My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,283
Yaani kila kitu mnaleta mzaha, mmevuruga Uchaguzi wa Serikali za mitaa wakati pesa nyingi za walipa kodi maskini zilitumika kuandaa Uchaguzi.
Siku za nyuma Ubalozi wa Marekani ulitoa tahadhari juu ya uwezekano wa mashambulizi ya kigaidi kutokea Dar es salaam, badala ya kuomba ushirikiano na hiyo Serikali kubwa na yenye nguvu kuliko zote Duniani, eti Serikali yetu pendwa ikau summon Ubalozi wa US ili ujieleze juu ya Taarifa yake hiyo.
Dunia yote iko kwenye viganja vya Marekani, sisi hata East Africa tu haipo hata mgongoni.
Sasa mauaji ya kikatili na kishenzi yaliyofanywa kwa watanzania sita, mbona Vyombo vya usalama vilishindwa kuzuia?
Wakati Marekani inatoa tahadhari, mlijigamba Eti nchi iko salama, salama kwa lipi?
Hao magaidi wameanza siku nyingi kupanga hujuma zao dhidi ya nchi yetu na tena tunaambiwa wengi huwa wanashinda kwenye nyumba za ibada wakijifanya Kama watu wema kumbe wauaji.
Intelligence yetu inawaza kuwadhoofisha kina Mbowe na namna ya kuwapata kina My Son drink water wanaokosoa Serikali na siyo ku stabilize usalama wa nchi.
Magaidi siyo watu wa mzaha, mara nyingi wanakuwa na connection na wazaha wa eneo husika wanakotaka kufanyia ugaidi.
Ujinga wanaofanya utaligharimu Taifa Kama mmebakia kuendekeza siasa na kupuuza usalama wa nchi.
Boko Haram ya Nigeria ilianza hivi hivi, leo hii haizuiliki.