananchi wengi!
 
Tutafanya kama Greece wamekataa kulipa madini ya kitapeli.
 
Back
Top Bottom