Recent content by CELLULAIRE

  1. C

    Natafuta Mwanamke wa kuoa ambaye ana hizi sifa

    naamini na nina uhakika kuwa nitampata tu mkuu kwani hakuna kinachoshindikana duniani na sidhani kama ni vyema kuhalalisha mapungufu ya wanawake wachache ambao pengine wewe umeshakutana nao basi ukayahalalisha kwa wanawake wote.
  2. C

    Natafuta Mwanamke wa kuoa ambaye ana hizi sifa

    1. si mpenda pesa 2. si mwenye dharau 3. si mwana wa shetani 4. si muongo na mbabaishaji 5. si malaya / muhuni 6. si mwizi na mchawi 7. si mpumbavu na mnafiki wasifu wangu kiufupi majina: cellulaire mjukuu chirama dini: mkristo wa dhehebu la katoliki kabila: myao kutoka mkoani lindi umri...
  3. C

    Kuharibu Uchaguzi wa Serikali za Mtaa utaligharimu Taifa

    Yaani Intelligence ya Tanzania ipoteze muda wake Kukutafuta Wewe Mkuu? Kama ni kweli inafanya hivyo Kwako basi hata Mimi nitaidharau mno kwani kwa aina ya Uwasilishaji wako hapa Jukwaani sijaona ni wapi Wewe ni Tishio Kwao kiasi kwamba waanze Kukujadili na Kukuwinda kama ambavyo unajimwambafai...
  4. C

    OBSERVATION: Mkapa na Kikwete kuna tatizo(?) Hawasalimiani!

    Na Sisi ambao tuko nawe hapa JamiiForums tutajiridhishaje kuwa pengine na Wewe ambaye hapa upo kwa Jina la Kificho ndiyo ukawa una Roho mbaya ambayo hata Shetani hana?
  5. C

    Ni kweli Mo ni tajiri kumzidi Bakhresa?

    Said Bakhressa ni Tajiri Mzee na Mohammed Dewji ni Tajiri Kijana huku tuliobaki wote tukiwa ni Masikini wa Kutupwa ila tunaowashabikia kuliko maelezo.
  6. C

    James Mbatia: Vyama vya siasa ndio vimeharibu kwa kuingilia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Ulivyomuelewa Wewe katika hivyo Vyama vya Siasa alivyovizungumzia CCM haimo?
  7. C

    Kwanini wapinzani wa CCM wanasema CCM imejichimbia kaburi?

    Kwa aina ya Unafiki uliopo huko katika Vyama vya Upinzani nchini Tanzania huenda CCM ikatawala hadi pale dunia itakapopinduka.
  8. C

    Dada zangu kuweni makini na Camera za simu wakati wa Kugegedana.

    Hata ukijitaidi Kuwashauri ila usisahau ya kwamba hakuna Kipindi ambacho Mwanamke akili zake huwa zinahama na huwa yupo tayari kwa lolote lile na wala hatojali kama pale akiwa ameandaliwa vyema na aliyenae huku akiwa anasuguliwa vizuri na Utamu unakoloea huku akiona dunia yote hii ni yake. Na...
  9. C

    What is going on?

    Wanawake huwa na Desturi ya Kusimuliana ni Mwanaume gani huwa anagawa sana Pesa au anajua Kutunza ili nao wajitupe wakajaribu bahati. Yawezena huyu Binti labda nae ana Ushosti na Wakubwa zake wa Uwekezaji, Kisarawe Shambani bila Kumsahau na wa Bamaga mkabala na TSN Petro Station pamoja na wa...
  10. C

    Polisi FFU wanavyojichukulia rushwa barabarani

    Haya Malalamiko yako yasiyo na Ushahidi Kamili wa Picha ulizoziwasilisha hapa umeshayawasilisha pia TAKUKURU Mkuu?
  11. C

    What is going on?

    Kuna namna nyingi Mwanamke anaweza akajitongozesha kwa Mwanaume anayempenda hasa akiona huyo Mwanaume hamtongozi.
  12. C

    CCM MP has said that ATCL air hostesses are not attractive

    Yawezekana huyo Mbunge akawa ama anasumbuliwa na haya mambo matatu kwa pamoja au moja wapo 1. Ana matatizo makubwa ya Akili yanayokimbilia Yeye muda wowote kuwa Mwendawazimu. 2. Pengine huwa akipanda hizo Ndege huwa anabahatika Kukaa Siti za Wanaume na huwa anaumia kuona hao Wanaume wakiwa...
  13. C

    Bungeni: Mbunge wa CHADEMA amtimua mpangaji wake ambaye ni Askari Polisi, adai haoni maana ya kushirikiana nae, Waziri Lugola amtisha

    Mpaka hivi sasa bado natafuta Mantiki ya Kumfukuza Askari Nyumbani Kwako ambako umempangisha kwa sababu tu za Kisiasa na Hasira. Askari Kufukuzwa kuna Uhusiano gani za matatizo ya Kiuchaguzi au ya Kisiasa? Hivi ukija kuwa Mzee na ukasikia nawe Mwanao ambaye labda amekuwa Askari nae akifanyiwa...
  14. C

    Sijui hapa kuna ukweli kiasi gani

    Kwamba ukiona wanawake wanaenda sana nyumba za ibada na wanakuwa wacha Mungu jua ya kwamba huko nyuma walikuwa hawajatulia. Wameshafanya kila aina ya ukatili hasa kwa wanaume mbalimbali. Wametoa mimba zisizo na idadi na kwamba wameroga hadi hata Shetani mwenyewe amebaki kuwashangaa. Na kwamba...
Back
Top Bottom