Polisi FFU wanavyojichukulia rushwa barabarani

mkuu kama sheria inampa mamlaka askari kukusimamisha na kukuhoji,ni ukichaa kuuliza anakusimamishia kitu gani.ndio maana jibu huja USIHOJI.

kuhoji huzalisha mashaka zaidi kwa askari,na kumuongezea umakini kukukagua ambao utasababisha upotevu zaidi wa muda.

NOTE msikariri kwamba kuna askari wa barabarani,askari polisi yoyote unayemjua,awe FFU au sijui nani,anayo mmlaka ya kukusimamisha kukuhoji na kukukamata.hizo rangi za nguo ni za vitengo vyao vya upolisi,ambavyo havibadili kabisa jukumu lao la msingi(UPOLISI).kifupi mwenye mamlaka ya kuhoji uhalali wa ffu kuwepo barabarani ni askari mwenzie sio mwananchi wa kwaida.wewe tii amri utakayopewa.

Wewe mimi ninachokiandika nakielewa na hata boss wao IGP anasemaga kupitia vyombo vya habari askari wanaposimamisha mwananchi wanawajibu wa kumwambia sababu ya kumsimamisha na ndivyo kanuni zinavyotaka kiutendaji katika haki za binadamu!

Wewe baki na nidhamu zako za woga!
 
Mimi najielewa siyo muoga kama wewe!

Akija kwa utaratibu wala haina shida, kuwa askari siyo kwamba ndo kuwa mwamba bali ni mgawanyiko wa majukumu tu

Kwamba yeye kama askari mimi naweza kuwa daktari akiumwa namtibu,

Au mwingine mhasibu anamlipa mshahara n.k

Na mwisho wa siku wanalipwa kodi zetu!

Mimi siyo wa aina yako
sijakwambia uingize kichwa ardhini ukikamatwa.

nimesema,mwambie wewe sio traffic usinikamate halafu uone huo uhasibu wako kama utazingatiwa tena.
 
Wewe mimi ninachokiandika nakielewa na hata boss wao IGP anasemaga kupitia vyombo vya habari askari wanaposimamisha mwananchi wanawajibu wa kumwambia sababu ya kumsimamisha na ndivyo kanuni zinavyotaka kiutendaji katika haki za binadamu!

Wewe baki na nidhamu zako za woga!
baba eh,ukisimamishwa uliza mnanisimamishia nini?? IGP wenu kasema muwe mnatwambia.

watakwambia wamekusimamishia nini!kwani una hiyari ya kusimama au kutosimama.ukiona hawana hoja tia gia sepa mpaka kwa IGP mwambie.
 
Watu wanaporwa hukuti wakiwafukuza na pikipiki zao kutwa kuhangaika na bodaboda na bajaji.
Kuna siku niliwahi kumchenchia mmoja maeneo ya flani
 
Kumezuka mtindo askari waliovaa mavazi kama ya FFU combat za kijani kukamata magari kwa visingizio mbalimbali.

Wengi pia hukamata waendesha boda boda na kuwakung'uta mifuko yaani kuwapiga mkwara watoe rushwa. Pichani askari wawili wa aina hiyo wakiwa wanazunguka zunguka kutafuta wateja maungio ya barabara inayotoka Karume na inayotoka Veta Chang'ombe.

Ukivuka tu reli kama umetoka ile barabara inayotoka Ilala, Karume ikapita Machinga Complex kukutana na Nyerere Road.

Ni mara nyingi hawa askari huwa wanapita wakiwa na silaha kutafuta tafuta watu wa kuwapiga mkwara na kupewa rushwa.

Tabia hii naomba niulize kwa mamlaka je hawa FFU pia hufanya kazi za traffic? Maana mara nyingi nimewakuta hata wakisimamisha magari na kukagua. Lakini cha kujiuliza hawana hata zile mashine za kutoa risiti wakilipwa pesa.

Je hawa wamehalalishwa kufanya haya wayafanyayo? Ni nani anapasea kukamata raia kwa makosa ya vyombo vya usafiri au madereva barabarani?

View attachment 1257944
View attachment 1257945
Huo umbea ndio maana mnapata ajali, picha lenyew ulilopiga ni la ovyo halina chochote..
Askar yoyote anaruhusiwa kukamata kosa lolote lililotokea au linalotokea mbele yake
 
Kumezuka mtindo askari waliovaa mavazi kama ya FFU combat za kijani kukamata magari kwa visingizio mbalimbali.

Wengi pia hukamata waendesha boda boda na kuwakung'uta mifuko yaani kuwapiga mkwara watoe rushwa. Pichani askari wawili wa aina hiyo wakiwa wanazunguka zunguka kutafuta wateja maungio ya barabara inayotoka Karume na inayotoka Veta Chang'ombe.

Ukivuka tu reli kama umetoka ile barabara inayotoka Ilala, Karume ikapita Machinga Complex kukutana na Nyerere Road.

