Recent content by Cefalon

  1. Cefalon

    Wameshafariki watoto wawili , sasa anadai ana mimba tena! Msaada!

    Huyo atazaliwa mzima salama salamina, kukimbia mke sio suluhu ya matatzo, mkubali na amini ndio wako
  2. Cefalon

    RC Makonda ashtakiwa kwa kudhalilisha wanawake na kukosa maadili

    Hebu chukulia km ni wewe uliyekoromewa vile mbele ya watu unaowaongoza ungejisikiaje/ ungekua kwenye hali gani mkuu!
  3. Cefalon

    Watumishi wa serikali wapya 3000 waliofukuzwa kazi wapanga kufungua kesi mahakamani

    Mimi nawashauri Waende/waanzie kwenye tume za usuluhishi (CMA) mashwala ya kazi na ajira hayapelekwi mahakamani watapoteza muda wao
  4. Cefalon

    Alichonifanyia rafiki yangu namuachia Mungu

    Acha tamaa kama kupiga ushapiga wivu wanini? Huyo dem amekusaidia sana coz amejua huna hatia, kapeleka mimba kwa mwenyewe. Shukuru umeliona mapema maana huyo si saizi yako laiti ungemuoa chamoto ungekiona
  5. Cefalon

    Kutoka mrasimu ramani ngazi ya cheti hadi afisa mipango miji ngazi ya degree

    Hili swala limekaa vibaya, tukumbuke kwamba degree zimekua nyingi miaka hii ya 2000 zaidi sana 2005 nakuendlea. Watumishi wengi (baba na mama zetu) waliopta degree zao kupitia mature entry. Ukiwatoa wote hizi ofisi hazitaenda
  6. Cefalon

    Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa

    Wewe mbona mtoto sana, kwa nini unakata tamaa mapema hivyo wakati huo ndio umri sahihi wa kuolewa, na wenye 35+ watasemaje? Jitunze, jiheshimu wanaume wakuoa bado wapo wengi wanakuchunguza Kwanza.
  7. Cefalon

    Nina mimba na mtoto ana miezi minne, naomba ushauri wenu nifanyeje?

    Nenda hospital kawaone wataalam wa afya ya mama na mtoto, acha kupoteza muda utagharimu maisha ya mtoto bureeee kwa uzembe
  8. Cefalon

    Maswali mawili ya 'Mdaiwa Sugu' wa HESLB

    Utawala wa Sheria ni mzuri endapo sheria zinafwatwa na kutekelezwa na pande zote zinazohusika (watawala na watawala) lakini km upande mmoja unaona wenyewe ni bora zaidi ya mwingine ni dhahiri kwamba utawala utakua mgumu
  9. Cefalon

    Je, ni kweli watu tuliositishwa ajira mwezi Julai kuanza kuitwa?

    Km walisitishwa kwa mambo ya kinidhamu na uchunguzi umefanyika na kugundulika hawana hatia au wanastahili adhabu ndogo (onyo) ni halali yao kurejeshwa makazini kwao. Wapo wengi waliorejeshwa kwa staili hiyo ila pesa hakuna
  10. Cefalon

    Serikali ilichunguze hili kosa la kimfumo katika ajira za serikali

    Kwani ulikua unapokea mishahara miwili? Maana swala kubwa hapo ni pesa. Hebu fafanua
  11. Cefalon

    Jinsi walimu tulivyoanza kugawanywa kimatabaka awamu ya tano

    Huyu mwalimu ana haki ya kulalamika. Soma Uzi vizuri mkuu, ualimu ni kazi km kazi nyingine. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
  12. Cefalon

    Wanafunzi wanaoingia darasa la kwanza kufanyiwa interview!

    Mimi naona limekaa poa. Kwanza unawapunguzia mwalimu wa darasa la kwanza mzigo ukilinganisha watoto wanakua wengi kiasi kwamba hawezi kuwamudu wote na mazingira si rafki. Lakini pia ni bora ajue mapema kusoma, kuandika na kuhesabu kuliko amalize darasa la Saba hajui lkn lakushangaza utakuta...
  13. Cefalon

    Je, ilikuwaje pale ulipogonganisha wapenzi na wakajuana?

    Tuwaulize akina dada "Kaka yako ndo yamemkuta majanga km haya" utamsaidiaje?
  14. Cefalon

    Hili la Makonda lilinishangaza zaidi

    Akajenge/aboreshe kituo cha mbezi kwa yusufu kinatia aibu. Wilaya mpya ya ubungo inajitegemea. Kituo hakina hadhi hata ya kata
Back
Top Bottom