Ni mara nyingi hawa askari huwa wanapita wakiwa na silaha kutafuta tafuta watu wa kuwapiga mkwara na kupewa rushwa.

Tabia hii naomba niulize kwa mamlaka je hawa FFU pia hufanya kazi za traffic? Maana mara nyingi nimewakuta hata wakisimamisha magari na kukagua. Lakini cha kujiuliza hawana hata zile mashine za kutoa risiti wakilipwa pesa.

Je hawa wamehalalishwa kufanya haya wayafanyayo? Ni nani anapasea kukamata raia kwa makosa ya vyombo vya usafiri au madereva barabarani?

View attachment 1257944
View attachment 1257945

Haya Malalamiko yako yasiyo na Ushahidi Kamili wa Picha ulizoziwasilisha hapa umeshayawasilisha pia TAKUKURU Mkuu?
 
hakuna rushwa pasipo mtoa rushwa, anaetoa rushwa anakosa kisheria anaepokea rushwa anakosa kisheria, so usiwalaumu hao usemao wanatafuta rushwa maana ka mtu hunakosa unatoa hela ya nini? twachege ujinga wakati mwinginee
 
Kumezuka mtindo askari waliovaa mavazi kama ya FFU combat za kijani kukamata magari kwa visingizio mbalimbali.

Wengi pia hukamata waendesha boda boda na kuwakung'uta mifuko yaani kuwapiga mkwara watoe rushwa. Pichani askari wawili wa aina hiyo wakiwa wanazunguka zunguka kutafuta wateja maungio ya barabara inayotoka Karume na inayotoka Veta Chang'ombe.

Ukivuka tu reli kama umetoka ile barabara inayotoka Ilala, Karume ikapita Machinga Complex kukutana na Nyerere Road.

Ni mara nyingi hawa askari huwa wanapita wakiwa na silaha kutafuta tafuta watu wa kuwapiga mkwara na kupewa rushwa.

Tabia hii naomba niulize kwa mamlaka je hawa FFU pia hufanya kazi za traffic? Maana mara nyingi nimewakuta hata wakisimamisha magari na kukagua. Lakini cha kujiuliza hawana hata zile mashine za kutoa risiti wakilipwa pesa.

Je hawa wamehalalishwa kufanya haya wayafanyayo? Ni nani anapasea kukamata raia kwa makosa ya vyombo vya usafiri au madereva barabarani?

View attachment 1257944
View attachment 1257945
HALAFU WANATUAMBIA OPERESHENI KEMEA RUSHWA N NGUMU NILISEMA HIZI OPRN ZIKO MDA MREFU WANABADILISHA MAJINA KILA.MWAKA UTEKELEZAJI HAKUNA
 
KUNA HUU UJINGA SIUPENDAGI KABISA WANAKAMATA PIKPIK.MKISHINDWA KUELEWANA MMOJA ANAENDESHA PIKPIK YAKO AISEE
 
FFU Hicho kikosi ukikuta kinafanya kazi sehemu ujue hilo eneo linahitaji ulinzi makini sana Nje ya hapo utakutana nao pale mtakapaanzisha vurugu Kali.Huwa hawashughuliki na mambo ya barabarani ila ikiwa in Dharula au operation maalum.Ni watu Fulani wenye bangi ya asili wenyewe hawaongei sana na majibu yao ya mkato mkato tu wakifika eneo la tukio kama kwenye fujo wanaamini nyie ni wakaidi na wakorofi sana ndiyo maana wameitwa hivyo hapo kazi yao moja tu kutembeza kichapo cha mbwa koko halafu wanatembea zao .Ni watu wenye asili ya kupenda kupigana tokea utoto wao hivyo kazi hiyo huwafanya wajisikie raha sana .Kwa ufupi hawajui hata kuomba rushwa maana mazingira yao ya kazi hayawasapoti kujua kuomba rushwa.Naamini hao uliwaona hapo usemapo ni vikosi vingine vya polisi ila siyo FFU. FFU ni hawa hapa
images%20(6).jpeg
images%20(3).jpeg
1-1.jpeg
6.jpeg
5.jpeg
images%20(1).jpeg
images%20(2).jpeg
 
Watu wanaporwa hukuti wakiwafukuza na pikipiki zao kutwa kuhangaika na bodaboda na bajaji.
Kuna siku niliwahi kumchenchia mmoja maeneo ya flani
Wacha wee!
Muhindi ukawamuwakia pot
 
Wacha walenrushwa tu wana hali mbaya sana wengi wao wanalipwa laki 380 baada ya kukopa ndo wanabaki na laki 180 mbaya zaidi CCM kwa kivuli cha serikali inawatumia vibaya polisi wetu.
 
Wewe mimi ninachokiandika nakielewa na hata boss wao IGP anasemaga kupitia vyombo vya habari askari wanaposimamisha mwananchi wanawajibu wa kumwambia sababu ya kumsimamisha na ndivyo kanuni zinavyotaka kiutendaji katika haki za binadamu!

Wewe baki na nidhamu zako za woga!
Yaani ww hata hujui ulisemalo,gari huna utasimamishwa kwa lipi..siku ukisimamishwa na polisi muulize kuhusu majukumu yake uone.
 
mkuu kama sheria inampa mamlaka askari kukusimamisha na kukuhoji,ni ukichaa kuuliza anakusimamishia kitu gani.ndio maana jibu huja USIHOJI.

kuhoji huzalisha mashaka zaidi kwa askari,na kumuongezea umakini kukukagua ambao utasababisha upotevu zaidi wa muda.

NOTE msikariri kwamba kuna askari wa barabarani,askari polisi yoyote unayemjua,awe FFU au sijui nani,anayo mmlaka ya kukusimamisha kukuhoji na kukukamata.hizo rangi za nguo ni za vitengo vyao vya upolisi,ambavyo havibadili kabisa jukumu lao la msingi(UPOLISI).kifupi mwenye mamlaka ya kuhoji uhalali wa ffu kuwepo barabarani ni askari mwenzie sio mwananchi wa kwaida.wewe tii amri utakayopewa.
Upo sahihi kabisa. Ila swali la mtoa mada ni kuwa Askari kama huyo pichani unakuta anakagua bima, tairi, leseni mambo ambayo yapo nje ya kitengo chake. Angekua anakagua magendo sawa.

Halafu hana mashine ya kulipia faini, hivyo analazimisha rushwa ama muende polisi kwa traffic. Je hayo ndiyo majukumu waliyopangiwa?
 
Imebisaidia kugundua wale ambao wali fail. Kumbe hata akili nazo hawana si kwa bahati mbaya. Hilo linatosha na wakati wewe unatafuta watu wa kuwabambikia makosa upate pesa mimi nafanya maisha.

Wewe utaendelea kuwa kama mbwa.
una hasira na maisha ya wengine sijui kwa sababu gani??kwani baada ya kufaulu bado hujawahi kuyapata maisha??

sasa ulisoma ili iwe nini,maana narudia tena elimu imekuacha kama ulivyo
 
Upo sahihi kabisa. Ila swali la mtoa mada ni kuwa Askari kama huyo pichani unakuta anakagua bima, tairi, leseni mambo ambayo yapo nje ya kitengo chake. Angekua anakagua magendo sawa.

Halafu hana mashine ya kulipia faini, hivyo analazimisha rushwa ama muende polisi kwa traffic. Je hayo ndiyo majukumu waliyopangiwa?
mkuu labda kama unachukizwa nao mpaka unapata upofu wa kuelewa nini hasa kazi zao.

huyo traffic ataishia kwenye reseni tu sababu ya kuokoa muda wake.huyu ataanzia hapo na kwenda mbali zaidi sababu hana mpaka.

hili la rushwa ni swala mtambuka.maana unatoa nayeye anapokea,habari ya kusema kana wanataka rushwa ni unafiki.sababu kama unaona wanakosea kubali ukalipe fine na risiti kwenye mashine,kituoni au kwa traffic uende zako.
 
Hii nchi haifuati sheria wala kanuni. Ukiweza kula rushwa mahali ulipo, siku utakaposhikwa ndipo sheria itasomwa mbele zako. Piga pesa ndugu.
 
FFu wanavaa kofia nyekundu, shati na suruali ya kijamii na buti. Hao jamaa Sina hakika Kama Ni ffu.
Wengi wakiona zile uniform wanafikiri ni FFU. FFU hawahusiki na hizo doria, wao ni ulinzi maeneo nyeti na kutuliza ghasia au operations ngumu ambazo askari wa kawaida hawawezi.
 
watu mmeamua kukinukisj
mkuu labda kama unachukizwa nao mpaka unapata upofu wa kuelewa nini hasa kazi zao.

huyo traffic ataishia kwenye reseni tu sababu ya kuokoa muda wake.huyu ataanzia hapo na kwenda mbali zaidi sababu hana mpaka.

hili la rushwa ni swala mtambuka.maana unatoa nayeye anapokea,habari ya kusema kana wanataka rushwa ni unafiki.sababu kama unaona wanakosea kubali ukalipe fine na risiti kwenye mashine,kituoni au kwa traffic uende zako.
hakuna rushwa pasipo mtoaji, nasheria zipo wazi atoae au amshawishie mtu kupokea kushwa nae anakosa kwani hao wanoatoa rushwa huwa wananyang'anywa hela mfukoni mbona ka watu wanapiga kelele ilahali wenyewe ndo wanawaomba askari wasiwaandikie makosa ama wanatoa hela ili wasikaguliwe vilivyoo, watu waache unafiki bana kilasiku tunaona wafanyayo maderevaaa hasa wa daladala na gari nyingine binafsi
 
Back
Top Bottom